Hongera serikali ya CCM, malipo ya ndege tano, mradi wa kufua umeme (JNHPP) yafanyika bila mkopo

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
"Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil. 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere"- MsigwaGerson

Capture 1.PNG
 
"Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil.50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere"- @MsigwaGerson

#MsemajiWaSerikaliPress https://t.co/mZNpBvKZJR
Wanakuja wapumbavu flani wataokwambia kuwa huo ni wajibu wa serikali wala si hisani hadi uwape hongera
 
"Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil. 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere"- MsigwaGerson

View attachment 1923519
Malipo ya awali ni asilimia ngapi? Hizo ndege zinakuja lini? Habari nusu nusu bora kukaa kimya.
 
Back
Top Bottom