komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,520
Wasio kuwa na lolote ndiyo hudharauliwa ??Lissu ana mafanikio gani kwa mfano?
Nilitaka kujua, sababu za chuki kubwa uliyo nayo kwake.
Mpenda haki huchukia uovu na uonevu.
Kama huna sababu basi unalipwa how much ???