Kwa kifupi kabisa, nawapongeza CHADEMA kuwekeza kwa vijana; chama.chochote cha siasa kinategemea nguvu ya vijana. CHADEMA ya sasa ni ya vijana.Vijana wameshika hatamu
Kwa sasa CHADEMA naona wazee wakikimbia na vijana wapo safi na ari kubwa mno.
Kiongozi imara wa taasisi yoyote ile ni lazima aweke uzito kwa vijana.
Siongei zaidi nimemaliza....yaani kuna mpishano ...wazee wanakimbia sababu siasa zao za kizamani zinafeli kufanya kazi vijana wasomi nao bila azizi wanakama nafasi na kufanya siasa za kisasa yaani Digital Politics.
Nikiangalia taasisi ya umoja wa vijana CHADEMA kweli kabisa naona mwanga mkubwa mno mbele yao imeiva!!
Hongera sana uongozi wa sasa kufanya mabadiliko haya!! Ku inpower vijana si kazi ndogo. Mpo vizuri ukweli lazima tuuseme hadharani!!