Mrembo, kile ni kimoja tu sikufikiria kwamba ingekuwa muhimu kupiga vyoteKweli mkuu lkn wapo wale wasiweza kuchutama, na ndio mantiki
Iko poa sanaNimeielewa Sana
Ni kweli mkuu!Maendeleo yanaletwa na sekta binafsi kuliko public sector. Nawapongeza wadau mimi bado maskini nikipata pesa Zenji nitafika
Unafuu utakuja baadae sheikhHamna unafuu bei ndio ile ile ya Azam Marine. Why so expensive? Naona tutaendelea kudunda na flying horse.
Pamoja sanaHapo sawa
Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Hoja!Wawekezaji wakuangalie Mafia nako, naamini pia Mafia kuna abiria wengi sana lakini mpaka sasa hakuna chombo cha uhakika kufika huko..
Kuna siku nilisema badala ya kujenga daraja hadi zanzibar daraja hilo lijengwe jangwani kisha huku baharini ziletwe meli nyingi hadi bei ishuke iwe kama 7500 hadi 10000 to Zanzibar.Hakika mkuu!
Ikiwa Zan fast ferries nao wataendelea maana yake ni kwamba wataleta boti zaidi na zaidi na hatimae bei kushuka.
Mkuu chombo kipo poa sana!
Minimum (economy class) ni 25,000 TZSKujifagilia mwenyewe sio mbaya. Kiukweli inavutia sana. Bei ni sh ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anastahili pongeziSoon nikienda safari zangu nitapanda hiyo chombo, hongera mh turkey kwa kuleta ushindani katika usafiri wa baharini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaahahahahahah!Kuna siku nilisema badala ya kujenga daraja hadi zanzibar daraja hilo lijengwe jangwani kisha huku baharini ziletwe meli nyingi hadi bei ishuke iwe kama 7500 hadi 10000 to Zanzibar
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ni pale pale walau nauli ya economy ingekuwa 20,000/= abiria tungesema tunanufaika kwa punguzo la gharama ya nauli ila ndio mulemule mwa Azam tofauti iko wapi hapo25,000 economy
Mkuu chombo kipo poa sana!
Nlikuwa VIP Leo basi burdaaaaani kabisa