Hongera Serikali, Top 10 shule za serikali zimerudi

Wanafunzi wanaomaliza form four private school huwa wanaingia A'level shule za Serikali ndio maana katika ngazi hii, shule za Govt hufanya vizuri.
Nakumbuka nikiwa A level kibaha tulikutana na vijana wengi kutoka Marian,feza na vichwa toka shule mbalimbali za serikali!Kipindi hicho kwenye combination kama unataka kuapply kibaha PCM basi hakikisha una point kuanzia 4!Yaani kwenye masomo hayo matatu uwe una walau AAB,ilikuwa ukipata point 5 basi usisumbuke kuomba kibaha!PCB ilikuwa walau uwe na point 6!
 
hapo top ten haijakaa sawa mana sioni shule yangu TOSAMAGANGA
 
Hongera Rais Joseph Pombe Magufuli

Nimejiuliza je private walikuwa wanafanya nini maana shule za serikali zilipotea

Shule 10 zilizofanya vizuri:
Kisimiri, Feza Boys, Alliance Girls, Feza Girls, Marian Boys, Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, na Tandahimba
Mwaka huu hayakuvuja ndugu
 
Ni kwel na tambueni zero nyingi zipo shule za serekali
.....Hata kama SHULE za Serikali zingeshika nafasi ZOTE KUMI za Mwanzo na zingine zote kupata matokeo mazuri, MABADILIKO haya hayawezi kuwa "yameletwa" na Serikali ILIYOINGIA madarakani mwezi Novemba 2015!....
 
ni kweli kabisa mkuu
 
Hongera Rais Joseph Pombe Magufuli

Nimejiuliza je private walikuwa wanafanya nini maana shule za serikali zilipotea

Shule 10 zilizofanya vizuri:
Kisimiri, Feza Boys, Alliance Girls, Feza Girls, Marian Boys, Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, na Tandahimba
Hongera Rais Joseph Pombe Magufuli

Nimejiuliza je private walikuwa wanafanya nini maana shule za serikali zilipotea

Shule 10 zilizofanya vizuri:
Kisimiri, Feza Boys, Alliance Girls, Feza Girls, Marian Boys, Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, na Tandahimba
Hongera Rais Joseph Pombe Magufuli

Nimejiuliza je private walikuwa wanafanya nini maana shule za serikali zilipotea

Shule 10 zilizofanya vizuri:
Kisimiri, Feza Boys, Alliance Girls, Feza Girls, Marian Boys, Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, na Tandahimba
Hongera Rais Joseph Pombe Magufuli

Nimejiuliza je private walikuwa wanafanya nini maana shule za serikali zilipotea

Shule 10 zilizofanya vizuri:
Kisimiri, Feza Boys, Alliance Girls, Feza Girls, Marian Boys, Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, na Tandahimba
Naona mkuu una UTAU (upungufu wa taarifa ubongoni). Miaka yote hizo za serikali kwa A- level huwa ziko vizuri na hazijawahi kupotea ila kwa O- level ndo watasubiri sana!
 
Mleta mada sijui kama umejuiliza asilimia ngap ya wanafunzi walio shule binafs na walio serkalin. Nakukumbusha. Serkali inawanafunz zaid ya 80% unaporinganisha na mwenye 20% jiangalie!! Than mmeingiza 50% 50% ni kufeli kwa serikali.
 
Kitu cha bei ndogo ndicho chenye thamani au kinyume?
Shule zaserikali ndio zenye bei ila tunawalipia kupitia bajet ya serikali. Shidaya watz sio wafatiliaji. Serikalin mwanafunz anakula karibu 4000 wakat prvet 1500 pa day. Sheria ya manunuz hiyo.
 
Hivi shule ya Mafinga Changarawe sec kama sijakosea, ilikua ya kwanza mwaka fulan....leo ni ya ngapi!!??
 
Back
Top Bottom