Hongera Serikali, Top 10 shule za serikali zimerudi

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
625
780
Hongera Rais Joseph Pombe Magufuli

Nimejiuliza je private walikuwa wanafanya nini maana shule za serikali zilipotea

Shule 10 zilizofanya vizuri:
Kisimiri, Feza Boys, Alliance Girls, Feza Girls, Marian Boys, Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, na Tandahimba
 
Baaa che ntwara tumo!
Tandahimba wametutoa, najua hatujashika mkia matokeo haya maana hua tunasemwa sana
 
Nimefurahi kuona mkoa wa Iringa na Njombe shule zilizoshika nafasi ya kwanza kimkoa ni shule za Kata
 
Hii hoja yaweza kuwa ya msingi[/ .
Hiyo inachangia, ukichunguza utaona kwamba wanaoenda A'level Private ni wale waliofell tofauti na shule ya msingi na O'level ambako wazazi wengi hupenda watoto wao wajengewe msingi mzuri wa elimu, hivyo, kuwapeleka private, ikifika A'level wanarudi Govt.
 
Back
Top Bottom