Tunaomba route ya TRENI: Pugu - Gongo la Mboto - Banana - Vingunguti hadi stesheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaomba route ya TRENI: Pugu - Gongo la Mboto - Banana - Vingunguti hadi stesheni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by R.B, Oct 29, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,167
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Jamani serikali itupie upya mchakato wa route;

  Trein ya kati Steshi kubwa hiamishiwe PUGU ;

  Watu wa Pugu, GOngo La mboto,Mombasa, Mdafu, Kinyerezi , banana na Vingunguti tuwe na treini yetu;

  Tatizo la usafiri ni kubwa;

  Train ya Mwakanga NANI ANFANYA Kazi kurasini? UNanyioshe za za viwandani ifike stesheni
   
 2. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Na kweli hiyo route ina jam sana hasa maeneo ya TAZARA. Ila mpeni Dr Mwakyembe nafasi huenda ikawa kwenye mipango yake.
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Na sehemu zisizo na reli ya TAZARA wala ya kati ndo kusema hazina msongamano? Kama na zenyewe zina msonagamano what is the way forward
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sasa nyie mnataka route zote hizo alafu mkiambiwa mtoe shs 800 kwa trip mnalalamika..kumbukeni hizo treni hazitumii maji
   
 5. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,345
  Likes Received: 2,983
  Trophy Points: 280
  Ianzie KIGOGO FRESH,PUGU KAJIUNGENI,GONGO LA MBOTO,VINGUNGUTI na kuendelea nadhani Waziri ataliangalia hili. Hii ya TAZARA inaanzia mbali nadhani sijui ndiyo kuna KITUO cha kuifanya igeuke.
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  Mbagala lini?
  Ifike mpaka AZAM complex
   
 7. m

  mayengo Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kuliona hilo kamanda, naunga mkono mia kwa mia.
   
 8. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,167
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  kumpongeza Dr. Harison Mwakyembe pamoja na washika dau wenzake kwa jitihada kubwa walizozifanya hadi ahadi yake ya kutuletea usafiri wa tren hapa jijini kukamilika tangu uhuru wa nchi hii upatikane.

  Lini treni ya ngongo la mboto itaanza?
   
 9. N

  Nguto JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Yaani mnachekesha kweli. Pelekeni maombi rasmi kwa mheshimiwa.
   
 10. Rapherl

  Rapherl JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2016
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 3,308
  Likes Received: 1,490
  Trophy Points: 280
  Ishaanza
   
 11. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2016
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,345
  Likes Received: 2,983
  Trophy Points: 280
  Imeanza Halafu Jana Na Leo Ni Bureee
  Kitu Kinaanzia Station Hadi Pugu
   
Loading...