Hongereni wajinga Wafuatao...kwa sikukuu yenu murua.

As if...bila bia maisha yanaweza kusonga..bila kinamama mwisho wenu utakua karibu!

Ukweli ni kwamba, biya zinafanya wanawake woooooote kuwa wazuri...........bila biya, wanawake wengine wangekosa wapenzi.

Long Live Biya!
 
Pia zinachangia wazuri kubadilika na kua wabaya!

Hahahah....hamuna hiyo kitu.......biya inafanya watu hasa wanawake waonekane wazuri.

Ukinywa ya kwanza......chuchu zinaanza kuwa ndogo
Ya Pili, Wowowo inaanza kuongezeka
Ya tatu miguu inachukua shepu ya chupa ya biya
Ya nne...sura inaanza kuwa kama ya Cleopatra
Ya tano, binti anakaribishwa mezani
Ya sita...nyama choma inaagizwa
Ya saba...apointment inapangwa
Ya nane....ya tisa......

Kukikucha asubuhi, biya zikiisha kumkichwa, unajikuta umelala na BiKidude!

LONG LIVE BIYA...............
 
Tatizo sio hao wa kuokota usiku...ni wale mnaowaacha nyumbani!Kadri mnavyoongeza kunywa ndo nao wanavyochoka kuwasubiria na chakula kilichopoa kila siku!Kununa kunaanza..kulalamika kunakuja..mwishoni wote mnajikuta hamfurahii maisha tena maana kwako kelele zinazidi na kwake anaona kero zinaongezeka kila siku!
 
Sasa kwa taarifa yako hao ambao hawanywi biya ndiyo hatari zaidi.

Hebu jiulize, mtu hanywi biya, anatoka kazini saa kumi, nyumbani anarudi saa tano usiku....alikuwa wapi?
 
Hehehe mi sikatai mnywe..ila tangulizeni wapenzi/wake zenu kabla ya bia.Maana hata siku mkiumwa ndo watakaowaguza na sio bia!Kumbuka...nyie mnaihitaji bia na mtafanya chochote kuipata ila bia haina muda na nyie...usipoitafuta wewe ndo basi tena!
 
Hehehehe...tuwatangulize mbele siyo?

Mbona tulishawatanguliza siku nyingi? Mpaka tukawaapia kabisa na kusaini kwenye vyeti vya serikali....

sasa ili waendelee kuwa mbele, wazuri zaidi, huduma ya uhakika.....ni lazima Biya ihusike

LONG LIVE BIYA!
 
Sasa kwa taarifa yako hao ambao hawanywi biya ndiyo hatari zaidi.

Hebu jiulize, mtu hanywi biya, anatoka kazini saa kumi, nyumbani anarudi saa tano usiku....alikuwa wapi?
hao bwana huwa tunawaita viuno!!!

Hivi mtu anarudije homu saa saba usiku yuko sobaaa ???:help:
 
Post of the MONTH - April 2011
Nadhani hapa unamaanisha pale BM umeniwekea bili ya Guiness 2 za baridi

hao bwana huwa tunawaita viuno!!!

Hivi mtu anarudije homu saa saba usiku yuko sobaaa ???:help:
Hahahaha...linadanganya nlikuwa naangalia mpira, au nlikuwa nacheza drafti, au nlikuwa napata gahawa.....kumbe baioloji inapumua kimiminika, masalia ya prodakti ya vitendo vya kuzungusha viuno.

Si acha tujinywee bia....bia...BIYA!
 
Hehehehe...tuwatangulize mbele siyo?

Mbona tulishawatanguliza siku nyingi? Mpaka tukawaapia kabisa na kusaini kwenye vyeti vya serikali....

sasa ili waendelee kuwa mbele, wazuri zaidi, huduma ya uhakika.....ni lazima Biya ihusike

LONG LIVE BIYA!

Haya bana....endeleeni maana uchakachuaji uko kwenye system tayari!
 
Noted with many thanks....

Eliza...patiya mimi biya ya baridi...bili kwa mama wa Unga usioisha limited!
 
Nadhani hapa unamaanisha pale BM umeniwekea bili ya Guiness 2 za baridi

zipo hapa Villa Park... njoo upate guiness, rama atakupa samaki bure

Hahahaha...linadanganya nlikuwa naangalia mpira, au nlikuwa nacheza drafti, au nlikuwa napata gahawa.....kumbe baioloji inapumua kimiminika, masalia ya prodakti ya vitendo vya kuzungusha viuno.

Si acha tujinywee bia....bia...BIYA!

halafu mengi huwa yananuka zile sabuni za malaika --- kigesti-gesti
 
zipo hapa Villa Park... njoo upate guiness, rama atakupa samaki bure

halafu mengi huwa yananuka zile sabuni za malaika --- kigesti-gesti

Aisee ejimeti, itabidi niitafute hiyo mahala, nasikia habari yake imekaa njema.

Hahaha...Vile visabuni bana, sijui vinauzwaje, mara ya mwisho kutumia kalikuwa kanasomeka AYU.....kale ukikatumia hakikisha unajimwagia na bia kidogo, vinginevyo nyumbani ni msala tu!
 
we acha tu....

nadhani kuna wanaume pochi nao wanaotumia vile visabuni aisee
 
Aisee ejimeti, itabidi niitafute hiyo mahala, nasikia habari yake imekaa njema.

Hahaha...Vile visabuni bana, sijui vinauzwaje, mara ya mwisho kutumia kalikuwa kanasomeka AYU.....kale ukikatumia hakikisha unajimwagia na bia kidogo, vinginevyo nyumbani ni msala tu!

Skulimeti pale opposite na BM kuna "maficho" mazuri - Pale unapewa GEISHA!
 
Back
Top Bottom