Hongera Wizara ya mali asili na Utalii

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Weekend iliyopita nilibahatika kuangalia Mpira wa Miguu kati ya Timu ya Manchester united na Aston Villa ambapo Manu walishinda mabao matatu kwa mawili ya Aston Villa. shukrani za pekee ni kwa Chicharito aliyefun ga Hat trick.

Nilibahatika Kuona mkanda wa matangazo ukipita ''VISIT TANZANIA SERENGETI NATIONAL PARKS''

Ni hatua Nzuri japo tumechelewa kidogo, ndio maana kenya is the leading exporter of tanzanite
 
Upuuzi mwingine huu,so what?mnafaidika nini kutangaza kama hata vipusa vinaibwa mchana kweupe? ...so stupid!!
 
Weekend iliyopita nilibahatika kuangalia Mpira wa Miguu kati ya Timu ya Manchester united na Aston Villa ambapo Manu walishinda mabao matatu kwa mawili ya Aston Villa. shukrani za pekee ni kwa Chicharito aliyefun ga Hat trick.

Nilibahatika Kuona mkanda wa matangazo ukipita ''VISIT TANZANIA SERENGETI NATIONAL PARKS''

Ni hatua Nzuri japo tumechelewa kidogo, ndio maana kenya is the leading exporter of tanzanite
Hata nami niliangalia huzi mechi ya manchester United na Norwich ambapo Man u walilal goli 1... Nilona... lilipita tangazo... www.visit-tzanania.com.... nasikia wana mkataba wa kuonekana katika viwanja saba vya EPL...
wanastahili pongezi...
 
hayo matangazo yapo tangu miaka miwili iliyopita, kuna watu wanabeza hili hawajui kuwa biashara ni matangazo hata kama tunaibiwa hatuwezi acha kutangaza
 
Back
Top Bottom