Hope is fading away

Hope is fading away

Kazi gani?
 
Baada ya Mwabukusi kutoka kuongea na Rais samia, Hope ilijaa kwa wana JF kuwa soon Lisu ataachiwa. My heart is bleeding, HOPE IS FADING AWAY! View attachment 3461350
kati ya mambo atakayo yakumbuka mwambukusi maishani mwake ni muda aliopoteza kuongea na samia, jambo historia itamkumbuka kwa ushauri aliotoa. Ilipofika saa 6 usiku bila tamko lolote kuhusu aliowasilisha zaidi ya maandalizi ya uzinduzi wa kampeni nilijua imetoka.
 
Wacha washughulikiwe
 
Ukweli mchungu, it's sad. Lakini miezi mitatu iliyopita nani alitegemea mtu Kama polepole ataibuka na kushangaza watu. Bado Mungu anaweza kutushangaza zaidi, utukufu una yeye hata milele na milele

Kimsingi heshima yao imeshuka kuliko alivyoishusha Lissu
 
Mpango wa CCM naamni watamuachia lissu baada ya uchaguzi, kwa sasa wanajaribu kumueka mbali kuhofia kuja kuchafua hali ya hewa wakati wa uchaguzi. Hizo story za kunyongwa ni za vibaraza vya kahawa tu hakuna kitu kama hicho.
 
Hivo hujagindis kuwa Mwambukuzi ema ni mental au nicompoop namba anavoongea na kujenga hoja kama punguani? I can understand watu kama kina Lissu na Fatima Karume walau Wana masters za Ivy League lakini huyu bwana Kajunjumele is too much of a buffon. Hivi alisoma wapi? Kina aliye na CV yake atugee?
 
Sisi hatukulialia kuhusu Lissu, bali alikamatwa tu na sasa anatuhimiwa kwa Kesi yenye Hukumu ya Kula Kitanzi! HAKUNA kulialia!

Ninyi si mna mawakili wasomi kibao na ushahidi dhidi ya maovu ya Rostam mkisaidiwa na Polepole, britanicca na Mange si mnao? Kinachowafanya msimfungilie mashtaka huyo Rostam ni nini? Acha kulialia! Nyambafu!!
We jamaa acha kiburi cha uzima na madaraka ya muda. Na jeuri ya pumzi ya bure

MUNGU hummiliki. Kanyaga dunia hii kwa tahadhari ya kesho.
 
We jamaa acha kiburi cha uzima na madaraka ya muda. Na jeuri ya pumzi ya bure

MUNGU hummiliki. Kanyaga dunia hii kwa tahadhari ya kesho.
Ni ujinga kukumbushia kifo wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua kifo kipo kwa kila mtu. Ni ujinga.

Ila hapa ninasema kwa sauti kila mtu atakufa kwa staili na sababu yake.
 
Ni ujinga kukumbushia kifo wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua kifo kipo kwa kila mtu. Ni ujinga.

Ila hapa ninasema kwa sauti kila mtu atakufa kwa staili na sababu yake.
Kila mtu hata Viongozi wa nchi hakuna wa kudumu milele. Watakufa siku na mwaka fulani. Inaeleweka.

Tatizo ni majibu ya nyodo, dharau matusi na kejeli kama mnaimiliki Tanzania na mko juu ya Katiba na sheria na dola.

Jambo ambalo unaweza kulieleza kwa hoja likaeleweka, lazima uwatambie, uwatukane uwadhalilishe, uwadharau, uwakashifu ili mradi tujue wewe una kila kitu.

I think it is not correct. Only God is an immortal.
 
Back
Top Bottom