Ifike wakati sasa tuone wana JF wenzetu wenye uwezo mkubwa wa kiunadishi pia kama Pasco , [U]Mzee Mwanakijiji[/U] , Manyerere Jackton , Mchambuzi, Mtambuzi na wengineo wengi ambao ni mazao ya hapa JF wakichapisha vitabu vyao.
Aache hulka ya uongo na uchonganishi"
Tabia ambazo zaweza kuangamiza ndoto zake.
Mimi namwita kuwa ni mtaalam wa majungu, sijui kama ameacha tabia hiyo.
Ni kweli lakini kwako hizo underlighted kama ni positive attributes bai lazima kuna matatizo fulani katika orientation.chief, hizo terms ni subjective. zinategemeana na wewe unaye-assess umeegemea upande upi!!
Inaendeleahivi ile kesi yake ililiishia wapi???
Hivi unadhani magazeti ya udaku na dailynews....lipi linanunuliwa sana?watu wanapenda kusikia vitu wasivyovijua...so hope kitanunuliwaMtu kama yerico credibility yake ni ndogo sana kiasi cha watu kununua kitabu chake,kitakua ni makusanyo ya uzushi tu
I don't think he is intelligent enough to write a book of his own on such a serious subject. I can only assume that he has just gathered information from various sources and will use it to make a book. Writing a book is not as easy as many might think; it demands a lot of effort, patience, and wit. He seems to have none of those features.
Mlipe weweUlimlipa yule dogo aliyeshinda shindano lako? Au ndio ulimtapeli jumla
Aisee jf kiboko ,loh
Kuna shindano Yericko alianzisha la matumizi sahihi ya kiswahili na kuna dogo alifaulu ila Yericko akamdhulumu pesa yake na Yericko alikili (dogo aliandika lalamiko hilo JF). Sikufuatilia mpaka mwisho kama jamaa alimlipa, so kama hajamlipa ajue anakula laana