Hook Up, no strings - Uhuru wa Mapenzi

Hook Up, no strings - Uhuru wa Mapenzi

Hizi ndizo zile tongozo za mafataki wa mujini....utawanasa wengi kazi kwako kuwafolenisha tu.
 
Hutafuti mdada wa kumpa rift na kupiga nae story (urafiki) Bali unatafuta msichana wa kumtongoza na wakuwa mchumba maana hata mke wa mtu anaweza kuwa rafiki
 
Hahahah unatumia uchawi wa mzungu kuwa nasa, hongera zako , ila na wewe subiri kunaswa
 
Back
Top Bottom