Hongera TAIFA STARS, ushindi ni ushindi tu hata kama Taifa Stars haitakwenda Brazil ktk kombe la dunia lakini inabaki katika historia kwamba tarahe 24.3.2013 Tanzania iliifunga Morocco bao 3-1. Katika haratakati za kwenda Brazil, timu ya San Marino imefungwa bao 8-0 na Uingereza tena nchini kwao, je na wao wasemeje kama Tanzania inaifunga Morocco, timu kubwa katika bara la Afrika na baadhi yetu tunaona haijafanya kitu!!!.