Hongereni wajinga Wafuatao...kwa sikukuu yenu murua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongereni wajinga Wafuatao...kwa sikukuu yenu murua.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Asprin, Apr 1, 2011.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  WanaJF wanaotongoza wajukuu zangu kwa PM, hamjui nina pasiwedi za wajukuu wangu? Nawasikitikia sana.....nawajueni, iko siku ntawarusha hewani.

  WanaJF wanaotumia ID na avatar za kike kumbe ni midume ya mbegu.....lengo lenu ni nini hasa?

  Wana JF wanaokipinga chama chetu thabiti ISC- Sharing Is Caring

  Wajukuu ambao bado hawajaja kwa babu kukaguliwa....yatkayowatokea shauri lenu..... njooni niwafanyie ukaguzi

  Mashabiki wote wa Yanga ya Ilala, kwa kushabikia litimu libovu, kwanini msiishabikie klabu bingwa ya Tanzania?

  Mashabiki wote wa Chelsii... kwa kufurahia kununuliwa kwa Torres Sick kwa bei ya Mitambo ya Dowans.

  Wana JF ambao hawakupiga kura mwaka jana.....mgao wa umeme usingekuwepo

  Wana JF wanaomega wake za wenzao......majinga sana nyie

  Wajukuu ambao hawanitumii mimi Asprin wanapopata maumivu au ndugu yangu klorokwini kuondoa wadudu wa malaria wanaowanyefuanyefua.

  Wale wote ambao hawaamini kuwa kitimoto kinaongeza CD4 mwilini, na kutokuamini kwao kunasababisha foleni kubwa kwa babu Loliondo.

  Wale wote ambao hawaamini kuwa bia inaongeza maarifa, inaleta ujasiri, inaongeza damu mwilini, inaongeza kipato cha serikali na kuongeza kipaji cha kuongea kiinglishi.

  Mwisho kabisa....we Dena Amsi kwa kutaka kuwafanya wajinga wanaMMU ambao mimi ndiyo mkurugenzi wao.....unamtishia nyau wakati una aleji na panya?


  Nyie wooote hapo nawatakieni heri ya siku kuu yenu!....Msinikaribishe pilau lenu.

  Babu wa wajukuu wa kike anarudi kitandani kulala.

  (Imetolewa na uongozi wa Chama Cha Wasio Wajinga, JF Makao Makuu)
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  Oh!

  Nlisahau na wale kinadada wa JF wanaomegwa afu wanakuja kusimulia hadharani jinsi walivyomegwa....utawekaje ufuska wako hadharani?
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Na wote waliomegwa jana bila condom
  Na wote waliomega bila bila
  Na wote waliojinyakulia bar maid saa 6 usiku.
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kumbe na wewe ni jinga!!!!???unakolifai kwenye kifungu ambacho hujaweka wazi hapo kwenye aya zako kuwa unataka kutangaza eti na wewe una KIKOMBE...
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  Hahahaah...mutu ya kunywa biya bila kumega.....we si mutu mujinga bana.....na wale wanopenda za kisukuma?
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  Aisee mchumba nitake radhi...........

  Sasa yule anayechumbiwa na jinga naye si anakuwa jinga zaidi?
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Biya hazihitaji condom
  Biya hazichoki
  Biya hazisinzii
  Hizi biya hizi,
  Biya haziendi kwa babu wa loliondo.
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha kumbe na wewe ni kundi la wajinga nimekupata

  Karibu valuu tuzimue maana naona bado una hang'over
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  to me, this is the post of the year so far

  Asprin sikuwezi....

  I am speechless, na ni kweli bia inaongeza maarifa
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Sikukuuu hii bwana kumbe mnasherehekea kwa staili yenu! Happy sikukuu yenu!
  Hebu wasubilie TP MAZEMBE wakupe zawadi wako lidawa!
   
 11. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  haha haa raaaa... weekend hii ni tofauti kabisa na nyingine, pia imeanza kwa mbwembwe...
   
 12. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Salamu kwa wadada wa JF niliokwisha wamega (majina nawahifadhi)...aaaah sorry kumbe ni fool's day...
   
 13. LD

  LD JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kumbe ni siku yenu?
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,133
  Trophy Points: 280
  Kumbe mimi simo..............mimi sio Mjinga!!
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahahahaha
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mi nataka nikapate Kikombe cha bibi Tabora nizidishe kunywa beer.
   
 17. K

  Koola Member

  #17
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wewe inaonyesha jinsi sikukuuu hii ya leo ulivyo mjinga.Ladba ukienda kwa babu leo jangwani akili itakurudia sawasawa la sivyo mwaka mzima utakuwa mjinga.
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  Samahani sikukutaja kwenye listi

  lakini hongera hivyohivyo
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  we mzee wewe.....!

  haya bana
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  Usisahau leo Shamba la bibi......
   
Loading...