Hongereni NSSF kwa kufanya hivi

Hongereni NSSF kwa kufanya hivi

Safi sana

hata tuonyeshe hayo matatizo ya matumizi ya NSSF kwenye hizi project za ujenzi..nothing wrong with sharing information and data ili kuweza kusupport argument yako

Halafu hebu tuonyeshe ni project ipi bei imeongezwa mara kumi...surely shirika kama hilo lina ma audotors, external auditors na kadhalika na kama kungekua na tatizo wangelisema au naongopa

Basi tuletee mfano wa mradi ahata mmoja ambao umetumia kama mfano wa hoja yako

ubungo plaza....

NSSF ina hela nyingi sana za wanachama na hilo ni jambo la kawaida tu..

tatizo wewe umekuja na picha na ukaanza kusifia NSSF na baadae ukamsifia DG, hiyo picha yako ingeambatana na gharama za ujenzi ingekuwa ume justfy sifa za NSSF
mpaka sasa hivi NSSF ina sifa moja ya kufuja Hela na Manji na viongozi wengine.....

kama wewe unataka kuisafisha NSSF ukiweka picha uweke na budget

polisi, university of dodoma hizo sio govt bonds ambazo NSSF wamenunua kutoka serikalini,
je hiyo ni miradi ya NSSF au serikali
wewe unavyofanya ni kama vile NSSF wanajenga bure kwa hiyo ni serikali au NSSF inatakiwa kupewa credit

48% ya investment za NSSF ni govt bonds, hizo nyumba za polisi na UDOM ni serikali ndio imejenga kwa maneno mengine(NSSF wamejenga alafu wanapewa govt bonds au unaweza kusema investment in govt bonds).

kwa hiyo sahihisha statement siyo NSSF wamejenga bali ni serikali ndio imejenga.
 
ubungo plaza....

NSSF ina hela nyingi sana za wanachama na hilo ni jambo la kawaida tu..

sawa

tatizo wewe umekuja na picha na ukaanza kusifia NSSF na baadae ukamsifia DG,

kwa hiyo wewe imekuudhi sana NSSF kujenga hizo nyumba za polisi ... sasa ulitaka nimsifie Kimei?

hiyo picha yako ingeambatana na gharama za ujenzi ingekuwa ume justfy sifa za NSSF

Hilo la gharama nishakwambia silijui...and i dont care ni kiasi gani...kuwatoa polisi kwenye zile nyumba za kota na kuwaweka kwenye hizo flats kwangu ndio muhimu zaidi

Kama yangekuwepo malalamiko tungeyaona na so far hakuna aliyelalama kuhusu ujenzi wa Nyumba za Polisi

mpaka sasa hivi NSSF ina sifa moja ya kufuja Hela na Manji na viongozi wengine.....

Lete ushahidi and please dont tell me ushahidi wako ni THIS DAY na KULIKONI

kama wewe unataka kuisafisha NSSF ukiweka picha uweke na budget

Mindhali wewe ndio umeleta habari za uadhirifu tunaamini kuwa ushahidi utakuwa unao wakutosha kuhusu hili au?

polisi, university of dodoma hizo sio govt bonds ambazo NSSF wamenunua kutoka serikalini,
je hiyo ni miradi ya NSSF au serikali
wewe unavyofanya ni kama vile NSSF wanajenga bure kwa hiyo ni serikali au NSSF inatakiwa kupewa credit

Nijuavyo mimi ni kuwa NSSF na Serikali hawana tofauti sasa whats your point?

48% ya investment za NSSF ni govt bonds, hizo nyumba za polisi na UDOM ni serikali ndio imejenga kwa maneno mengine(NSSF wamejenga alafu wanapewa govt bonds au unaweza kusema investment in govt bonds).

NSSF ndio wanajenga na hawana tofauti na serikali sasa hilo wewe linakuudhi?

kwa hiyo sahihisha statement siyo NSSF wamejenga bali ni serikali ndio imejenga.

Sijui unataka nikuwekee tarumbeta masikioni ndio ujue kuwa sijui Gharama

Nijuavyo mimi ni kuwa wanafanya kazi nzuri ambayo wengien wameshindwa kufanya

naona uko peke yako usiyependa Polisi kujengewa nyumba hii inatisha
 
GT,
kimei ameingiaje tena huku kama wewe unamatatizo na mafanikio ya CRDB weka kwenye thread nyingine
kimei ameitoa CRDB ikiwa chini na kuipeleka juu
na wala simshindanishi kimei na jamaa wa NSSF
mimi sina matatizo na polisi kujengewa nyumba ila sifa zipelekwe mahali zinapostahili kama ni serikali basi iwe serikali na si NSSF

NSSF ni shirika la umma ambalo linajitegemea
NSSF wanainvest kwenye govt bonds (48%) kwa hiyo miradi ni ya serikali ambayo sisi wananchi wa kawaida tunailipia thro tax...
wewe umekuja na PR kwa ajili ya NSSF..
 
Kama ulivyomuingiza Manji kwenye nyumba za polisi nami nimeona si vibaya nikamweka Kimei wa CRDB..Manji zipo threads zake zaidi ya 10 na zilishajadiliwa sana tuu humu

wewe kama hutaki NSSF wapewe big up kwenye hili si vibaya nenda kaipe serikali big up kwenye mambo mengine si lazima uje kwenye mambo ya NSSF
 
Naomba kuuliza,

1) Nani anamiliki nyumba hizi?
2) Ni jukumu la nani kuwapatia polisi makazi?

Natanguliza shukrani.

Ni jukumu la kila mwajiri kumlipa mfanyakazi wake ujira unaatosha kwa mavazi, malazi na chakula.

Lakini sio kazi ya mwajiri kumjengea nyumba/malazi mfanyakazi wake iwe ya mabati au ya ghorofa.
 
Hivi kuna mazuri yeyote kutoka NSSF? subirini Mwanakijiji aamke
 
Hivi kuna mazuri yeyote kutoka NSSF? subirini Mwanakijiji aamke

Wewe Eddie wewee,.... si wapeni dili ya kubomoa na kujenga uwanja wa Nyamagana au ile hotel mliyokusudia kama mbadala kwa ajili ya regeneration ya jiji la Mwanza!
 
I hear you man, lakini haya yote yanahitaji watu wenye vision kama DG wa NSSF Dr Dau, jana lile jengo la PCCB jipya wamejenga wao na rais alienda kulfungua,University kule Dodoma ukiona faculty inayojengwa na NSSF utafikiri uko UCLA lakini muhimu zaidi nadhani serikali ingewawezesha hawa NSSF wakaendeleza miradi zaidi ya ujenzi wa jamii sehemu za Mwanza South, Iringa, nadhani tayari washaanza kujenga nyumba za wanajeshi kule Arusha

Unajua it takes alot of guts kuwaambia watawala kuwa this is what we should do...na hapo bado hatujaingia kwenye daraja la Kigamboni

Je unazo picha za Mwanza South? kama unazo tafadhani naomba utuwekee
debate.........
 
wewe kama hutaki nssf wapewe big up kwenye hili si vibaya nenda kaipe serikali big up kwenye mambo mengine si lazima uje kwenye mambo ya nssf

kwa hiyo unamaanisha nssf wamewajengea polisi, pccb & udom bure au wamepangisha?
Hapana
huo ujenzi wa pccb, polisi na udom, hizo ni govt bonds ambazo nssf imenunua kutoka serikalini
therefore hiyo miradi si ya nssf bali ni ya serikali, nssf wamejenga na kupewa govt bonds, na wananchi thro tax ndio tunalipia govt bonds

nssf 48% ya investment zao zipo kwenye govt bonds, kwa hiyo tutaona wanajishughulisha kwenye miradi ya serikali mingi lakini sio wao bali ni serikali
 
Kwani NSSF ni shirika pekee la hifadhi ya jamii, kwa taarifa yako yapo mashirika sita ya hifadhi ya jamii na yote yanavitengo vya uwekezaji. Iweje kila mradi mkubwa serikali iende NSSF, na iweje muundo huu wa serikali kufanya miradi mikubwa imeshamiri kipindi hiki cha Dr Dau. Mbona unakua na choyo hata pale vitu vilipo wazi. Investment strategy ya NSSF imebadilishwa chini ya Dr Dau kwa kuongeza nguvu kwenye miradi yenye manufaa kwa jamii, it was a strategic decision na ilienda kuuzwa serikalini na kukubaliwa.

Give credit where it is due, haitakupunguzia kitu.
 
kwani nssf ni shirika pekee la hifadhi ya jamii, kwa taarifa yako yapo mashirika sita ya hifadhi ya jamii na yote yanavitengo vya uwekezaji. Iweje kila mradi mkubwa serikali iende nssf, na iweje muundo huu wa serikali kufanya miradi mikubwa imeshamiri kipindi hiki cha dr dau. Mbona unakua na choyo hata pale vitu vilipo wazi. Investment strategy ya nssf imebadilishwa chini ya dr dau kwa kuongeza nguvu kwenye miradi yenye manufaa kwa jamii, it was a strategic decision na ilienda kuuzwa serikalini na kukubaliwa.

Give credit where it is due, haitakupunguzia kitu.
sio nssf na dau tu ndio wanafanya hivi, benki zote tz zinanunua govt bonds kutoka kwa serikali na matatizo yake ni kuwa kukopa imekuwa gharama sana tz, wafanya biashara wa tz na watu wenngine wana strugle kupata hela kutokana na hii sera na matokeo yake makampuni ya tz hayakuwi kwa kasi na kuathiri uchumi
 
kwa kujengewa nyumba hao Askari ni kitu kizuri lakini sio kazi ya NSSF au shirika lolote linalohusiana na mifuko ya kijamii, askari kujengewa nyumba ni jukumu la serikali
hizo fedha zilizopo huko kwenye hiyo mifuko ni mali ya wanachama na kitu chochote chenye wanachama ni lazima washirikishwe kwenye maamuzi ya fedha zao,
mimi inaniuma sana jinsi hizo fedha zinavyotumiwa bila wanachama wenyewe kupata chochote cha maana,
tunapata shida sana kupata mikopo Tanzania kwenye haya mabenki, na hata ukipata Riba ni kubwa sana, kama hawa wameamua kuwasaidia watu kwa nini wasiwasaidie wanachama wao, unakuta mtu una kama 10m ndani ya PPF au NSSF, na unaenda kuomba wakupe mkopo wa angalau 5m, dhamana ikiwa ni zile 10m ZAKO, watakupa story ambazo hazina kichwa wala miguu, mimi sidhani kama kuna nchi ambayo inachezea fedha za pension kama hapa Tanzania, haya makampuni yako bize kushindana kwenye kujenga matower, bila ya wanachama kupata faida ya maana
 
Ni jukumu la kila mwajiri kumlipa mfanyakazi wake ujira unaatosha kwa mavazi, malazi na chakula.

Lakini sio kazi ya mwajiri kumjengea nyumba/malazi mfanyakazi wake iwe ya mabati au ya ghorofa.

Jeshi, Polisi, UwT included?!!

....btw, unakumbuka thread Hii??
 
Huu ni wizi tu. Polisi si wanachama hata. PPF yao iko wapi? Ni kujikomba tu kwa NSSF. Ni sawa na baba poa nyumbani hajaacha hata kumi na kijiweni anawanunulia wanawake kuku na samaki wakale nyumbani. Its a shame of some kind. Wanachama wanasota kwa malipo na huduma mbofu, kisha unatoa fedha katika idara ambayo serikali imeitelekeza. Serikali ibuni miradi mingine ya siri hadi wabunge wasijue wawajengee nyumba hawa polisi. It is a thumb down to me!
 
Hizo nyumba za Polisi (magorofa) zina amenities gani? Nakumbuka niliwahi kuishi kwenye mahema pale karibu na ghala la Polisi. Halafu hayo Magorofa si ndiyo yale yale yaliyokuwa yanajengwa miaka nenda miaka rudi na sasa NSSF wameamua kuyamalizia na kuongeza mapya au haya ni mapya kabisa?
 
Nadhani mshapita pale Keko mkaona jinsi Polisi wetu wanavyoishi..wanaishi kwenye nyumba za mabati na wengine wako kwenye mahema...walio na afadhali wanaishi kwenye nyumba za namna hii

Say whatever you like about NSSF lakini huu ni mfano wa kuigwa...if only wengine wangewajengea walimu nyumba na ma daktari wetu.

Nyumba za Polisi kabla

small_POLISI%201(1).jpg

Hivi Polisi akiamka toka kwenye mazingira haya mnategemea atakuwa na mood gani kutwa nzima?

Nyumba za polisi zilizojengwa na NSSF:

small_POLISI2(1).jpg

Sasa stay tuned kusoma maoni ya waliokuwa wakitaka polisi waendelee kuichi kwenye nyumba hizo za hapo juu

Hivi kweli hawa watu wanaolinda usalama wetu na tuwaache waishi maisha haya?

seriously...sidhani kama kuna mtu na akili zake timamu atakuja kusema kuwa NSSF wamekosea kufanya huu mradi

Usiwe kichwa maji mlinzi hahitaji kukaa katika katika ghorofa kumlinda mtu katika nyumba ya nyasi. Shameful thinking. Tena ata-ignore hatari inapotokea kwa comfortability ya maisha ya kazi. Kama kazi ni mbaya si na-waache wakaibe kama wanavyofanya?
 
kwa kujengewa nyumba hao Askari ni kitu kizuri lakini sio kazi ya NSSF au shirika lolote linalohusiana na mifuko ya kijamii, askari kujengewa nyumba ni jukumu la serikali
hizo fedha zilizopo huko kwenye hiyo mifuko ni mali ya wanachama na kitu chochote chenye wanachama ni lazima washirikishwe kwenye maamuzi ya fedha zao,
mimi inaniuma sana jinsi hizo fedha zinavyotumiwa bila wanachama wenyewe kupata chochote cha maana,
tunapata shida sana kupata mikopo Tanzania kwenye haya mabenki, na hata ukipata Riba ni kubwa sana, kama hawa wameamua kuwasaidia watu kwa nini wasiwasaidie wanachama wao, unakuta mtu una kama 10m ndani ya PPF au NSSF, na unaenda kuomba wakupe mkopo wa angalau 5m, dhamana ikiwa ni zile 10m ZAKO, watakupa story ambazo hazina kichwa wala miguu, mimi sidhani kama kuna nchi ambayo inachezea fedha za pension kama hapa Tanzania, haya makampuni yako bize kushindana kwenye kujenga matower, bila ya wanachama kupata faida ya maana

Mkuu mimi hapo ndo huwa siwaelewi kabisa, yaani wanachama hatuthaminiwi kabisa, pesa zetu tuna zisikia tu wakifaidi wengine!. Kwakweli isingekuwa tunalazimishwa, mimi hata sioni faida ya kuwa mwanachama huko, wizi mtupu, ni bora hata ningekuwa nazipeeka SACOS ya manzese kwani walau wanaweza kunikopesha.
 
Mkuu kuna mamlaka ya kusimamia hii mifuko imeundwa, itaanza kazi hivi karibuni, na nafikiri moja ya jukumu lake itakua ni kuweka utaratibu wa wanachama kuweza kuchukua kiasi cha michango yao kama mikopo. So soon utaweza kuchukua mikopo kwa ajili ya maendeleo yako binafsi.
 
Hizo nyumba za Polisi (magorofa) zina amenities gani? Nakumbuka niliwahi kuishi kwenye mahema pale karibu na ghala la Polisi. Halafu hayo Magorofa si ndiyo yale yale yaliyokuwa yanajengwa miaka nenda miaka rudi na sasa NSSF wameamua kuyamalizia na kuongeza mapya au haya ni mapya kabisa?

Haya ni mapya kabisa.
 
Mkuu kuna mamlaka ya kusimamia hii mifuko imeundwa, itaanza kazi hivi karibuni, na nafikiri moja ya jukumu lake itakua ni kuweka utaratibu wa wanachama kuweza kuchukua kiasi cha michango yao kama mikopo. So soon utaweza kuchukua mikopo kwa ajili ya maendeleo yako binafsi.

Hapo mkuu umenena, make huu ni upuuzi ambao umekuwa ukifanywa na mifuko hii, na kwakweli ulikuwa ni ubabe wa aina fulani, kwamba kuwa mwanachama ni lazima, lakini basi huusiki na pesa yako mpaka ama mauti ya kukute, ama kazi iishe!

Kama wameunda hicho kitu, naam, hapo tutakuwa pamoja!
 
Back
Top Bottom