Horace Kolimba hafanyiwagi kumbukumbu?

kabla ya kutafakari ya kolimba, anza kwa aliyekuwa katibu mkuu wa TANU sasa CCM, Mh. Oscar Kambona (RIP); yaliyomtokea hadi kutorokea uingeleza nadi kuzikwa kwake hapa Tanzania.

Ukikisema Chama cha CCM vibaya kwa nia ya kukisahihisha basi wewe unakuwa Muasi. waasi huwa hawana nafasi ndani ya chama isipokuwa Nape na Sitta wa CCJ ndiyo waliopona. tu
 
Ni kweli Marehemu Kolimba alikuwa mchapa kazi na mtendaji pia lakini hakuna hata siku moja waliomkumbuka...ila huo mchezo wa kuwanyofoa watu kucha na macho mwisho wao utafika tuu...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Marehemu Dr. Omar familia yake iko Dar na wanaishi nyumba nzuri ya serikali kule Kawe beach!!

Kaburi yake hii hapa

kaburi+la+Dr+Omar+Ali+Juma.JPG
 
Mbona Dr Omar hata hakuna anayemkumbuka Sembuse Kolimba
Dr Omar mpaka kufikia kuwa Makamu wa Rais ila hakuna hata makala moja inayoandikwa inayomhusu as if hakuwahi kufanya lolote Tanzania hii
 
[QUOTE:Hata enzi za mwalimu ufisadi ulikuwepo.Enzi hizo hiyo nyumba ilikuwa ya gharama kubwa.Mabadiliko yakitokea kwa kasi hutakiwi kuweweseka.Enzi hizo viongozi wengi walikuwa cha pombe na dogos.Kwa sasa mambo yote mtandaoni]
 
Yaani ujue serikali ya CCM walivyoichukia hii kauli - "CHAMA HAKINA DIRA WALA MWELEKEO! kutoka kwa Marehemu Kolimba hata picha yake kwenye maktaba ya taifa haipo!
 
The death of former CCM Secretary General and cabinet minister HORACE KOLIMBA (57) on March 13 under extraordinary circumstances was mourned throughout the country. Mr Kolimba had earlier obtained massive publicity by criticising the CCM party for its lack of vision and clear guidelines and had then been attacked verbally by several party colleagues for making such remarks in public. Summoned to Dodoma to explain his views to the party’s Central Committee he collapsed during the meeting and then died three hours later. To avoid any allegations of foul play, President Mkapa ordered a post-mortem which found that he had died due to a rupture of the aorta, a natural cause of death.

http://www.tzaffairs.org/1997/05/obituaries-44/

Mpaka leo huwa napata shida kuamini hii story!!
 
i totally dismiss the postmortem findings.Never trust ccm when it comes this.
 
KAULI YAKE IMEMGHARIMU YA "ccm imepoteza uelekeo" JAPO ALIKUWA SAHIHI NA UKWELI UMEBAKI UKWELI "ccm imepoteza uelekeo" WAKAMUUA ILI WAPIGE HELA NA WANAPIGA HELA MBAYA MPAKA WAMEITWA MAFISADI SASA WATAMKUMBUKAJE?
 
kabla ya kutafakari ya kolimba, anza kwa aliyekuwa katibu mkuu wa TANU sasa CCM, Mh. Oscar Kambona (RIP); yaliyomtokea hadi kutorokea uingeleza nadi kuzikwa kwake hapa Tanzania.

Ukikisema Chama cha CCM vibaya kwa nia ya kukisahihisha basi wewe unakuwa Muasi. waasi huwa hawana nafasi ndani ya chama isipokuwa Nape na Sitta wa CCJ ndiyo waliopona. tu

sita yeye analiwa timing nape ndo cjajua ndo itakuwa je
 
NASEMA HIVI KWAJINSI FAMILIAYAHUYU BABA INAVYOTESEKA
MUNGU ATOWAACHA WALIOMUUA HUYU BABAA
SWALI LINABAKI

NANI ALIMUUA

HORACE KOLIMBA??

Lowassa HII kaziyako yakwanza madarakan waliokufa bilahatia wahusika wakamatwe nao wauwawe
 
Mie siku hizi sipendsana kujadili mada za hivi manake wala hazirudish uhai wa mtu.
malipo yapo hata kama yatachelewa

tumuache apumzike kwa amani.

RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA
MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE
APUMZIKE KWA AMANI
AMINAAA rudia mara 2

RAHA YA MILELE UWAPE EE BWANA
NA MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE
WAPUMZIKE KWA AMANI
AMINAAA
 
Back
Top Bottom