Ni sawa na mama mjamzito unamwambia hongera wakati bado hajajifungua?Huwezi kufuzu bila kushinda, na kushinda ni hatua muhimu kuelekea kufuzu. Hivyo ni muhimu kujipongeza katika kila hatua.
Ni sawa na mama mjamzito unamwambia hongera wakati bado hajajifungua?Huwezi kufuzu bila kushinda, na kushinda ni hatua muhimu kuelekea kufuzu. Hivyo ni muhimu kujipongeza katika kila hatua.
mkuu wala hujakosea,ndo maana huwa tunazikaribisha bungeni pia!!Najua hili ni jukwaa la siasa ...MUNGU IBARIKI TANZANIA
kichwa cha mwendawazimu kimebahatisha wala hatuna kiwango cha kwenda cheza brazil tuwaache tu kina chamack marudiano tutakunya hata 5 kwao
Unawapongeza kwani wamefuzu?
Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza
hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
eeeh bwanaaa!au wamenunua kabisa mechi!!wameachiwa tu
na akumbuke kila hatua nia safari, ya michezo awachie wanamichezo.
Ni sawa na mama mjamzito unamwambia hongera wakati bado hajajifungua?
acha hila wanapofanya vizuri lazima wapewe sifa labda wewe simtanzania ndo mtu pekee unayebeza timu yako ya taifa wakati imefanya vizuri!Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
Kuwa muungwana, unadhani timu itafuzu bila kushinda? wakifungwa maneno wakishinda watu wengine roho zinawauma. Daah Tz MUNGU atusaidie.Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
Hivi nyie mamburura mna akilki kweli?Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
Kwa mtu kama wewe Hata wakifuzu Utasema Hawaja chukua kombe.
Hata wakichukua Kombe utasema ndio mara ya kwanza.
Hata wakichukua mara ya pili utasema. Hawajacjhukua mara Tatu.
Kifupi watu kama nyie mpo na mtaendelea kuwepo.
Pole sana!
Mkubwa tunaomba utujuze ngap[i ngapi na tunaingiwa raundi ipiNajua hili ni jukwaa la siasa lakini hatuna budi kuipongeza taifa stars kwa ushindi ilioupata dhidi ya timu ya taifa ya moroco.
Tukumbuke angalau huu ndo upande unaotuunganisha watanzania kwa pamoja hivi sasa na ni habari njema tumepiga hatua moja mbele. tuwape moyo vijana wetu tuondoe sihasa huku zisije zikaharibu kila kitu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Kiwango kipo ndiyo maana walidhibitiwa barabara mpaka wakashindiliwa hizo tatu!
wewe ndio una akiliHaa haa haa. Katika watu wenye ubishi wa kijinga duniani Watanzania wanaongoza. Kweli unaweza kutamba timu ya taifa ina kiwango?
wewe ndio una akili
hebu tuletee threads ya kusifia mabwana zako wa matamko na maandamano