Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,412
- 4,559
Weekend iliyopita nilibahatika kuangalia Mpira wa Miguu kati ya Timu ya Manchester united na Aston Villa ambapo Manu walishinda mabao matatu kwa mawili ya Aston Villa. shukrani za pekee ni kwa Chicharito aliyefun ga Hat trick.
Nilibahatika Kuona mkanda wa matangazo ukipita ''VISIT TANZANIA SERENGETI NATIONAL PARKS''
Ni hatua Nzuri japo tumechelewa kidogo, ndio maana kenya is the leading exporter of tanzanite
Nilibahatika Kuona mkanda wa matangazo ukipita ''VISIT TANZANIA SERENGETI NATIONAL PARKS''
Ni hatua Nzuri japo tumechelewa kidogo, ndio maana kenya is the leading exporter of tanzanite