Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Sibishani na mwehu,piga simu uulize arusha.boya we
Kwa kudhihirisha unatafta publicity ya tahmeed ndo maana unatukana sasa kati ya wewe na wadada wa Kilimanjaro unaowaponda nani hajui customer care??????....koz ya kwenye gari wanasikia abiria tuu je hapa kwenye mtandao wa kijamii niwangapi wanayaona majibu yako then unataka utuaminishe kua nyie ndo bora zaidi????
 
huyo hajui anachokifanya anatakiwa ashindane kwa kuzungusha basi na kupata abiria wengi na cyo kupakaza taarifa za uongo kuhusu kilimanjaro express "BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU"
 
unajua kampuni ikimpa kazi mtu mjinga kama huyu ataharibu,nataman mzee tahmeed aone haya matusi ya huyu kibaraka uone kama hatafukuzwa kazi,tahmeed bado mnasafar ndefu kuikuta kilimanjaro express kwanza nauli mpaka 15,000 kwenda arusha pale ubungo klm 33,000 pili ww michina kibao ambayo baada ya mwaka 1 au 2 boss wako atalia,dar exp ya nairobi imeua michina mingap kwa kujifanya mnakimbizana na scania?
 
Hongereni sana Tahmeed ila kumtoa ABC singida sahau Shabiby kachemsha.Nendeni pia Tabora,Bukoba,Sumbawanga.Songea Super feo na New force basi 3 kila siku wanatoa dar na songea jee mtaweza?labda mshushe bei iwe 35000
 
Anaishi mombasa tudor

Sasa vp nije kutoa posa
 
Tahmeed ni mashine kali sana huwezi ifananisha na Chakito au Mbazi. Wakijitahidi wanaweza mpiku hata Saibaba
 
Hongereni sana Tahmeed ila kumtoa ABC singida sahau Shabiby kachemsha.Nendeni pia Tabora,Bukoba,Sumbawanga.Songea Super feo na New force basi 3 kila siku wanatoa dar na songea jee mtaweza?labda mshushe bei iwe 35000
Tahmeed jumla tuna bus 180,hao superf feo au new force ni ngapi
 
Duuuuh, ni mzuri kwa marketing. Nimeipenda style yako ya kumarket TAHMEED.
Sio marketing... ila mimi nilibahatika kupanda tahmeed from arusha to moshi kwakweli sikutamani kushuka...
 
Tatizo basi za Arusha ni mazuri ila huduma mbovu na ubabe mwingi. Kwa mfano basi za Arusha ukizikuta Ubungo ni full AC ila mkishaiacha tu Kimara hiyo AC inazimwa kibabe.. kuna basi tulishalipeleka polisi Chalinze kwa upuuzi wao. Imagine Saibaba ya Nairobi haina entertainment yoyote???? Mabasi ya Tanga yako vizuri kwa huduma safi na jamaa hawana tamaa wana hofu ya Mungu. Ninasema hivyo kwa sababu ukiachilia mbali nafuu ya nauli pia vifurushi ni nafuu kusafirisha na salama. Tahmeed walishawahi kunisafirishia kifurushi kwa bei poa na nikakipata bila usumbufu. Hao KLM na Dar Express wanajifanya wadogo zake Mungu kwa kuweka bei kubwa hatari kwenye vifurushi. Ukifika unaulizwa kifurushi kina gharama ya Tsh ngapi? Huwa najiuliza nikiwatajia gharama ndo inakuwaje? Wataukatia bima? Bora waulize humo kuna nini na wapime ni kilo ngapi. Kwa mfano kwa huduma anazotoa RATCO akasema aweke basi Dar-Arusha lazima hiyo KLM ipate wakati mgumu. Nawashauri mabasi ya Arusha muwe na hofu ya Mungu na mjishushe mbele ya wateja wenu ili na wao wawapandishe.
 
Kilimanjaro leo kashikishwa adabu kibaha,anatoza nauli ya sh33000 wakati mabasi ni daraja la kati(semi luxury).Mabasi yake yamekamtwa kibaha na kila abiria amerejeshewa sh 4000.Fully luxury njia hiyo ni Tahmeed tuu
falcon mombasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…