Jana nilikuwa naangalia kipindi chenu cha Women matters, kipindi kizuri ila kilikuwa hakina utulivu, hujui nani mgeni nani muongozaji, kila mtu anongea tu kama wako Baa, infact kiliboa sana, angalieni tv zingine.
Nakosa cha kuchangia mkuu ngoja nipite maana Tangu majukumu yazidi sipati hata muda wa bahati mbaya wa kuwa na TV karibu..redio kidogo nasikiliza juu kwa juu.