Hongera Zamaradi...! Lakini....!!!

Hii ndoa kama ya Kajala baada ya kumwagana na P Funk
Leo watoto wadogo wakina Quick Raka na County Boy wanajipigia [emoji23]


Wacha hiyo bwana.....Kajala ni mwanamke yule.....yaani yeye na Mama Diamond hawachekani, wanachapwa na watoto wadogo tu kila kukicha.
 

Kwani mtu Ukiwa na pesa Ndio hutakiw kuolewa kwa kuwa unaweza kuicontrol familia Yako. Ndoa ina umuhimu Kwenye Jamii . Binadamu tumeumbwa na ashki Atakuwa mzinifu mpaka lini. Ndoa ni kitu chepesii Ila Shetani anafanya watu waone ndoa ngumu watu Waendelee kufanya uzinifuu Ndio furaha yake.
 
Hafananii kabisa na status ya mishentown ni kama mkata nyasi hivi mgogo flani wa ndyuka!!
Mbabe wa Ruge...
Hahahahah noma,
Eti hapo ndio mtoto kafika bei lakini, wanawake wanakuaga desperate sana hasa kama alikuwa na ndoto za kuolewa halafu ni single mom tayari..Hata ukimwambia ajilipie mahari mtangaze ndoa yeye yupo tayari kwa hilo. Mradi aonekane nae katoa gundu yani ha ha ha...mambo kama haya yanatia moyo sana kuwa huko tuendapo kukosa mke itakuwa ni swala la kujitakia tu.
 
Umesema ukweli kabisa.
 
Aisee!
 
Mkuu niko hapa najaribu kutoka nje ya mwili lakini nashindwa...nimefuata masharti yote.Nataka kwenda Marekani
Umekwama wapi? Nataka nikusaidie uje huku nlipo! Mi nimepitia njia zile zile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…