Hoseah na Richmond

Wana JF tusipoangalia hapa baadhi ya watu watuharibia maana nzima ya kuwepo JF kwa kupost vitu ambavyo havina maana wala kutujenga wana JF,kelele za TAKUKURU ni baadhi ya watumishi kutaka madaraka ambayo uwezo nayo hawana hata wakipewa,mfano huyo mkurugenzi mkuu msaidizi kusambaza ujumbe wa maandishi kwa watu na wana JF kuwa DR hossea kaandika barua kwa RAIS ya kuomba kuacha kazi ni,akiri hiyo kweli?na hata RAIS akimtoa hoseah anauhakika gani atakuwa mkurugenzi mkuu?Rais ni mtu makini asiyekurupuka na anavyombo makini kwa kufanya kazi zake,na huyo lilian mashaka harakati za kutaka kuwa mkurugenzi mkuu hakuanza leo,hata alidiliki kutembea na mkubwa furani paradise hotel ili amsaidie kwa JK kupata nafasi hiyo,hata mumewe mzee mashaka analijua hiyo,na lilimshanya ugonjwa wake kupanda na kulazwa AGHA KHAN HOSPITAL ,wana JF fuatilieni records hospital.,

IKULU inajua harakati za mama huyo kabla na baada ya uteuzi huo,kwanza yuko karibu na mafisadi walio wengi,mimi si mwana takukuru lakini nachojua mimi hata kama kuna tatizo katika uchunguzi wao wa RICHMOND si tatizo la DK HOSEAH peke yake ni TAKUKURU yote,sasa huyo mama mashaka wenu yeye atakuwa wapi?

Kwanza anapenda kujionyesha anajua kuliko wenzake,kwa uchunguzi wangu nilipofanya kwa kudodosa baadhi ya rafiki zangu ndani ya PCCB wanadai kuwa anamponda mkurugenzi wa elimu kwa UMMA kuwa hajui hata kuongea kwa kuwa yeye lilian mashaka alikuwa amezoea kuonekana kwenye TV,kama msemaji wa TAKUKURU ,sasa baada ya RAIS kumteua MARY MOSHA,kuwa msemaji nadhani watoto wake mama mashaka huwa wanamuuliza mama mbona siku hizi hatukuoni kwenye TV anakosa jibu.,hivyo kama vipi amwambie JK wabadilishane vyeo,mary mosha na liliani mashaka,suala jingine liliani mashaka anavyosema MKURUGENZI wa uchunguzi si mwanasheria ,kwani kuna ulazima kwa mkurugenzi huyo kuwa mwana sheria?mbona wasaidizi wake ni wanasheria?au kwa kuwa chaguo lao KUHANDA baada ya kukosa nafasi hiyo ndio imekuwa nongwa?MKURUGENZI WA UCHUNGUZI anapitashwa na RAIS baada ya kuwa na vigezo vinavyofaa,hivyo kama hilo nalo babp linamuuma akamwambie JK kuhusu uteuzi wake.

Nakushauri mama mashaka(lilian mashaka)acha majungu,kuponda wenzio,acha kubagua watumishi,mda wa makundi na kuteta wengine acha hata MH RAIS JK alishavunja makundi yote ndani ya CCMsasa ni kazi kwa kwenda mbele,ili kujenga taifa hili changa,kila siku kwend IKULU kupeleka majungu hakukusaidii,wataku... na kukuacha solemba kama alivyofanya aliyepita mpaka ikawa mgogoro na mr mashaka,badilika sasa,maana hata huku ikulu kuna wana JF hivyo tutaendelea kupata data zako.

Na kama hutabadilika nitatoa ushahidi kwenye FORUM YETU TUKUFU.
Mwisho TAKUKURU fanyeni kazi msiogope kelele za baahdi ya wabunge kwani hamjui kuwa ninyi ni adui na baadhi yao baada ya kuwadaka kwa RUSHWA? sasa mkikosea jambo si ndio mahara pa kulipiza?Huyo mbunge OLE SENDEKA si mlimkosakosa kumkamata kwa RUSHWA wakati wa uchaguzi?KILICHOMSAIDIA NI MBIO,YULE MASAI,sasa atasema neno gani jema kwa TAKUKURU? kikubwa ongezeni mafunzo,mbinu mpya na pia mazoezi ya mbio ili kuwakamata watu wenye mbio wakati wa TREP kama MH OLE SENDEKA.
 
Wewe unayejiita Mrisho na wenzio mnaodai ni wa TAKUKURU,

Mtaniwia radhi, nawaambia wazi acheni ubabaishaji. Kamati ya Mwakyembe imetamka jinsi TAKUKURU ilivyoshiriki kupotosha umma kwa kutoa taarifa ambazo baadae kamati hiyo imethibitisha kuwa ni za uongo. Maelezo yao yalijitosheleza na tumeyaelewa. Na sababu za mapendekezo yaliyotolewa tunazielewa pia. Sasa kama ninyi Mrisho na wenzio mnazo taarifa za kupingana na ripoti ya Mwakyembe, ziwekeni hapa kwa kujibu hoja moja baada ya nyingine. Kama hamna taarifa za maana msituletee majungu yenu ya huko ofisini kwenu, hayo ni yenu, subirini Bunge limalizie mjadala na litoe maazimio pengine yatawasaidia.
 
Na lazima Dr. Mwakyembe alipe fadhila kwa Dr.Mahalu kwa vile ndiye aliyempa scholarship kwenda ujerumani wakati Dr. Mahalu akiwa dean wa faculty ya sheria pale mlimani.

Ndugu yangu una hakika kuwa hiyo scholarship aliitoa mahalu, au unaongea tu. Mahalu alikuwa na uwezo gani wa kutoa scholaship alipokuwa chuo?
 
Wana JF tusipoangalia hapa baadhi ya watu watuharibia maana nzima ya kuwepo JF kwa kupost vitu ambavyo havina maana wala kutujenga wana JF,kelele za TAKUKURU ni baadhi ya watumishi kutaka madaraka ambayo uwezo nayo hawana hata wakipewa,mfano huyo mkurugenzi mkuu msaidizi kusambaza ujumbe wa maandishi kwa watu na wana JF kuwa DR hossea kaandika barua kwa RAIS ya kuomba kuacha kazi ni,akiri hiyo kweli?na hata RAIS akimtoa hoseah anauhakika gani atakuwa mkurugenzi mkuu?Rais ni mtu makini asiyekurupuka na anavyombo makini kwa kufanya kazi zake,na huyo lilian mashaka harakati za kutaka kuwa mkurugenzi mkuu hakuanza leo,hata alidiliki kutembea na mkubwa furani paradise hotel ili amsaidie kwa JK kupata nafasi hiyo,hata mumewe mzee mashaka analijua hiyo,na lilimshanya ugonjwa wake kupanda na kulazwa AGHA KHAN HOSPITAL ,wana JF fuatilieni records hospital.,
IKULU inajua harakati za mama huyo kabla na baada ya uteuzi huo,kwanza yuko karibu na mafisadi walio wengi,mimi si mwana takukuru lakini nachojua mimi hata kama kuna tatizo katika uchunguzi wao wa RICHMOND si tatizo la DK HOSEAH peke yake ni TAKUKURU yote,sasa huyo mama mashaka wenu yeye atakuwa wapi?

Kama ndugu zangu ndiyo Takukuru yenyewe basi iko kazi! Hayo ya hotelini yanauhusiano gani na hoja ya msingi? Tunavyojua sisi ni kuwa Takukuru ina kiongozi mmoja na kama kuna makosa yeye ndiye anayewajibika. Vile vile kama kuna mafaniko, yeye ndiye atakayebeba sifa kwa niaba ya shirika. Ndiyo maana ya ukubwa. Hamumsaidii kwa kuanika nguo zenu za ndani hadharani. Mnajiharibia wenyewe na kuondoa hata hako ka'credibility' kalikobaki. Kiongozi makini anahakikisha anaowaongoza wote wako naye katika kufanikisha malengo na vision zake. Kwa bahati mbaya picha mnayoionyesha sivyo. Na atakayeonekana ni dhaifu si huyo mnaemdhania bali ni huyu mnayemtetea. Kama mlivyoshauriwa awali, mnahitaji kufanya kazi ya ziada kurudisha imani ya jamii kwenu. Msipoteze muda kwenye hizi character assasinations. Hamna hiyo luxury.
 
Ndugu yangu una hakika kuwa hiyo scholarship aliitoa mahalu, au unaongea tu. Mahalu alikuwa na uwezo gani wa kutoa scholaship alipokuwa chuo?

Uhakika upo. Na kama unataka kuelewa zaidi kachunguze zaidi kwenye records za faculty of law nani alitoa recommendations ili Dr. Mwakyembe kwenda Ujerumani na wangapi wenzake walioomba na kunyimwa hiyo fursa na hasa wale watatu ambao walikuwa senior kwake. Ukishafanya uchunguzi huo then ndio uniuulize kama naongea tu. Kutokuamini kwako hakubadilishi ukweli mwenzangu bongolander. Si unazitaka dataza basi nimekupa hint kafukue na wewe usingoje kutafuniwa. Huenda hata hufamu ni lini Dr. Mwakyembe alienda kusomea PhD yake na wapi.
 
menosugu,
Na wewe ni mgeni pia hapa,nsema hivi jamani someni tulikotoka ndio mje na hizi hadithi zenu.lakini ukisema JF walimdanganya hosea hapo nitakubaliana nanyi lakini kinyume na hapo mimi sipo,zaidi ya mfa maji haishi kutapatapa

Haya mwenyeji Katibu Kata, ni wapi kwenye posting yangu nimesema kuwa JF walimdanganya Hosea, kuhusu lipi? Au pamoja na kuwa mwenyeji comprehension ni tatizo?
 
Wakuu mbona hii thread ina migongo migongo, mikunjo mikunjo na kaharufu ka udaku?????? Nnavyoconclude kupitia wachangiaji waliotangulia ni kwamba

1. Dr. Hosea anaonewa na kusakamwa kuhusu Richmond

2. Kamati ya Mwakyembe imeshiriki kikamilifu kutaka kummaliza Hosea

3. Takukuru hali si shwari na kuna kugombea madaraka kusikokwisha!!!!!!

Pia nna wasiwasi wachangiaji ni mtu mmoja au wawili wanajibadilibadili majina ili ionekane ni hoja za watu tofauti.

Ushauri wa bure nendeni huko kwa mwajiri wenu(TAKUKURU) mkamalize tofauti zenu kisha mje hapa JF na constructive ideas, criticism, comments you name it.
 
Wana JF tusipoangalia hapa baadhi ya watu watuharibia maana nzima ya kuwepo JF kwa kupost vitu ambavyo havina maana wala kutujenga wana JF,kelele za TAKUKURU ni baadhi ya watumishi kutaka madaraka ambayo uwezo nayo hawana hata wakipewa,mfano huyo mkurugenzi mkuu msaidizi kusambaza ujumbe wa maandishi kwa watu na wana JF kuwa DR hossea kaandika barua kwa RAIS ya kuomba kuacha kazi ni,akiri hiyo kweli?na hata RAIS akimtoa hoseah anauhakika gani atakuwa mkurugenzi mkuu?Rais ni mtu makini asiyekurupuka na anavyombo makini kwa kufanya kazi zake,na huyo lilian mashaka harakati za kutaka kuwa mkurugenzi mkuu hakuanza leo,hata alidiliki kutembea na mkubwa furani paradise hotel ili amsaidie kwa JK kupata nafasi hiyo,hata mumewe mzee mashaka analijua hiyo,na lilimshanya ugonjwa wake kupanda na kulazwa AGHA KHAN HOSPITAL ,wana JF fuatilieni records hospital.,
IKULU inajua harakati za mama huyo kabla na baada ya uteuzi huo,kwanza yuko karibu na mafisadi walio wengi,mimi si mwana takukuru lakini nachojua mimi hata kama kuna tatizo katika uchunguzi wao wa RICHMOND si tatizo la DK HOSEAH peke yake ni TAKUKURU yote,sasa huyo mama mashaka wenu yeye atakuwa wapi?
Kwanza anapenda kujionyesha anajua kuliko wenzake,kwa uchunguzi wangu nilipofanya kwa kudodosa baadhi ya rafiki zangu ndani ya PCCB wanadai kuwa anamponda mkurugenzi wa elimu kwa UMMA kuwa hajui hata kuongea kwa kuwa yeye lilian mashaka alikuwa amezoea kuonekana kwenye TV,kama msemaji wa TAKUKURU ,sasa baada ya RAIS kumteua MARY MOSHA,kuwa msemaji nadhani watoto wake mama mashaka huwa wanamuuliza mama mbona siku hizi hatukuoni kwenye TV anakosa jibu.,hivyo kama vipi amwambie JK wabadilishane vyeo,mary mosha na liliani mashaka,suala jingine liliani mashaka anavyosema MKURUGENZI wa uchunguzi si mwanasheria ,kwani kuna ulazima kwa mkurugenzi huyo kuwa mwana sheria?mbona wasaidizi wake ni wanasheria?au kwa kuwa chaguo lao KUHANDA baada ya kukosa nafasi hiyo ndio imekuwa nongwa?MKURUGENZI WA UCHUNGUZI anapitashwa na RAIS baada ya kuwa na vigezo vinavyofaa,hivyo kama hilo nalo babp linamuuma akamwambie JK kuhusu uteuzi wake.
nakushauri mama mashaka(lilian mashaka)acha majungu,kuponda wenzio,acha kubagua watumishi,mda wa makundi na kuteta wengine acha hata MH RAIS JK alishavunja makundi yote ndani ya CCMsasa ni kazi kwa kwenda mbele,ili kujenga taifa hili changa,kila siku kwend IKULU kupeleka majungu hakukusaidii,wataku... na kukuacha solemba kama alivyofanya aliyepita mpaka ikawa mgogoro na mr mashaka,badilika sasa,maana hata huku ikulu kuna wana JF hivyo tutaendelea kupata data zako.
na kama hutabadilika nitatoa ushahidi kwenye FORUM YETU TUKUFU.
Mwisho TAKUKURU fanyeni kazi msiogope kelele za baahdi ya wabunge kwani hamjui kuwa ninyi ni adui na baadhi yao baada ya kuwadaka kwa RUSHWA? sasa mkikosea jambo si ndio mahara pa kulipiza?Huyo mbunge OLE SENDEKA si mlimkosakosa kumkamata kwa RUSHWA wakati wa uchaguzi?KILICHOMSAIDIA NI MBIO,YULE MASAI,sasa atasema neno gani jema kwa TAKUKURU? kikubwa ongezeni mafunzo,mbinu mpya na pia mazoezi ya mbio ili kuwakamata watu wenye mbio wakati wa TREP kama MH OLE SENDEKA.

Mchango wako ni mrefu lakini hamna lolote la maana unalochangia zaidi ya majungu. Mjadala ni kuhusu ripoti ya TAKUKURU na PRRA. Nani ali-deliver tangible and realistic outputs. We are not intersted with kugombania vyeo huko TAKUKURU sababu si hoja.
 
Tumekuwa tukiandika mara nyingi lakini watu wanatupuuza wakifikiri sisi ni wachonganishi lakini ukweli ni kwamba TAKUKURU inaenda pabaya, morale ya wafanya kazi ipo chini.

Kwa kweli ndugu zangu wana JF na watanzania wenzangu! Takukuru ni "ushuzi" fulani ambao unaweza kushamiri na kuwepo katika "banana country" hebu niambieni mtu wa maana aliyeweza kutiwa hatiani na hicho kiji-taasisi! wanajifanya wanachunguza mambo na wamejaa majungu! Rais ana vyombo vyake makini vya kumpa taarifa! ukweli tumeuona hapa juzi wakati tulipomkabidhi fisi bucha! halafu korokoroni wetu akadai kwamba kule buchani nyama imejaa tena na unono wakee!!! Namshauri rais JK kama ameweza kumtema swahiba wake na afanye hivyo kwa mnafiki huyu anayeitwa hosea! La muhimu kabisa ni kuvunjilia mbali kiji-taasisi hiki kisicho na meno wala mwelekeo! Suala la taasisi ya kuzuia rushwa ni kwa ajili ya danganya toto! na kuitia serikali hii gharama zisizo na msingi!
 
Tunachohitaji kufahamu ni kwa nini TAKUKURU chini ya Hosea ilishindwa kugundua dosari za msingi katika scandali ya Richmond iliyosababisha hasara kubwa kwa taifa, wakati wao ndio wenye dhamana ya kuzuia na kudhibiti rushwa. Inabidi itolewe hoja yakinifu ili jamii iondokane na hisia kuwa lengo la takukuru ilikuwa kuficha ufisadi wa wakubwa, na kuwa kazi yao ni kupambana na walalahoi kwa rushwa zao za ki-uchwara.
 
Ndugu Shabani

Ukweli uliousema imebidi nikkunge mkono na pia niongezee kwa undani ukweli ambao leo hii wengi wataubishia na kusema ni uwongo, lakini naomba hii posting idumu kwa muda wa miezi sita tu kama haya ninayoyasema hayatathibitika.

1. Dr. Mwakyembe 2. Dr. Mahalu
Hawa ni marafiki wa damu na ni lazima Mwakyembe afanye kila mbinu Mahalu apone kesi yake ya kuliibia taifa zaidi ya bilioni tatu. Aliyeshika bango la kumfunga Mahalu ni Dr. Hosea na uthibitisho ni pale Dr. Mwakyembe anapotoa recommendation kuwa uongozi wa PCB ubadilishwe. Kwa nini anakuwa so specific wala hasemi wawajibishwe wala kuadhibiwa yeye anasema wazi kuwa wabadilishwe. Na lazima Dr. Mwakyembe alipe fadhila kwa Dr.Mahalu kwa vile ndiye aliyempa scholarship kwenda ujerumani wakati Dr. Mahalu akiwa dean wa faculty ya sheria pale mlimani.

Dr.Mwakyembe amejishimbia shimo na uchu wake kupata sifa kwa kuwa-demonise wengine. Yeye kwa kushindwa kuficha hisia zake za ubinafsi na kushindwa kuelewa kuwa mazingara ya tume ake ni tofauti na ya PCCB ni ajabu sana. Yeye nia yake ni Dr. Hosea aondoke ili Dr. Mahalu angalau atafute mbinu mpya za kuponyoka kwa vile kwa Dr. Hosea ni jela tu!
.
Menosugu,mie nadhani wewe na wenzako muondoe kwanza mawazo binafsi ndipo muweze kujadili hii mada. Manaake msipofanya hivyo mtakuwa mnajadili huku mkiwa Narrow minded. Hebu nikuulize swali, kwa nini Hosea alifukuzwa na Jaji Nyalali alipokuwa personal assistant wake? je,umewahi kufanya kazi kwa Hosea kama staff wake pale ofisini kwke opposite na TANESCO?Pili suala la mwakyembe kuwa rafiki wa Mahalu wala sio la msingi hapa, wanasheria wote(advocates) ni marafiki ndio maana wanaitwa learned friend,ndio maana hata wanapowakilisha wateja mahakamani baada ya kesi wanaenda kunywa chai pamoja halafu nyie wenye kesi mnabaki kulalamika mkihisi wanakula njama hapana hivyo ndivyo taaluma ya sheria ilivyo. Inaongozwa na falsafa "dont step into the shoes of the client". Hosea mwenyewe ni mwanafunzi wa mahalu, tena wanatoka kabila moja au mkoa mmoja kma sikosei,nilitegemea hawa wawe marafiki kuliko hata mwakeyembe. Huyo Hosea unayemsema mi mwenyewe ni mwalimu wangu kwenye darasa la Evidence,hivyo namjua vema japo wa hapo.

Suala la Mwakyembe kupelekwa ujerumani sio upendeleo ni sera ya elimu ya juu. Mtu yeyote anayefanya kazi ya kufundisha kwenye elimu ya juu huwezi kuendelea na cheo hicho hicho cha lecturer kwa miaka zaidi ya mitatu bila kuongeza elimu,na ndio maana vyuo kama IFM vinapeleka watumishi wake kusoma nje zaidi ya 20 kwa mwaka. Hivyo mahalu awepo asiwepo bado mwakyembe angeenda tu ujerumani.

Kukurupuka kwa PCB kumshtaki Hosea ndio maana kesi yao inakuwa ngumu adi leo,mara ngapi wamepeleka application mahakamani zikatupwa?hati ya mashtaka yenyewe wamefremu vibaya hadi mtu anapewa dhamana kwenye uhujumu uchumi uliona wapi? kina mgongolwa wakatumia loophole hiyo kupata dhamana. Walipogundua wamefremu vibaya wakaiomba mahakama wabadilishe ikawatolea nje tena mahakama kuu.

Suala la PCB kuwa walichemsha kwenye taarifa yao lipo uchi kabisa. Hivi wewe ni mwanasheria? unajua best evidence rule inasemaje? je, unajua kwamba business card sio kitambulisho?

Je,umesoma section 3 ya companies Act,2006 kuhusu company formation inasemaje? msijadili vitu msivyovijua ama kwa ushabiki. Ushabiki na utaalamu haviendani kabisa matokeo yake huwa ni kupotosha.

Huyo mwakyembe kwenye kamati hakuwa peke yake tena sio yeye aliyejichangua kuwa mwenekiti mapendekezo yake ni kazi ya kamati nzima.Ikumbukwe pia kuwa uwazi wa mwakyembe haujaanza kwenye kamati tu,aliwahi kufukuzswa kwenye bodi ya NBC kwa kusema ukweli,vilevile alipokuwa mbunge wa EAC hata Rais anafahamu jinsi yeye wabunge wengine toka kenya walivyokuwa wanapinga bajeti za council of ministers ambapo kikwete alikuwemo. Aidha mwakyembe ameshawahi kusema waziwazi mkuuu wa mkoa wa mbeya na mamlaka zake anamhujumu kwa kuwa alikuwa mpinzani wake kwenye ubunge. Kila akihamashisha shule zijengwe kuna watu wanabomoa akiripoti hawafuatiliwi.

Hebu tumuache mwakyembe kama mwakyembe na ifanyiwe kazi ripoti ya kamati kama kamati
 
Kwa kweli ndugu zangu wana JF na watanzania wenzangu! Takukuru ni "ushuzi" fulani ambao unaweza kushamiri na kuwepo katika "banana country" hebu niambieni mtu wa maana aliyeweza kutiwa hatiani na hicho kiji-taasisi! wanajifanya wanachunguza mambo na wamejaa majungu! Rais ana vyombo vyake makini vya kumpa taarifa! ukweli tumeuona hapa juzi wakati tulipomkabidhi fisi bucha! halafu korokoroni wetu akadai kwamba kule buchani nyama imejaa tena na unono wakee!!! Namshauri rais JK kama ameweza kumtema swahiba wake na afanye hivyo kwa mnafiki huyu anayeitwa hosea! La muhimu kabisa ni kuvunjilia mbali kiji-taasisi hiki kisicho na meno wala mwelekeo! Suala la taasisi ya kuzuia rushwa ni kwa ajili ya danganya toto! na kuitia serikali hii gharama zisizo na msingi!

Kashogi,

JF si ya wahuni na watukanaji kiasi hicho, toa hoja. Kwa jinsi tunavyoendelea tutaonekana wote ni wahuni na wavuta bangi kwa sababu ya lugha zinazotumika.

JIHESHIMU ILI UHESHIMIWE, KILA MTU ANASTAHILI HESHIMA!
 
Ndugu Shabani

Ukweli uliousema imebidi nikkunge mkono na pia niongezee kwa undani ukweli ambao leo hii wengi wataubishia na kusema ni uwongo, lakini naomba hii posting idumu kwa muda wa miezi sita tu kama haya ninayoyasema hayatathibitika.

1. Dr. Mwakyembe 2. Dr. Mahalu
Hawa ni marafiki wa damu na ni lazima Mwakyembe afanye kila mbinu Mahalu apone kesi yake ya kuliibia taifa zaidi ya bilioni tatu. Aliyeshika bango la kumfunga Mahalu ni Dr. Hosea na uthibitisho ni pale Dr. Mwakyembe anapotoa recommendation kuwa uongozi wa PCB ubadilishwe. Kwa nini anakuwa so specific wala hasemi wawajibishwe wala kuadhibiwa yeye anasema wazi kuwa wabadilishwe. Na lazima Dr. Mwakyembe alipe fadhila kwa Dr.Mahalu kwa vile ndiye aliyempa scholarship kwenda ujerumani wakati Dr. Mahalu akiwa dean wa faculty ya sheria pale mlimani.

Dr.Mwakyembe amejishimbia shimo na uchu wake kupata sifa kwa kuwa-demonise wengine. Yeye kwa kushindwa kuficha hisia zake za ubinafsi na kushindwa kuelewa kuwa mazingara ya tume ake ni tofauti na ya PCCB ni ajabu sana. Yeye nia yake ni Dr. Hosea aondoke ili Dr. Mahalu angalau atafute mbinu mpya za kuponyoka kwa vile kwa Dr. Hosea ni jela tu!

Menosugu,
Sikubaliani na wewe kabisa katika hoja zako hapo juu, na nazibomoa bomoa kama ifuatavyo.
Kwanza, Dk Hosea akiondoka TAKUKURU haondoki na mafaili ya kazi, haya mafaili na nyaraka nyingine ni mali ya sirikali ya Tanzania. Kwa mantiki hii basi, taarifa zote za uchunguzi lazima zibaki katika kumbukumbu za TAKUKURU ili kesi ziweze kwenda mahakamani na haki kutendeka.
Pili, Dr Mwakyembe hakufanya ule uchunguzi peke yake, kumbuka kwamba ile ilikuwa ni kamati yenye wataalamu wa fani mbalimbali, na kile kilicholetwa mbele ya hadhara kilikubaliwa na wanakamati wote, wala si maoni ya mwenyekiti pekee!
Kama una hoja nyingine ilete, hizo hapo juu ni dhaifu!
 
JF

Nakuunga mkono kwa moja kubwa ulilosema 'UONGO WA BABA HUANGAMIZA FAMILIA, NA UONGO WA MWANASIASA HUANGAMIZA TAIFA'.

Mambo ya TAKUKURU ni usiri na unyeti, na wana MKUU wao ambaye ni Rais.TUMWACHIE RAIS AAMUE!

MRISHO SHABANI

Wewe Mrisho Shabani unasikitisha sana,kaka kama una la kujibu tuhuma hizo litoe na sio kumlalamikia Lilian na mwenzake. Kama wewe ulishiriki kwenye uchunguzi huo feki tupe data na acha kuongea hovyo bila kujali kuwa unapingana na mawazo na matarajio ya wengi. Ukija utaifa kaka jaribu kusahau urafiki na undugu jambo unalolifanya ni kama kula nyama ya mtu....utakula mpaka utaanza kula vidole vyako mwenyewe. Inasikitisha sana mtu kutoka PCCB anapojitokeza na kupinga kamati teule na hoja za wenzake wa PCCB tena bila hata envidence yoyote. This shows how much PCCB is corrupt!!Kuna mtu alishasema kuwa hapa JF kuwa 'ncha ya mkuki haipigwi na kwenzi'. Sasa jitahidi kuwa mwadilifu mpaka kwenye kauli zako kwani umesababisha mtu kama mimi wa hali ya chini kifikra kuona PCCB ni genge la mafisadi. USA wamesema hamna hiyo RDC bado unaitetea kaka,inasikitisha sana!I thank God you are not related to me or my family!Mungu akujalie usioteshe hiyo mbegu sehemu nyingine
 
Mjadala, ubishi lakini ukweli ni kwamba TAKURU (sasa TAKUKURU) haikufanya kazi yake sawaswa kwenye ishu ya Richmond.
Mjadala uwe ni kwa nini haikufanya sawa... lakini suala nani kasoma/kafundishwa na nani si la msingi.
 
Kashogi,

JF si ya wahuni na watukanaji kiasi hicho, toa hoja. Kwa jinsi tunavyoendelea tutaonekana wote ni wahuni na wavuta bangi kwa sababu ya lugha zinazotumika.

JIHESHIMU ILI UHESHIMIWE, KILA MTU ANASTAHILI HESHIMA!

Tatizo lenu ni kuwa na uelewa mdogo wa upana wa lugha !! haswa ya kiswahili!!!
Naona hata maana ya uhuni hamuielewi!

Kama mlifuatilia majumuisho ya riport ya Dr. Mwakyembe, ililaumu utendaji mbaya wa waliohusika kwa kuingia mkataba "mbovu" na kampuni hewa!

Ushuzi maana yake : hewa chafu inayotoka! sioni uhuni kuuita taasisi iliyosababisha nchi hii kuwa giza kwa mwaka mzima, kwa kuingia mkataba na kampuni mbovu!(ushuzi!!!) Na hivi naiona hisia ya mtoa mada na uelewa wake finyo wa lugha hii!

Korokoroni : maana yake mlinzi! natumai ungejisikia furaha kama ningeiita takukuru "watch dog" kama ambavo CIA na mengineyo yanavyoitwa kwa lugha ya kimombo!Lugha yetu ni pana na lazima katika uandishi uweze kutoa hisia zako kwa kutumia upana huo! Kama rais JK asingeliona hilo la ubovu (ushuzi) wa shughuli nzima ya takukuru basi leo tusingekuwa na mawaziri ambao sasa wanatakiwa kujishughulisha na "kazi" za nyumbani baada ya juzi kutemwa katika baraza ambolo ndugu JK asingeweza kufanya vinginevyo! Tuache tabia ya kujaribu kutosema ukweli wa jambo kwa kutokujua la kusema!!!
 
Bwana Mrisho Shaaban,hongera sana kwa porojo zako!! zimenisisimua lakini naona tu unajitahidi kufanya cover up kama nursery school boy anyway, hoja ni kuwa Richmond ni fake and it has been proved to be a briefcase firm, get that into your greezy head, this guy(Hosea) couldn't even point that out, even though harufu ya rushwa yeye hakuisikia angeweza at least kufanya mentioning ya mapungufu hayo ambayo hata kamati iliyaona over the internet na kuibukia hiyo address US na kukuta ofisi ni printing factory or something!! This guy( Hosea ) is the total waste of space!! His As* should be sacked a.s.a.p

May be amekutuma( umetumwa ) lakini thanks but no thanks.
 
• Taarifa iliyosomwa kwa vyombo vya habari ni taarifa ya Hoseah na wala siyo ya TAKUKURU. Kwani taarifa ya kweli ya uchunguzi Hosea aliiweka kando ikaandikwa taarifa nyingine ya kuvipa vyombo vya habari na kuwalinda marafiki zake.

Kama usemayo ni kweli na wewe upo huko "jikoni" tuchomolee basi hiyo taarifa ya TAKUKURU. Jee, tukuamini vipi? na kama upo hapo jikoni si inawezekana kabisa kuwa haya yakawa ni majungu ya kazini?

Kwa hayo, siitetei na wala sijaiona hiyo "taarifa ya Hosea". Ingekuwa vizuri ukatubandikia zote mbili halafu uwache wana JF na wahusika wengine, ambao wamo humu, waamuwe.
 
Ndugu Shabani

Ukweli uliousema imebidi nikkunge mkono na pia niongezee kwa undani ukweli ambao leo hii wengi wataubishia na kusema ni uwongo, lakini naomba hii posting idumu kwa muda wa miezi sita tu kama haya ninayoyasema hayatathibitika.

1. Dr. Mwakyembe 2. Dr. Mahalu
Hawa ni marafiki wa damu na ni lazima Mwakyembe afanye kila mbinu Mahalu apone kesi yake ya kuliibia taifa zaidi ya bilioni tatu. Aliyeshika bango la kumfunga Mahalu ni Dr. Hosea na uthibitisho ni pale Dr. Mwakyembe anapotoa recommendation kuwa uongozi wa PCB ubadilishwe. Kwa nini anakuwa so specific wala hasemi wawajibishwe wala kuadhibiwa yeye anasema wazi kuwa wabadilishwe. Na lazima Dr. Mwakyembe alipe fadhila kwa Dr.Mahalu kwa vile ndiye aliyempa scholarship kwenda ujerumani wakati Dr. Mahalu akiwa dean wa faculty ya sheria pale mlimani.
Dr.Mwakyembe amejishimbia shimo na uchu wake kupata sifa kwa kuwa-demonise wengine. Yeye kwa kushindwa kuficha hisia zake za ubinafsi na kushindwa kuelewa kuwa mazingara ya tume ake ni tofauti na ya PCCB ni ajabu sana. Yeye nia yake ni Dr. Hosea aondoke ili Dr. Mahalu angalau atafute mbinu mpya za kuponyoka kwa vile kwa Dr. Hosea ni jela tu!

KWANI MAHALLU ndiye aliyekuwa owner wa hizo scholaships, mbona tupo wengi tu tumesoma huko ujerumani itakuwa Mwakyembe ambaye naamini scholaship yake ilikuwa sehemu ya capacity building toka serikali ya Ujerumani kwa University of Dar. Rafiki yako hakikosa, haikufungi mdomo au akili kufanya lile unalopaswa kulitenda kwa faida ya taifa. Je tuseme Bro Ditto alipoua, JK afumbe macho kwa wahalifu wengine. Hainiingii kichwani kuwa eti Mwakyembe anafanya hivyo kumlinda Mahallu, kama uhusiano ungekuwa na madhara kiasi hicho, TUKUKURU ilitakiwa kumshauri JK tutomweka Mwakyembe penye hiyo tume na haswa Hosea mwenyewe kwa madaraka aliyokuwa nayo na ukaribu wake kwa rais. Tuache upambe.
 
Ndugu Shabani

Ukweli uliousema imebidi nikkunge mkono na pia niongezee kwa undani ukweli ambao leo hii wengi wataubishia na kusema ni uwongo, lakini naomba hii posting idumu kwa muda wa miezi sita tu kama haya ninayoyasema hayatathibitika.

1. Dr. Mwakyembe 2. Dr. Mahalu
Hawa ni marafiki wa damu na ni lazima Mwakyembe afanye kila mbinu Mahalu apone kesi yake ya kuliibia taifa zaidi ya bilioni tatu. Aliyeshika bango la kumfunga Mahalu ni Dr. Hosea na uthibitisho ni pale Dr. Mwakyembe anapotoa recommendation kuwa uongozi wa PCB ubadilishwe. Kwa nini anakuwa so specific wala hasemi wawajibishwe wala kuadhibiwa yeye anasema wazi kuwa wabadilishwe. Na lazima Dr. Mwakyembe alipe fadhila kwa Dr.Mahalu kwa vile ndiye aliyempa scholarship kwenda ujerumani wakati Dr. Mahalu akiwa dean wa faculty ya sheria pale mlimani.

Dr.Mwakyembe amejishimbia shimo na uchu wake kupata sifa kwa kuwa-demonise wengine. Yeye kwa kushindwa kuficha hisia zake za ubinafsi na kushindwa kuelewa kuwa mazingara ya tume ake ni tofauti na ya PCCB ni ajabu sana. Yeye nia yake ni Dr. Hosea aondoke ili Dr. Mahalu angalau atafute mbinu mpya za kuponyoka kwa vile kwa Dr. Hosea ni jela tu!

Ndugu zangu Mrisho na Menosugu,
Hivi mmelipwa TShs ngapi kufanya kazi hii mnayoifanya hapa JF? Kama ninyi ni wakweli mseme kiasi mlicholipwa ili kuleta visa binafsi hapa JF na kutetea ufisadi. Ama kweli fisadi hana huruma yaani kila sehemu mnataka kufisadi? hata JF?. Tunaomba tuzungumzie juu ya ripoti na sio zile kambi zenu za Hosea na Kamazima. Ni kweli uongozi wa PCCB ni lazima ubadilishwe kama kuna kuwa na makundi katika kuwatumikia wadanganyika katika Taasisi muhimu kama hiyo, mbona ni kichekesho. Mrisho na Menosugu nawaomba msipotoshe mada hapa. Wana JF tupo makini sana sisi sio wale wakizamani ambao walikuwa wanaambiwa "bakuri ni sawa na kikombe kwa kuwa vyote vinaweka maji"
 
Back
Top Bottom