Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

Usiumize kichwa sana my Dear !!!....Amna kipya chini ya jua .

Haya yanayoendelea sasa yalifanywa wakati Wa Sodoma na Gomora ambapo wanaume walioana wao kwa wao hata Mungu akaamua kuwaangamiza !!.

Kwaufupi ,, Watu kutokua na Hofu na Mungu hii kitu imefanya Jambo hili lijirudie tena , nabila Shaka Moto utahusika tu.

Wewe mla Tigo ni Pumbavu.
Wewe mtoa Tigo Ni Pumbavu Mara mbili !!.

SURE.
 
TIGO TAMU SANA ASIKWAMBIE MTU DAAH SIWEZI KUAACHA KULA TIGO. ILA TUSIWAFANYIE WANAUME WENZETU NI DHAMBI KUBWA.
 
Hili jambo sio zuri kabisa tulipinge kwa nguvu zote. Ila tusilaumiwe wanaume tu wapo wanawake wengi wanaotaka kutaste huo mchezo bila kushawishiwa na wanaume.
 
Sijaona mdada aliyekiri kufanya kinyume hadi post hii, vidume vimekuwa mahiri kukiri kuwa vimewahi kuwaingilia wanawake kadhaa kinyume.
 
Yaani mkuu huwezi aminj nimezunguka mitaa yote ua jeiefu nakutafuta sijakuonasijui ulipotelea wapii
Hahahaaa. Umenifanya nicheke aiseee.

Nipo bana ila si unajua jf kubwa hii. Nishukuru bana tumeonana na umepata kunisabahi. Ahsante sana.

Uwe na asubuhi njema Mkuu.
 
Hahahaaa. Umenifanya nicheke aiseee.

Nipo bana si unajua jf kubwa hii. Ila nashukuru bana tumeonana na umepata kunisabahi. Ahsante sana.

Uwe na asubuhi njema Mkuu.
Mkuu nawe uwe na asubuhi mwanana wakati huu leo siku yangu itakua njema kwakweli maana ni bahati kuonana na wewe mkuumapinduziiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom