Hongera Serikali, Top 10 shule za serikali zimerudi

Hongera Serikali, Top 10 shule za serikali zimerudi

Hongera Rais Joseph Pombe Magufuli

Nimejiuliza je private walikuwa wanafanya nini maana shule za serikali zilipotea

Shule 10 zilizofanya vizuri:
Kisimiri, Feza Boys, Alliance Girls, Feza Girls, Marian Boys, Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, na Tandahimba

shule za binafsi zina wanafunzi kidogo kwa darasa, ukifanya tathmini shule kama ilboru inaweza kuwa na division one 40, na shule binafsi inaweza kuwa na jumla ya wanafunzi wasiofika 40 na then wakawa na division one 25. Alafu utasema ilboru imepitwa na ka shule kana wanafunzi hawafiki 40!! wakati hao 40 ni division one za ilboru tu
 
Hongera Rais Joseph Pombe Magufuli

Nimejiuliza je private walikuwa wanafanya nini maana shule za serikali zilipotea

Shule 10 zilizofanya vizuri:
Kisimiri, Feza Boys, Alliance Girls, Feza Girls, Marian Boys, Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, na Tandahimba
Sita hapo ni za serikali...including ya kwanza...shule ya kata...kijiji
 
Yote kwa yote wote ni watoto wa Tanzania awe ametoka private au Govt.
 
One ya serikali INA thaman kubwa kuliko one ya private..... Ya serikali ada yake ni Tsh 70000 tyuuuu...akati private ni mahela mengiii......
 
Hongereni sana vijana! Mnapambana big time! Shule z serikali zirudie ile heshima sasa!!
 
Hizo shule huchukua vipanga tangu enzi ya nyerere. Hapo imekosekana weruweru tu,
 
Matokeo kidato cha sita shule Za serikali ziko vizuri tu tena hapo chache hizo ila huku kidato cha nne ndio shida
 
Nimeipenda tabora boys kwa kushika nafasi ya 5 kitaifa na kuziacha mzumbe, kibaha, na ilboru,

Sikumbuki ni lini hili tukio lilitokea ?
 
Hongera shule yangu Ilboru kwa kufaulisha wanafunzi wengi kuliko shule zote. Nirahisi kwa shule za watu wachache lakini Ilboru ndiyo inaongoza kwa wafaulu wengi. Azania masikini ni ya pili kutoka mwisho ni bora majengo wangeongeza Muhimbili primary school
 
Back
Top Bottom