Hot Gossip in town: Tetesi zinasema Meninah na Diamond waanza vikao vya harusi

Mennina na Dangote walaaaaaaaaa:embarrassed1: angemuoa Penina tu , asijidanganye ataishia kuharibikiwa kama kidoti tu ! Mwanaume wenyewe nani ! huyo Majanga++

Penny nae yule ni mke wa kuoa bora hata Meninah hana skendo labda azianzee ,penny na Wema wale wale tabia moja
 
Domo kasanuka wema mbibi hafai kua wife material,mda wote yuko n mashoga kwenye vigodoro familia ataiweza huyo

Kwanza mi ningemshauri Daimondo asioe ale ujana kwanza ataoa akifikisha 38 huko anaoa haraka haraka ya ninii halaf angeoa bint asie maarufu kama FA alivyofanya unamdhibiti mwanamke anatulia ndani tu na shughul zake basi
Huyo kila siku anataka auze sura wa nini sasa
 
Ndio hivyo na kuigeuza nyumba danguro,mwanaume hata awe kicheche ataoa demu mtulivu

Hpo umesema ukweli sisi wanaume wengi tunaangalia tabia,hpo wa2 watasema domo mbaya kamharibia future cjui mungu atalipa,wema maisha yke usanii mtupu ukimwoa siri zote z home utazikuta gpl
 
Kama ni bibi si amwambie tu mtoto wa watu aanze kufanya mambo yake maana hata huyo domo kila mda yuko na wanawake atapata wapi time ya kukaa na wanae?

Huyu alienda kwa domo baada y wahongaji twn kumwaga mtu mzima huambiwi ondoka wakti njia unaiona,domo anaishi kwa hela yake acha ale ujana wke,sisi wanaume tunangalia vingi ila tabia ndio inabeba kila ki2.

Huyu wema kutwa n vigodoro n wapambe fekero,huyu ukioa nyumba yko itakua na wageni wa ajabu pamoja n gpl kuhamia kwako,tuseme ukweli wema majanga hajitambui
 
Kwanza mi ningemshauri Daimondo asioe ale ujana kwanza ataoa akifikisha 38 huko anaoa haraka haraka ya ninii halaf angeoa bint asie maarufu kama FA alivyofanya unamdhibiti mwanamke anatulia ndani tu na shughul zake basi
Huyo kila siku anataka auze sura wa nini sasa

Yani kunywa balimi creti ntalipa mimi,cku zote mwanamke macho juu hadumu kwenye ndoa,ukioa huyo bibie gpl wanahamia kwako hata ukijamba wanatoa stori chezea watoto w mjini wewe
 
Hizi ni dalili za Diamond kutoa wimbo mpya!
Bila shaka siku si nyingi ata tangaza kutoa singo mpya!
Hii ni aina ya promotion anayo pendelea!

Kuhusu kuoa ninge mshauri hasioe kwanza mpaka atakapo kuwa na akili timamu za kuoa!
 
Lawyer upo sahihi kabisa.
 
Huyu jamaa kwa skendo kila mwanamke mzuri hapa town yeye tu aaaaaa tumechoka sasa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom