Hot Gossip in town: Tetesi zinasema Meninah na Diamond waanza vikao vya harusi

Afadhali kunifungulia uzi warumi akicheka hamalizii kuchekaa

Ile ijumaa liyopita ilikuwa kiboko, nilicheka mpaka nikakinai, ngoja ijumaa ifike tena nimwage ma ubuyu, maana sijawah kucheka kama ile siku, yani iikuwa shidaa
 
Last edited by a moderator:
Ile ijumaa liyopita ilikuwa kiboko, nilicheka mpaka nikakinai, ngoja ijumaa ifike tena nimwage ma ubuyu, maana sijawah kucheka kama ile siku, yani iikuwa shidaa

Hata mi hakuna siku nilicheka kama siku hiyoo aisee
 
Mie sometimes huwa nahisi wema hana akili maana kafanyiwa mambo mabaya ila lipo tu linang'ang'ana.Mwanaume anatoka na rafiki zako bado hakupi chochote cha maana then unaendelea kukomaa?

Tatizo Mashabiki wake mnamponza Wema na zile kauli zenu "OOOOooooh Wema na Domo ni nice couple" sasa mwache aendelee kuliwa mzigo na kuachwa uku wenzie waliotulia wakiolewa na kuishi maisha.

Honey Faith T
 
Namtafuta mod kwa udi na uvumba nimpe rushwa kidogo ili asinipe ban maana kuna watu bado nina hasira nao vibaya

Hhhhaaaaaaaaaa hawahongeki hao ukiwa unatukana usiweke matusi yale yenye ukakasiii
 
Menina mwenyewe anatumika tu



Hivi mtu unaolewa na Diamond kabisa unasema umepata mme,Meninah kimbia haraka utajuta,ila kwa vile ni waaislam mwisho wanne,Diamond lazima aoe mke zaidi ya mmoja no matter anamua nani

Haswaaaaa cheap publicity nyingine



Hizi ni dalili za Diamond kutoa wimbo mpya!
Bila shaka siku si nyingi ata tangaza kutoa singo mpya!
Hii ni aina ya promotion anayo pendelea!

Kuhusu kuoa ninge mshauri hasioe kwanza mpaka atakapo kuwa na akili timamu za kuoa!

Ila hawa wanawake wanaokubali kutumika kama toilet paper nao viazi...hawajitambui
 

Attachments

  • 1411483919674.jpg
    1411483919674.jpg
    76.9 KB · Views: 311
Back
Top Bottom