[emoji23] [emoji23] [emoji85]Piga midland just hapo msamv...hahaa ila ikifija saa nne za usiku usihamishe hamishe chanel za tv huwa wanaweka movie za usiku mnene...adamu na hawa wake
Toa mikono machoni uangalie video upate usingizi mororo...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji85]
hiyo ya boss wa zaman wa TRA unamaanisha njia ya mfalme..?kwa kweli sijui..nahisi ni watu wawili tofauti au aende msamvu kwenye ile ya Boss wa zamani wa TRA na zingine kama tatu za magorofa around pale kama Gwami etc
Wakuu Salaam,
Jamaa yangu anatafuta sehemu nzuri yenye usalama na ya bei ya kati say Tsh 30,000/ - 50,000/= katika mkoa wa Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi wiki ijayo.
Msaada wowote unakaribishwa na shukrani zinatangulizwa
Hakuna vibaka pale,pametulia saanaaa,break fast,msosi na usalama wa uhakika.City dream lodgeHuko vibandani si kwa vibaka?
Hapa nilikuwa na kula bata sana na mtoto wa prof.mmoja wa Sua,anakaa kilakala,kitambo sanaaaa.Sophia Hotel.... ipo karibu na ofice za abood zilizopo mjini..
unamsogeza awe karibu na kahumba nini mkuu?Sophia Hotel.... ipo karibu na ofice za abood zilizopo mjini..
Hahahahah yeah ili asipate mawazo wapi pakutolea viburudisho....unamsogeza awe karibu na kahumba nini mkuu?
Ni kweli asee bora asogee hapo karibu kbsHahahahah yeah ili asipate mawazo wapi pakutolea viburudisho....
Hilux pazuriAENDE TAXPALACE AU HILUX HOTEL A
Huyo mtoto anaitwa nan mkuuHapa nilikuwa na kula bata sana na mtoto wa prof.mmoja wa Sua,anakaa kilakala,kitambo sanaaaa.
Jina siwez sema hpa ila,akisoma Dar na ni muhaya.Dogo alikuwa mtamu huyooo,acha tuuu,wakati umeeenda wapi?Huyo mtoto anaitwa nan mkuu