Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kanjanja huyu
Issue ya kufanana na hii nimekutana nayo kwenye stationary moja pale Banana, Ukonga kuna mdada analalamika kuwa alimuliza....akamalize haya mambo sio mazuri!Kuna shindano Yericko alianzisha la matumizi sahihi ya kiswahili na kuna dogo alifaulu ila Yericko akamdhulumu pesa yake na Yericko alikili (dogo aliandika lalamiko hilo JF). Sikufuatilia mpaka mwisho kama jamaa alimlipa, so kama hajamlipa ajue anakula laana
Acha tu mkuu. Jamaa amefuzu kwa uzandiki na unafiki wa hali ya juu.Aache hulka ya uongo na uchonganishi"
Tabia ambazo zaweza kuangamiza ndoto zake.
Mimi namwita kuwa ni mtaalam wa majungu, sijui kama ameacha tabia hiyo.
Mkuu,Yericko jibu maswali ya Wachangiaji kwa hoja usihamishe mantiki ya swali kwa kuchopeka vionjo vya hisia.
Ni kweli hata Mimi niliona andiko la kijana aliyedai ulimtapeli lakini nakuona hapa hutaki kujitanabainisha kinaganaga ili tuweze kumaizi nyuma ya tuhuma hiyo.
Siamini kuwa wewe ni tapeli.
Naishi Dar, lazima shughu zangu ziwe misheni tauni sio misheni bushiWe jamaa ni mjanjajanja misheni tauni. Kweli hii bongo Yericko Nyerere
Kituo kipi cha polisi kina kesi yangu mkuu? Hebu thibitisha ndugu...Mkuu,
Huyu jamaa hana lolote zaidi ya Unafiki na Utapeli hapa mjini. Mbona ana kesi za hizo tuhuma zake katika vituo vya polisi. Ni kajitu kanapenda sana ujuaji.
Maswali yapi? Hizo porojo??Yericko jibu maswali ya Wachangiaji kwa hoja usihamishe mantiki ya swali kwa kuchopeka vionjo vya hisia.
Ni kweli hata Mimi niliona andiko la kijana aliyedai ulimtapeli lakini nakuona hapa hutaki kujitanabainisha kinaganaga ili tuweze kumaizi nyuma ya tuhuma hiyo.
Siamini kuwa wewe ni tapeli.
Unajua maana ya tapeli??Jibu la watu wana chuki ni kukwepa swali watu wanataka kujua ukweli wakuchukie kwa nini?unavyopindishapindisha hoja ndivyo unavyowafanya wakuone tapeli
Acha kuwapa watu sifa za kijinga hakuna aliye Mkuu zaidi ya MunguNdugu yangu yanini uumie kiasi hiki?
Ulitapeliwa nini mkuu wangu?
Je huyo kijana anayekutuhumu ulimtapeli unamfahamu?kama unamfahamu au unafahamu hilo je lina ukweli?Maswali yapi? Hizo porojo??
Hahahaaa haya nduguAcha kuwapa watu sifa za kijinga hakuna aliye Mkuu zaidi ya Mungu
Kijana unapoteza muda wako tu....Je huyo kijana anayekutuhumu ulimtapeli unamfahamu?kama unamfahamu au unafahamu hilo je lina ukweli?
Thibitisha
Wameamua kubet kupitia Yericko !Iyo kampuni nayo haiko serious au ni kampuni ya udaku.
Wameamua kubet kupitia Yericko !Iyo kampuni nayo haiko serious au ni kampuni ya udaku.
Huyu jamaa mpaka chadema wanamkimbia ! (uongozi)Kanjanja huyu
Jamaa alisema tuanze kushona suti... then akayayuka ghafla kwenye headlines. ....tukamsikia tena yuko mikono salamaMuda mfupi kabla ya Uchaguzi mwaka Jana Yericko ulienda wapi?