Hongereni CHADEMA kuwekeza kwa vijana

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,553
37,710
Kwa kifupi kabisa, nawapongeza CHADEMA kuwekeza kwa vijana; chama.chochote cha siasa kinategemea nguvu ya vijana. CHADEMA ya sasa ni ya vijana.Vijana wameshika hatamu

Kwa sasa CHADEMA naona wazee wakikimbia na vijana wapo safi na ari kubwa mno.

Kiongozi imara wa taasisi yoyote ile ni lazima aweke uzito kwa vijana.

Siongei zaidi nimemaliza....yaani kuna mpishano ...wazee wanakimbia sababu siasa zao za kizamani zinafeli kufanya kazi vijana wasomi nao bila azizi wanakama nafasi na kufanya siasa za kisasa yaani Digital Politics.

Nikiangalia taasisi ya umoja wa vijana CHADEMA kweli kabisa naona mwanga mkubwa mno mbele yao imeiva!!

Hongera sana uongozi wa sasa kufanya mabadiliko haya!! Ku inpower vijana si kazi ndogo. Mpo vizuri ukweli lazima tuuseme hadharani!!
 
Kwa kifupi kabisa, nawapongeza CHADEMA kuwekeza kwa vijana; chama.chochote cha siasa kinategemea nguvu ya vijana....CHADEMA ya sasa ni ya vijana...vijana wameshika hatamu

Kwa sasa CHADEMA naona wazee wakikimbia na vijana wapo safi na ari kubwa mno..

Kiongozi imara wa taasisi yoyote ile ni lazima aweke uzito kwa vijana..

Siongei zaidi nimemaliza....yaani kuna mpishano ...wazee anakimbia sababu siasa zao za kizamani zinafeli kufanya kazi .....vijana wasomi nao bila azizi wanakama nafasi na kufanya siasa za kisasa yaani Digital Politics.

Nikiangalia taasisi ya umoja wa vijana CHADEMA kweli kabisa naona mwanga mkubwa mno mbele yao....imeiva!!

Hongera sana uongozi wa sasa kufanya mabadiliko haya!! Ku inpower vijana si kazi ndogo....Mpo vizuri ukweli lazima tuuseme hadharani!!
Haya tusubiri October 2020 tuone kama vijana ni bora zaidi. Tena hawa .com!!
 
CHADEMA ipi?? Mbona kuna watu wanasema kuwa ni mali ya Mbowe??
IMG-20180405-WA0006.jpeg
 
Hivi huyu Mbowe ni milionea wa Tz sasa?? Mbona kaweza kuwanunua hawa vijana wetu?
Kuhusu kununua vijana sina maoni yoyote , lakini ili kutoa hukumu ya faini kwa viongozi wa Chadema ilibidi Akaunti ya bilionea Mbowe ifungwe kwanza , sasa akili ni kichwani mwako .
 
Kuhusu kununua sina maoni yoyote , lakini ili kutoa hukumu ya faini kwa viongozi wa Chadema ilibidi Akaunti ya bilionea Mbowe ifungwe kwanza , sasa akili ni kichwani mwako .
Mbowe pesa zake huweka Dubai mkuu hapa huwa anatumia pesa za walalahoi wa saccos ya Chadema akina nyinyi.
 
Kuhusu kununua vijana sina maoni yoyote , lakini ili kutoa hukumu ya faini kwa viongozi wa Chadema ilibidi Akaunti ya bilionea Mbowe ifungwe kwanza , sasa akili ni kichwani mwako .
Nitumie akili gani hapo sasa wakati mnatununua?? Hiyo kampuni nadhani haipo Tz
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom