Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,594
Wewe hata akili ya ku copy & ku paste huna.humo zimejaa copy and paste tu
Mpongeze mwenzako bhana!
Wewe hata akili ya ku copy & ku paste huna.humo zimejaa copy and paste tu
Ushaingiza itikadi tayariAache hulka ya uongo na uchonganishi"
Tabia ambazo zaweza kuangamiza ndoto zake.
Mimi namwita kuwa ni mtaalam wa majungu, sijui kama ameacha tabia hiyo.
Mbona wewe huwezi hata kukopi tu?humo zimejaa copy and paste tu
Mwana JF mwenzetu Bwana Yericko Nyerere amesaini leo mkataba na kampuni ya MJ Printing Press kwa ajili ya kuandika kitabu cha UJASUSI WA KIDOLA NA KIUCHUMI, hii ni hatua nzuri sana ukiwa kama mtu mwenye kipaji cha uandishi lakini pia uwezo wa kujenga hoja.
Mara nyingi hoja zako hapa zimekuwa zikitatiza kama ni fiction au ni za kweli, lakini haiondoi ukweli kuwa una uwezo mzuri sana wa kujenga hoja na kuzitetea hoja hizo, hasa zile za jikoni.
Ifike wakati sasa tuone wana JF wenzetu wenye uwezo mkubwa wa kiunadishi pia kama Pasco , Mzee Mwanakijiji , Manyerere Jackton , Mchambuzi, Mtambuzi na wengineo wengi ambao ni mazao ya hapa JF wakichapisha vitabu vyao.
Ningependa kutoa ombi kwa uongozi wa JF kutafuta uwezekano wa kumfanyia interview Yericko mara kitabu kitakapo toka kama sehemu ya kumpa support member mwenzetu, lakini pia kuenzi michango yake mingi humu JF, na hii itatia sana hamasa kwa members humu kujiingiza katika tasnia hii.
Binafsi kitabu hicho kikitoka nitakinunua, kwa kuwa ni msomaji mzuri pia wa vitabu.
![]()
Hongera sana na All the best, ila usisahau kuitaja JForums kwenye dibaji maana najua pia imekujenga sana katika tasnia hii ya uandishi.
Kumbe hajamlipa aisee. Haya, hongera kwa kitabu ila dhuluma itakuponza
wewe ndo myakyusa mjinga na kiranja wa wajinga wote wa kinyakyusa.baada ya kumsifia yericko wewe unaleta majungu.wewe utakuwa lugumi sio bure weweAache hulka ya uongo na uchonganishi"
Tabia ambazo zaweza kuangamiza ndoto zake.
Mimi namwita kuwa ni mtaalam wa majungu, sijui kama ameacha tabia hiyo.
Kwanza hakuna mtu mjinga kama wewe maana kwa jina la avatar basi unafikiri mi ni hilo kabila lako.wewe ndo myakyusa mjinga na kiranja wa wajinga wote wa kinyakyusa.baada ya kumsifia yericko wewe unaleta majungu.wewe utakuwa lugumi sio bure wewe
humo zimejaa copy and paste tu
Yericko Nyerere hana uhusiano wowote na Nyerere..aliwadanganya watu tuu...Familia ya Nyerere ina vipaji vingi
Yericko Nyerere huyu muhalifu wa mitandao mwenye case kisutu aliyajulia wapi mambo ya ujasusi na Uchumi? Hiyo kampuni basi imejaa vichwa maji kumuamini Yericko Nyerere..Mwana JF mwenzetu Bwana Yericko Nyerere amesaini leo mkataba na kampuni ya MJ Printing Press kwa ajili ya kuandika kitabu cha UJASUSI WA KIDOLA NA KIUCHUMI, hii ni hatua nzuri sana ukiwa kama mtu mwenye kipaji cha uandishi lakini pia uwezo wa kujenga hoja.
Mara nyingi hoja zako hapa zimekuwa zikitatiza kama ni fiction au ni za kweli, lakini haiondoi ukweli kuwa una uwezo mzuri sana wa kujenga hoja na kuzitetea hoja hizo, hasa zile za jikoni.
Ifike wakati sasa tuone wana JF wenzetu wenye uwezo mkubwa wa kiunadishi pia kama Pasco , Mzee Mwanakijiji , Manyerere Jackton , Mchambuzi, Mtambuzi na wengineo wengi ambao ni mazao ya hapa JF wakichapisha vitabu vyao.
Ningependa kutoa ombi kwa uongozi wa JF kutafuta uwezekano wa kumfanyia interview Yericko mara kitabu kitakapo toka kama sehemu ya kumpa support member mwenzetu, lakini pia kuenzi michango yake mingi humu JF, na hii itatia sana hamasa kwa members humu kujiingiza katika tasnia hii.
Binafsi kitabu hicho kikitoka nitakinunua, kwa kuwa ni msomaji mzuri pia wa vitabu.
![]()
Hongera sana na All the best, ila usisahau kuitaja JForums kwenye dibaji maana najua pia imekujenga sana katika tasnia hii ya uandishi.
If such are the imams,allah bless the umma.Ikiwa huyo ana 'kipaji cha kuandika".
Nnahaki ya kusema "if such are the priests, God bless the congregation".
Sasa hicho kitabu kama hakijafundisha ujinga kitafundisha nini zaidi.
hahaha we mtoto ongea na katavi sababu yule atakuwa kaka mkubwa wako jifunze mila na desturi sisemi zaidi mpm no more no commentsdream well in my left arm.
swissme
Mkuu, Yeriko ndiye tapeli namba moja wa mitandaoni. Mwongo sana anadanganya watu anawapeleka training Ujerumani na analazimisha awekewe hela kwenye simu yake ya magumashi. Jizi sana hilo.Aache hulka ya uongo na uchonganishi"
Tabia ambazo zaweza kuangamiza ndoto zake.
Mimi namwita kuwa ni mtaalam wa majungu, sijui kama ameacha tabia hiyo.
Yeriko ni mhalifu wa kimtandao. Vyombo vinamtazama. Atajaa tu kwenye 18wewe ndo myakyusa mjinga na kiranja wa wajinga wote wa kinyakyusa.baada ya kumsifia yericko wewe unaleta majungu.wewe utakuwa lugumi sio bure wewe
Asante mkuu kwa kumtambua huyu TP.Mkuu, Yeriko ndiye tapeli namba moja wa mitandaoni. Mwongo sana anadanganya watu anawapeleka training Ujerumani na analazimisha awekewe hela kwenye simu yake ya magumashi. Jizi sana hilo.
Ametengeneza program ya play store inaitwa smarttz. Anajiita Halima Mdee anashawishi watu waingie kwenye huo mtandao wa kitapeli. Ukiingia huko unaweza ukaingia mkenge kumtumia 35,000 kumchangia. Ni tapeli, mwizi na jambazi la mtandaoni. Tutamkamata tu.
hahaha we mtoto ongea na katavi sababu yule atakuwa kaka mkubwa wako jifunze mila na desturi sisemi zaidi mpm no more no comments
take it easy bless youhahaha we mtoto ongea na katavi sababu yule atakuwa kaka mkubwa wako jifunze mila na desturi sisemi zaidi mpm no more no comments
Mkuu Yericko mimi huyu huyu ndie nafanya hayo na wewe unajua lakini hujachukua hatua zozote za kisheria?Mkuu, Yeriko ndiye tapeli namba moja wa mitandaoni. Mwongo sana anadanganya watu anawapeleka training Ujerumani na analazimisha awekewe hela kwenye simu yake ya magumashi. Jizi sana hilo.
Ametengeneza program ya play store inaitwa smarttz. Anajiita Halima Mdee anashawishi watu waingie kwenye huo mtandao wa kitapeli. Ukiingia huko unaweza ukaingia mkenge kumtumia 35,000 kumchangia. Ni tapeli, mwizi na jambazi la mtandaoni. Tutamkamata tu.
Unaweza kututhibitishia madai yako,?Yeriko ni mhalifu wa kimtandao. Vyombo vinamtazama. Atajaa tu kwenye 18