Hongera Taifa Stars!

Hongera Taifa Stars!

Standings
Team MP GF GA Pts
CIV 3 7 2 7
TAN 3 5 4 6
MAR 3 4 6 2
GAM 3 2 6 1

Results
Date Venue Matches
24/03/13 15:00 Dar Es Salaam Tanzania 3:1 (0:0) Morocco
23/03/13 17:00 Abidjan Ivory Coast 3:0 (0:0) Gambia
10/06/12 16:00 Dar Es Salaam Tanzania 2:1 (0:1) Gambia
09/06/12 21:00 Marrakech Morocco 2:2 (1:1) Ivory Coast
02/06/12 17:00 Abidjan Ivory Coast 2:0 (1:0) Tanzania
02/06/12 16:30 Bakau Gambia 1:1 (1:0) Morocco

FIXTURES
07/06/13 TBA Gambia - Ivory Coast
07/06/13 TBA Morocco - Tanzania
14/06/13 TBA Morocco - Gambia
14/06/13 TBA Tanzania - Ivory Coast
06/09/13 TBA Gambia - Tanzania
06/09/13 TBA Ivory Coast -Morocco
 
pole pole tutafika tu. tumechoka kushangilia timu za nje hadi tunapigana risasi kwa ajili ya man u!!! go stars go
 
tunawapongeza kwa kutuonyesha kuwa tunaonekana kukua kisoka ila kiukweli bado hatuna uwezo na hatustahili kushindana kwenye kombe la dunia.
 
mganga aliyewafunga hirizi safari hii wamng'ang'anie!!
 
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga

We ndo mshamba na chuki zako za kichawi.
 
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
Ndugu unakosea, hatuwezi kusubiri mpaka tumechukua kombe la dunia ndio tuipongeza Stars. Kila hatua ya kimaendeleo inabidi tuipongeze. Hata waliofika uwanjani hawakusubiri mpaka goli liingie ndio waipongeze, kabla hata ya mchezo wapo mashabiki walitengeneza bango kuonyesha 3-0. Watu uwa hawafanyi hivyo unavyopendekeza wewe! Ni sahihi kuipongeza katika hatua za awali, hasa kuifunga goli 3 timu kama ya Morocco, sio kazi ndogo kaka. Stars wanastahili pongezi. Tena leo, hatuwezi kungoja kesho!
 
Hongera kwa vijana wetu........ tunawatakia mafanikio mwenyenzi Mungu awatangulie
 
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga

kwa hiyo mwanao akifanya vizuri darasa la saba humpongezi hadi degree na ajira?kwa kuwafunga Morroco inabidi tuwashutumu?Unatuambia watanzania tuna ushamba wa kijinga hebu tufundishe ushamba wa kijanja?
 
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, vyombo vyetu vya habari hasa television vimeshindwa kuwaonyesha watanzania mechi ya mpira wa miguu kati ya timu yetu ya Taifa (Taifa Stars) iliyokuwa ikicheza dhidi ya Moroco.

Wakati vituo vya binafsi vikiendelea kurusha vipindi vyao vya kawaida, Television ya Taifa (TBC) wao walijikita uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kurusha matangazo ya moja kwa moja juu ya ujio wa raisi wa China.

Hivi kweli watanzania tumefika mahali pa kuwathamini wageni kuliko timu yetu ya Taifa? Naamini watanzania walioko Tarime, Tandahimba, Kakonko, Pemba, Namanyele ama Tunduru wangetamani kuishuhudia timu yao ya Taifa kuliko raisi wa China asiye na maslahi yoyote na maisha yao.

Ni dhahiri kuwa viongozi wetu wa sasa wameishiwa kabisa na uzalendo, na ndio maana wanaendelea kufanya mambo ya kijinga huku wananchi wakiwakodolea macho bila kuchukua hatua.
 
hongera safii sana taifa stars keep it up
 
Hongera Taifa stars na msibweteke kwa ushindi huu iwe chachu ya kufanya vizuri mechi zinazofuata.Tunaamini mnaweza kama mtaendelea kujituma katika mazoezi, club zenu na kwenye mechi
 
Kwa mtu kama wewe Hata wakifuzu Utasema Hawaja chukua kombe.
Hata wakichukua Kombe utasema ndio mara ya kwanza.
Hata wakichukua mara ya pili utasema. Hawajacjhukua mara Tatu.

Kifupi watu kama nyie mpo na mtaendelea kuwepo.
Pole sana!
ana ghubu huyo, kila kitu kulaumu na kulalama tu
 
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga

we ndo mshamba itakua sio mtanzania wewe una ata amu na ushindi uliopatikana kama jina lako
 
Hata mimi wamenikera! Wanajua usiku wanarusha mikataba ya Kilaghai,then wanatusitishia mechi! Wa#nga wakubwa hao!
 
Hivi nyie mamburura mna akilki kweli?
Kwa hiyo kwa sababu bwanaako DJ kasema muandamane basi hata kwenye threads za kuleta faraja mnaingiza ujinga wenu
NG'OMBE KASORO MKIA

sasa hapo mburula nani?Yeye kachangia thread ya mpira latoa maoni yake.Wewe unamtukana na kumchanganya na mambo ya siasa.
Moja nalokubaliana nawe ng'ombe kasoro mkia kabisa wewe
 
Back
Top Bottom