Hot Gossip in town: Tetesi zinasema Meninah na Diamond waanza vikao vya harusi

Diamond mzee wa kutafuta kiki kupitia mademu wasiojielewa

Ula wema nae heri aachwe atafute mwanaume wa maana....

Diamond anamdhalilisha sana huyu binti mbele ta hadhara halafu papuchi anaizeesha bure.... heri hata ck alikuwa anamhonga kidogo pesa ya sabuni....
 
Wema ni wema usiokuwa na Wema,hasikii la kusoma wala la kusema,safari aibu hii yaweza leta mauti!!!
 
Diamond mzee wa kutafuta kiki kupitia mademu wasiojielewa

Ula wema nae heri aachwe atafute mwanaume wa maana....

Diamond anamdhalilisha sana huyu binti mbele ta hadhara halafu papuchi anaizeesha bure.... heri hata ck alikuwa anamhonga kidogo pesa ya sabuni....

Pesa ya renovation hatoi??!! Au anaamini ni inelastic so haina depreciation??!!!
 
Maana mmmmh Wema anampenda sana Daimond basi tu

Anajishaua

Yeye ndio wakwanza kupenda au atakuwa wa mwisho????????

Mwanaume gani anayesema madhaifu yako kwenye media na yeye yupo tu

Na ndomo mwenyewe anawatumia tu kutafuta umaarufu...utasikia wimbo mpya atamalizia na "kikao cha harusi na menina" bado tu wema kang'ang'ana
 
Au ndo yale mambo ya wacha movie iendeleee!!khaa kiukweli mie nimewachoka bana
 
Kiukweli mambo mengine tunayataka wenyewe sisi wanawake...mwanaume kakuacha,katembea na mashoga zako wewe unarudiana naye tena huku ukijisifu shujaa uliyenyang'anywa penzi kisha ukalirudisha!!!
 
Back
Top Bottom