Hooray...Arusha Imeshakombolewa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hooray...Arusha Imeshakombolewa!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PakaJimmy, Oct 28, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wakuu, jana 27/10/2010, Kamanda Mbowe alikuwa Arusha, ambapo walifanya mkutano wa kampeni wa Historia hapa mjini, katika viwanja vya NMC!...Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini Bwana G.Lema alihutubia huku masaa yote akishangiliwa na umati ambao ulivunja rekodi hata ile ya Mkutano uliohutubiwa na Dr Rais Slaa mwenyewe.

  Katika hatua ya kushangaza na kukubalika kwa CHADEMA mjini Arusha, nilifurahi kugonganisha macho na Ndugu Felix Mrema, Mbunge aliyetupwa kushoto katika kinyang'anyiro cha safari hii, na ambaye amekuwa Mbunge wsa CCM kwa vipindi kadha, akiwa kwenye gari la taasisi fulani, huku akicheka muda wote katika hali ya kufurahia jinsi wanaArusha watakavyofanya mageuzi ifikapo 31/10/2010, na kummwaga Batilda.

  Arusha imekombolewa tayari!, tuangalie kwingineko, Kamanda NGONGO, kazia maarifa hapa.
  UNGA LTD 008.jpg
  Hapa ni baada yaMwenyekiti wa Mkoa wa Chadema kumkaribisha Kamanda Mbowe ahutubie.
  UNGA LTD 007.jpg
  WanaArusha wakisikiliza kwa makini hotuba ya G.Lema
  UNGA LTD 002.jpg
  Hapa wakishangilia
  UNGA LTD 001.jpg
  Eneo la NMC-Unga LTD ambako mkutano ulifanyika.
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HOOOORAAAY!.......

  tanzania imekombolewa
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  asaleeeee!!
  kwa jinsi nisivyompenda huyo mama yaani nitafurahi sana wakimbwaga chini

  muone na kitambaa chake kichwani!!
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kile kitambulisho chako cha kupigia kura kiweke karibu siku zimekwisha
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  baada ya mimi kumchagua DK SLAA,HALIMA MDEE,NA DIWANI WAO WA CHADEMA nitakuwa hapo JJ namshughulikia yule ''mdudu'' na grants kwa wingi sana:smile-big:

  KARIBU SANA
   
 6. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Umeshaenda kukagua jina lako kwenye kituo ulichojiandikishia? Isije kuwa jina'ko limetupwa kata gani sijui huko ww huna habari ukaenda jibizana na wasimamizi siku ya siku jina lisipoonekana.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu, alishamwagwa huyu mama, uchaguzi kwa hapa Arusha ni kukamilisha Ratiba!...Sasa hivi kila msafara wa 'kulipwa' wa ccemu ukipita ni kuzomewa na kuonyeshwa alama ya antenna!
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,656
  Trophy Points: 280
  Jamani tusipokwenda kupiga kura tukategemea idadi ya mahudhurio tumekwisha.........Tanzania itakombolewa kama tukienda kupiga kura tu...........
   
 9. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Kaza buti, kazi ya ukombozi mpaka ikamilike. Tutaikomboa tu nchi hii!
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  aisee ninyi mmepinda inavyotakiwa haswaaaaa hahahaha hahahaa
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hii safi sana, kilichobaki na ambacho ni muhimu sana, ni kuhamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi huo huo kwenda kupiga kura 31/10/2010.
  Na kabla ya hapo, waanze kuhakiki majina yao katika vituo walivyojiandikisha, manake isije kutokea majina yao hayaonekani ama yamehamishiwa vituo vingine wakapata usumbufu ama kutopiga kura kabisa. Hii kitu imetokea jimbo la ukonga kata ya ukonga kuna wananchi takribani 2000 waliojiandikisha kituo kimoja kinaitwa kwa msambaa Mongolandege majina yao yamehamishiwa kituo cha ulongoni kilichopo kata ya gongolamboto. Kwahiyo zoezi la kuhakiki majina mapema ni la umuhimu wa kipekee.
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Arusha na Kilimajaro wala thithiemu wasipoteze muda wajaribu lindi na Mtwara labda!
   
 13. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :rip:CCM, Kicheche Nakaaya kaingia choo cha KIUME, Safi CHADEMA tumechoka na safi PJ hapo Arusha nawaaminia.
   
 14. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135


  Mkuu umeniacha sina mbavu, hasa nikikumbuka tulikotokea na huyu Kamanda! toka kampeni zianze! hahah ahaha hahaha!!!!!!
   
 15. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Duuuuuuuuuu, hiyo nyomi ni ujumbe tosha kwa chichiem!
   
 16. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,131
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Nao wamebadilika though wanaipenda zaidi CUF, nadhani ule muda wa kufanyana wajinga umekwisha.
   
 17. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako PakaJimmy,

  Niko sana mkuu nilikuwepo kwenye mkutano nikawaida yangu kuhudhuria mikutano ya wagombea wote.Nimefurahia kauli yako kwamba Arusha imekombolewa ni jambo zuri ila usisahau mara zote historia ni mwalimu mzuri!.
   
 18. A

  Anaruditena Member

  #18
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania, kumbushia kwa sms kwa wale wote walioko kwenye address book yako kwenda kupiga kura- huge turnout italipa sana. Mungu atusaidie tuwe wavumilivu hata kama ni kushinda njaa lakini italipa the next day
   
 19. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Nyambala,

  Nitaendela kuwepo hadi mwisho wa kampeni siunajua nina ulevi wa ajabu na JF
   
 20. T

  The King JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema imeshakomboa mikoa minane ya bara ambayo ina wakazi wengi nchini. Tukiikomboa Dar na Tabora katika uchaguzi huu basi Rais Mtarajiwa hana mpinzani labda waibe kura kwa kishindo.
   
Loading...