Kuna ile Rafiki Resort ni pazuri. Chumba cha kawaida ni 40,000/= na suite ni 50,000/=. Namba zao za simu ni +255 26 250 2810.
Ila pia kwa siku nyingine unaweza kutumia apps za Booking.com, TripAdvisor, Airbnb n.k. kupata taarifa za hoteli mbalimbali popote pale unapotaka kwenda.
Nadhan ni stanley hotel! Ni sehemu nzuri sana na inautulivu wa hali ya juu. Last nililala rum ya 35,000 ilikua nzuri na breakfast was superbly!Nasikia kuna nyingine ipo barabara ya kuelekea mwanza, inaitwaje?
Hiyo Stanley Motel uliyotaja ni ya kawaida sana, tena sana na hawana hiyo superb breakfast. Labda kama umechanganya jina la hotel. Lakini kama ni hiyo Stanley ninayoifahamu mimi niliwahi kulala hapo kwa 30,000/= na ni kwa vile sikuwa na option nyingine.Nadhan ni stanley hotel! Ni sehemu nzuri sana na inautulivu wa hali ya juu. Last nililala rum ya 35,000 ilikua nzuri na breakfast was superbly!
Hiyo Stanley Motel uliyotaja ni ya kawaida sana, tena sana na hawana hiyo superb breakfast. Labda kama umechanganya jina la hotel. Lakini kama ni hiyo Stanley ninayoifahamu mimi niliwahi kulala hapo kwa 30,000/= na ni kwa vile sikuwa na option nyingine.
Kwa budget yake hawezi kupamuduNenda KBH ukifika stend hpo wenye bajaji au boda watakufikisha mpka ipo karibu na singindan