Hope is fading away

Hope is fading away

Swala la kumnyonga Lissu halina uhalisia kwa wale wenye kufikiria mbali, ishu ni kumzuia kushiriki huu uchaguzi, baada ya october, Lissu ataachiliwa, na kimama atajifanya kuita maridhiano akiamini uchaguz umepita na yeye ndo RAISI hadi 2030, huu ndo mkakati , iko wazi kabisa.
 
Baada ya Mwabukusi kutoka kuongea na Rais samia, Hope ilijaa kwa wana JF kuwa soon Lisu ataachiwa.

My heart is bleeding, HOPE IS FADING AWAY!

View attachment 3461350
Mithali 3:5-6
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe; katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako.
 
Prayers kama zingekuwa zinasaidia zingewasaidia watu wa Gaza kwanza. Au mnadhani Mungu yupo Tanzania tu?

Mwanaye wa pekee alisema bayana kuwa ya Mungu yatatuliwe kiroho lkn ya kiserikali yatatuliwe kiserikali (ya Mungu mpe Mungu lkn ya Kaisari mpe Kaisari).
Hii nchi atokee tu mwamba mmoja asambaze risasi kwa raia watu tuingie msituni ndio heshima itakuja. Ila haya masuala ya uchaguzi na kujifanya keyboard warriors hayawezi kuleta mabadiliko yoyote
 
Hii nchi atokee tu mwamba mmoja asambaze risasi kwa raia watu tuingie msituni ndio heshima itakuja. Ila haya masuala ya uchaguzi na kujifanya keyboard warriors hayawezi kuleta mabadiliko yoyote
uko sahihi kabisa
 
Mithali 3:5-6
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe; katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako.
amen
 
Hii nchi atokee tu mwamba mmoja asambaze risasi kwa raia watu tuingie msituni ndio heshima itakuja. Ila haya masuala ya uchaguzi na kujifanya keyboard warriors hayawezi kuleta mabadiliko yoyote
Wewe Sasa ndiyo unaelewa nini cha kufanya. Watu wanadhani eti ccm itaamua ku-surrender kwa maneno tu . Hiyo haipo!!!

Asad wa Syria alikataliwa kwa maandamano ya raia wake kwa miaka 5 mfululizo. Akaanza kuwaua raia mamia kwa maelfu kwa miaka zaidi ya 9. Yaani sekeseke lilianza 2010 lkn Asad kaja kuachia ngazi 2025 baada ya IDF kufanya yao.
 
Baada ya hapo Lissu anakula kitanzi! Tunasonga Mbele!!
Mjinga na mpuuzi mkubwa wewe. Badala ya kumpiga KITANZI ROSTAM AZIZI anayekuibia mpaka mitungi ya gesi wewe unashadadia mtu asiye na hatia apigwe kitanzi ? Jinga sana
Unafikiri akitiwa kitanzi ndo itakuwa ponya ya MAFISADI ?
Wale waliotajwa kumuua JPM akiwemo Jakaya nao wafanywaje punguani wewe.
 
Back
Top Bottom