Hongera sana Yericko Nyerere

Hongera sana Yericko Nyerere

Vyema Sana Mkuu, Ila Kinachoniudhi Kwa Waandishi Wengi Wa Tz Ni Kushindwa Kuji Brand Upande Mmoja Ili Tuwatambue Kama Ni Wanasiasa Au Waandishi.
Wewe Mwenyewe Uloleta Huu Uzi Ni Shahidi Kwa Niloongea.
Vinginevyo BigUp Mkuu Kazi Nzuri.
 
Vyema Sana Mkuu, Ila Kinachoniudhi Kwa Waandishi Wengi Wa Tz Ni Kushindwa Kuji Brand Upande Mmoja Ili Tuwatambue Kama Ni Wanasiasa Au Waandishi.
Wewe Mwenyewe Uloleta Huu Uzi Ni Shahidi Kwa Niloongea.
Vinginevyo BigUp Mkuu Kazi Nzuri.
Ni kweli, tatizo kuu la nchi za ulimwengu wa tatu karibu zote ni poor specialization.

Vitu vinakuwa general sana na ili utoke kirahisi inabidi uwe mtu wa kumiksi kada nyingi.

Nafikiri hili linaanzia kwenye mfumo wa elimu yetu.
 
Ni kweli, tatizo kuu la nchi za ulimwengu wa tatu karibu zote ni poor specialization.

Vitu vinakuwa general sana na ili utoke kirahisi inabidi uwe mtu wa kumiksi kada nyingi.

Nafikiri hili linaanzia kwenye mfumo wa elimu yetu.
Yah Kwa Misingi Ya Njaa Kumiks Ni Kanuni Lakn Kwa Ueledi Ni Sheeda Mkuu.
Huwezi Kumwambia Dimond Aimbe Kilimo Kwanza Halafu Asiuze Wakat Studio Katumia Pesa Hii Huwa Inawapa Tabu Sana Waandishi Wetu,
Ndio Maana Hata Polisi Wakat Mwingine Wanawachapa Virunguz Coz Unajua Kabisa Huyu Ni Mwandishi Wa Gazeti Pinzani Na Ni Lazima Ataandika Habari Za Upande Mmoja, Unamwambia Usivuke Mstari Yeye Anavuka Sasa Unategemea Nini Hapo Mkuu.

Mwangalie Betty Mkwasa, Juma Nkamia, Josephat Isango, Novatusi Makunga, Shaban Kisu, Salum Mwalim, Kubenea
Jana Walikuwa Waandishi Wa Habari Lakn Leo Wapo Jukwaani Sasa Mi Sielewi, Lakn Ndo Hivyo Mkuu Njaa Hizi Bana Zinatulaziu Tufanye Mengi Ili Watoto Waende Shule.
 
Mwana JF mwenzetu Bwana Yericko Nyerere amesaini leo mkataba na kampuni ya MJ Printing Press kwa ajili ya kuandika kitabu cha UJASUSI WA KIDOLA NA KIUCHUMI, hii ni hatua nzuri sana ukiwa kama mtu mwenye kipaji cha uandishi lakini pia uwezo wa kujenga hoja.

Mara nyingi hoja zako hapa zimekuwa zikitatiza kama ni fiction au ni za kweli, lakini haiondoi ukweli kuwa una uwezo mzuri sana wa kujenga hoja na kuzitetea hoja hizo, hasa zile za jikoni.

Ifike wakati sasa tuone wana JF wenzetu wenye uwezo mkubwa wa kiunadishi pia kama Pasco , Mzee Mwanakijiji , Manyerere Jackton , Mchambuzi, Mtambuzi na wengineo wengi ambao ni mazao ya hapa JF wakichapisha vitabu vyao.

Ningependa kutoa ombi kwa uongozi wa JF kutafuta uwezekano wa kumfanyia interview Yericko mara kitabu kitakapo toka kama sehemu ya kumpa support member mwenzetu, lakini pia kuenzi michango yake mingi humu JF, na hii itatia sana hamasa kwa members humu kujiingiza katika tasnia hii.
Binafsi kitabu hicho kikitoka nitakinunua, kwa kuwa ni msomaji mzuri pia wa vitabu.

CgALHM6UkAE73SY.jpg


Hongera sana na All the best, ila usisahau kuitaja JForums kwenye dibaji maana najua pia imekujenga sana katika tasnia hii ya uandishi.

Acha! tuone.
 
OMBI LANGU vitabu hivyo visiwe ghali kwani hali ya kiuchumi kwa sasa na kuendelea ni ngumu vinginevyo hongera kwake .
Ina mana hali ya kiuchumi inazidi kuwa mbovu tena? Jaman jaman jaman tutaenda wap?
 
Back
Top Bottom