Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
mimi namkumbuka kwa kauli yake kuwa chama hakina dira wala mwelekeo ambayo kwa sasa ni dhahiri kuliko wakati mwingine
ccm hakina maana,dira, mwelekeo, akili wala ufahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi namkumbuka kwa kauli yake kuwa chama hakina dira wala mwelekeo ambayo kwa sasa ni dhahiri kuliko wakati mwingine
Mimi namkumbuka kwa kauli yake kuwa CHAMA HAKINA DIRA WALA MWELEKEO ambayo kwa sasa ni dhahiri kuliko wakati mwingine
CCM HAKINA MAANA,DIRA, MWELEKEO, AKILI WALA UFAHAMU hivyo naona itakaa vizuri unaweza ukaongeza
Waue na wamkumbuke? wapi ulishawahi kuona hivyo?
Kama Mkapa asingweka siku ya Nyerere Day kwenye Public Holiday nafikiri tusingekumbuka hata ni lini alitutoka .................... maana hawa jamaa hwataki hata kusikia ni Baba wa Taifa halafu iwe Kolimba!!??
Mkuu, hizi kumbukumbu zitakuwa nyingi sana.
Hii ndio nyumba ya Hayati Horace Kolimba aliyoiacha Kijijini kwake huko Manda kwa taarifa ambazo nilizipata kwa sasa inakaliwa na Wanafunzi ambao wanasoma Shule ya Sekondari Manda
Bora na hii; ya Dr OMAR je????????????????
Mkuu punguza ukali wa maneno! Au umechoka kuona meno na kucha zako? Oooh jamaa sasa wanatoboa mpaka macho!
Nyerere alitunga Kitabu kilichochapishwa Zimbabwe akimponda Hayati Kolimba na Malecela kinaitwa Siasa yetu na Hatma ya Tanzania kisa walimshauri Mzee Mwinyi kukubali ombi la wabunge G55 wakiongozwa na Njelu kasaka kurudisha Serikali halali ya Tanganyika, bado Hayati Kolimba akaendelea kutumia uhuru wa kujieleza akakosoa CCM tena enzi za Mkapa akaitwa Dodoma ajieleze mama yake akakataza akamwambia naenda Dodoma kuuleza Mkutano kuwa Ukuta wa Berlin umeanguka kufukia Woga na Unafki na undumilakuwili, Jamaa wakachukua Roho wakarudisha mwili kwenye sanduku kabla hajazungumza.Sifa kuu ya Kolimba ilikuwa ni kutumia ubongo wake kufikiri na kutumia moyo wake kupata Ujasiri wa kueleza fikra zake !
1 + 1 =3
thubutu, akumbukwe na nani wakati alienda kinyume na baba wa taifa! ccm haina dira!