Mnaotafuta dawa ya nguvu za kiume hii hapa

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,199
Nishawaambia sana jamani acheni kuliwa hela zenu na hao waganga njaa mnafakamia madawa halafu hamjui madhara yake na mnatapeliwa

Nguvu za kiume zinapatikana Baharini jamani yaani nyama ya samaki na viumbe wengine kama pweza na ngisi supu yake ni tiba namba moja na kusimamisha uume wako.

IMG_20240217_122421.jpg

Mwanaume ndani lazima uwe na mchemsho wa sangara au samaki wengine hao ndio kiboko ya nguvu za kiume
 
labda, ila dawa zipo pia za ukweli
mimi nimetibika na niko sawa.
Kuna siku nilikuwa na binti niliyempenda kiukweli, siku amenipa, ile kuingiza tu wazungu hao. usiku saa 4
sikupata hamu ya kurudia hadi kesho yake jioni. hali ikawa hivyohivo. nilipata stress sana kwa kweli
nikaingia chimbo. tulivokutana baada ya mwezi , nilipiga vitatu ndani ya usiku mmoja
PWEZA INABOOST TU IKIWA UPO VIZURI, ILA HAITIBU KAMA TATIZO LIMEISHAANZA
 
Dawa gani ulitumia. Na chanzo cha kuishiwa nguvu ilikuwa ni nini mkuu ?!
 
Mpaka ipitishwe mswada wa sheria wa kukubembeleza ili uitaje hiyo dawa..!?
 
Nishawaambia sana jamani acheni kuliwa hela zenu na hao waganga njaa mnafakamia madawa halafu hamjui madhara yake na mnatapeliwa

Nguvu za kiume zinapatikana Baharini jamani yaani nyama ya samaki na viumbe wengine kama pweza na ngisi supu yake ni tiba namba moja na kusimamisha uume wako.

View attachment 2906739

Mwanaume ndani lazima uwe na mchemsho wa sangara au samaki wengine hao ndio kiboko ya nguvu za kiume
uko sahihi na uko sawa kabisa mkulungwa 🐒

dawa nyingine mujarabu sana ni kuacha nyeto tu 🐒

R I P Laigwanan comrade
 
labda, ila dawa zipo pia za ukweli
mimi nimetibika na niko sawa.
Kuna siku nilikuwa na binti niliyempenda kiukweli, siku amenipa, ile kuingiza tu wazungu hao. usiku saa 4
sikupata hamu ya kurudia hadi kesho yake jioni. hali ikawa hivyohivo. nilipata stress sana kwa kweli
nikaingia chimbo. tulivokutana baada ya mwezi , nilipiga vitatu ndani ya usiku mmoja
PWEZA INABOOST TU IKIWA UPO VIZURI, ILA HAITIBU KAMA TATIZO LIMEISHAANZA
Kuna ukweli fulani.
 
Lipia tangazo mkuu
 
Dawa gani ulitumia. Na chanzo cha kuishiwa nguvu ilikuwa ni nini mkuu ?!
Chukua tangawizi, kitunguu swaumu, asali lita 1, karafuu, abdalasini, pilipili manga, twanga changanya.

Pata kijiko kidogo cha chai asubuhi na jioni kwa siku 30.

Fanya mazoezi.

Acha kula vitu vyenye sukari na mafuta mengi.

Kula mboga mboga, matunda, protini. Kwa muda wa mwezi mmoja halafu Mshukuru Mungu kwa kupona
 
labda, ila dawa zipo pia za ukweli
mimi nimetibika na niko sawa.
Kuna siku nilikuwa na binti niliyempenda kiukweli, siku amenipa, ile kuingiza tu wazungu hao. usiku saa 4
sikupata hamu ya kurudia hadi kesho yake jioni. hali ikawa hivyohivo. nilipata stress sana kwa kweli
nikaingia chimbo. tulivokutana baada ya mwezi , nilipiga vitatu ndani ya usiku mmoja
PWEZA INABOOST TU IKIWA UPO VIZURI, ILA HAITIBU KAMA TATIZO LIMEISHAANZA
acha nyeto,
misuli ya kupitisha damu imetanuka kwajili ya kubana mshedede kwa nguvu na mkono wakati wa nyetroo, inasababisha flow ya damu kutokua na pressure kubwa inayotakiwa wakati unanyandua mbususu halisi coz mirija ya damu imetanuka damu inapwaya kusababisha kushindwa kurudia tena round ingine 🐒

Ukichukua likizo for 1 month bila nyeto utapata nafuu kubwa sana na for 3 month unapona kabisa 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Chukua tangawizi, kitunguu swaumu, asali lita 1, karafuu, abdalasini, pilipili manga, twanga changanya.

Pata kijiko kidogo cha chai asubuhi na jioni kwa siku 30.

Fanya mazoezi.

Acha kula vitu vyenye sukari na mafuta mengi.

Kula mboga mboga, matunda, protini. Kwa muda wa mwezi mmoja halafu Mshukuru Mungu kwa kupona
Bila kuacha nyeto hufui dafu 🐒

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Back
Top Bottom