Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

Naipongeza sana Taasisi hii ya The Islamic Foundation kwa kazi kubwa na nzuri wanayoifanya hapa nchini kwetu Tanzania.

Pia naupongeza sana uongozi wa Manispaa ya Morogoro chini ya Meya wake Mhe Nondo na Mkurugenzi Bw Jorvis kwa kutambua mchango wake hadi kuitunuku Taasisi hii Cheti cha shukrani "Certificate of appreciation" katika kuleta maendeleo ya watu bila kuzingatia dini ama itikadi ya mtu.

Katika kipindi kifupi, The Islamic Foundation imefanikiwa kuchimba visima virefu na vifupi vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 300 katika kata mbalimbali za manispaa ya Morogoro. Kata ya Mji mkuu imebahatika kupata visima viwili (2) na pia inajengewa ofisi ya kata ya kisasa kabisa.

Katika kata ya Kilakala kwa mujibu wa diwani wa kata hiyo Bw Ribon Mkali, The Islamic Foundation imewekeza katika ujenzi wa vyumba vinne (4) madarasa vinavyojengwa kwa matofali ya block yaliyolazwa. katika ujenzi huo wananchi wa kata hiyo walichangia kiasi cha Tsh 200,000/ na Islamic Foundation imechangia zaidi ya Tsh milioni 40.

Katika kata ya Mji mpya, kwa mujibu wa Diwani wa kata hiyo Bw Wenceslaus, Taasisi ya The Islamic Foundation imechangia kiasi cha Tsh milioni moja kwa ajili ya kufanya ukarabati wa mfumo wa maji katika zahanati katani humo.

Samweli Msuya wa kata ya Mbuyuni anaielezea The Islamic Foundation kama Mkombozi wa kweli kwa jamii ya wana Morogoro na Tanzania kwa ujumla. Ameelezea kuwa viongozi wake ni wasikivu, wenye huruma na wenye imani.

Kwa kila kisima kirefu kilichochimbwa wamefunga jenereta kwa ajili ya kuvuta maji (kwa maeneo yasiyo na umeme)na wameweka Tank lenye ujazo wa lita 5,000.

Pia kwa kujali elimu na kuizingatia, The Islamic Foundation wanamiliki shule saba (7) na wameweza kujenga misikiti 700 nchi nzima. Pia wanatoa ufadhili kwa watoto wanaoshindwa kulipia gharama za masomo katika shule za msingi na sekondari na wanategemea kuanzisha bodi ya mikopo ya elimu ya juu.

Zaidi katika kuisaidia serikali kupambana na umasikini wameweza kutoa mitaji kwa wajane na vijana na pia wameanzisha kitengo maalumu kwa ajili ya councelling kwa vijana waathirika wa madawa ya kulevya.

Kuhusu haki ya kupata habari, wamewezesha kusimama imara kwa Radio Imaan na Tv Imaan.

Tunashukuru: "Mmeahidi, mkatimiza. Na ALLAH ni Shahidi"

Mwenye macho haambiwi Tazama
Kwa hilo nawapa big up. Weldone Na wengine waige Na si kukashifu dini zingine Na kuleta mambo ya ajabu ajabu
 
Tunasubiri tupewe MoU na sie tuanze marathon za ujenzi wa shule !

ndo mnaamka! nakukumbusha. wageni wa kwanza kuja tanzania walikuwa waarabu. walifika na kuanza kuishi pwani ya afrika masharki kwa wingi karnne ya nane (700s AD) tangu walipofika walijenga misikiti na kufanya biiashara ikiwemo biashara ya watumwa. zilikuewepo madrasa chache ambazo zilifundisha watu wachahe sana kusoma kurani. hawakujenga shule wala hospitali hata moja. wazungu wa kikristo walikuja karne ya 13 (1400). yaani miaka 700 baadae. walipofika, hapawalijenga kanisa pembeni hospitali na pembeni nyingine shule. naam. wlifundisha kusoma na elimu dunia pia. niambie

(1) mpaka wazungu wanaingia waarabu walikuwa wameshajenga shule ngapi. zitaje.
(2) mpaka tunapata uhuru walikuwa wamejenga shule ngapi.
(3) hospitali ngapi.
(4) vyuo vikuu vingapi.
(5) vyuo vya ufundi vingapi.
wangapi mnajua ustadhi ilunga alisoma shule ya mission tabora.
 
Labda mi ndo sielewi pengine unaweza kunisaidia, hivi hawa Bakwata wanazuiaje waislam kujenga shule? Kama hao mudio, ubungo, nyasaka na islamic foundation wakaamua kujiendesha nje ya Bakwata wanaathirikaje? Hapa kuna shule 7 na misikiti 700 maana yake uwezo wa kifedha upo kwanini kupambana na Bakwata kila siku kama kwamba ni lazima muislam apitie kwao kufanya maendeleo kwa faida ya uislam?

kwa nnavyofahamu Bakwata ni sawa na TEC kwa wakristo, mbona sijawahi kusikia wakristo wakipambana kuidai TEC iboreshe mambo yao? Tofauti ya dini hizi ni nini?

Nyerere amekuwa akitukanwa sana na akina ponda (sio waislam wote) na kudai nyerere aliuhujumu uislam na kuunda Bakwata kwa malengo yake, na ni Nyerere huyu huyu aliyetoa viwanja kwa bakwata ili ijiendeshe ni kwanini waumini hawa hawaitambui bakwata lakini wanatambua mali zilizo chini yake?
Anyway, nauliza kwa kuwa najiuliza..

Mkuu hebu niambie ni organization ipi ambayo imepewa mandate ya overall supervision of muslim society in Tanzania? Pia niambie ni miaka mingapi sasa shule za kiislamu na jamii ya kiislamu kwa ujumla imekuwa nyuma kwa mambo mengi ya kimaendeleo pia uniambie hii BAKWATA kama chombo pekee kinachotambuliwa na serikali/kilichoanzishwa na serikali kimechukua initiatives zipi (hata moja tu) kujaribu kuikabili hiyo changamoto?

Kwanini tunailaumu BAKWATA?:- Kikiwa ni chombo kikuu cha waislamu tanzania (Tena kimeanzishwa na serikali) hakionyeshi faida yoyote kwa jamii ya waislamu tanzania zaidi ya kusimamia talaka na kutangaza muandamo wa mwezi. Bakwata hiyo hiyo imekuwa mstari wa mbele kuwafanyia zengwe taasisi nyingine za kiislamu zinazoonyesha kutokuridhika na utawala wao, uchaguzi wa bakwata umekuwa unaingiliwa kisiasa sana na matokeo yake viongozi wake wanakuwa incompetent kiasi ambacho hawaoni umuhimu wa kujiwajibisha na mambo ya msingi ya ustawi wa maendeleo ya waislamu (watu mnauliza waislamu wanafeli kwani hao bakwata ni yupi anaelimu ya kueleweka ya secular).

Conclusion:- Bakwata ni chombo kilichoasisiwa na CCM makusudi kwa kulinda maslahi ya chama, mnavyosemaga kampeni za siasa misikitini basi mjue ni hao hao masheikh ubwabwa wa bakwata ndiyo wanaoenezaga siasa za maji taka kwa waumini.
 
Wangejenga angalau shule 350 na misikiti 370 ili mtoto apate vyote elimu dunia na elimu akhera.halafu waache kulalamika
 
Kutwa kucha Wakiristo watupia post za kashfa na kejeli dhidi ya Uislaam na Waislaam na utagundua kupiotia humu Wakiristo wanajiona wao ni First Class Citizen. Matusi na keli zinatembea lakini Mod wanawalinda na kufurahia. Ukitetea basi ni vitisho kutoka kwa hao ma Mod wakati wanaendekeza watu wao.
Tunajua JF inaendeshwa Kikiristo na sie hatutavumilia kuona udhalilishaji huu !
Anzisheni JF-el islam ya kwenu kama mnaona hii JF kubwa inaendeshwa kikristo na tuondoleeni shombo la udini hapa. Watu hamjiamini, kila wakati mnatuhumu wskristo tu, mmelishwa sumu mbaya kuamini kuwa unyonge wenu unasababishwana wakristo. Jiangalieni tokea ndani ndo mtagundua kuwa waislam mna mambo ya hovyo yanayowashikilia chini msiweze kunyanyuka, ilhali wnzenu wanasonga mbele. Kwa kuwasaidia,mambo mawili ni hatari kwenu: elimu na ndoa holela yaani mitala. Baaasi. Yachungeni hayo, siku za neema zitahesabika.
 
ndo mnaamka! nakukumbusha. wageni wa kwanza kuja tanzania walikuwa waarabu. walifika na kuanza kuishi pwani ya afrika masharki kwa wingi karnne ya nane (700s AD) tangu walipofika walijenga misikiti na kufanya biiashara ikiwemo biashara ya watumwa. zilikuewepo madrasa chache ambazo zilifundisha watu wachahe sana kusoma kurani. hawakujenga shule wala hospitali hata moja. wazungu wa kikristo walikuja karne ya 13 (1400). yaani miaka 700 baadae. walipofika, hapawalijenga kanisa pembeni hospitali na pembeni nyingine shule. naam. wlifundisha kusoma na elimu dunia pia. niambie

(1) mpaka wazungu wanaingia waarabu walikuwa wameshajenga shule ngapi. zitaje.
(2) mpaka tunapata uhuru walikuwa wamejenga shule ngapi.
(3) hospitali ngapi.
(4) vyuo vikuu vingapi.
(5) vyuo vya ufundi vingapi.
wangapi mnajua ustadhi ilunga alisoma shule ya mission tabora.

Kwa hiyo Wazungu walikuja kuleta shule na Hospitali kwa gharama zao kwa mapenzi makubwa na nyie ! Wakati mnapata Uhuru wazungu waliwafundishi Madaktari wa ngapi na Mainjinia wangapi ?
Reli ya kati waliijenga pia kusaidia mpate usafiri kiurahisi eeeh !
 
Anzisheni JF-el islam ya kwenu kama mnaona hii JF kubwa inaendeshwa kikristo na tuondoleeni shombo la udini hapa. Watu hamjiamini, kila wakati mnatuhumu wskristo tu, mmelishwa sumu mbaya kuamini kuwa unyonge wenu unasababishwana wakristo. Jiangalieni tokea ndani ndo mtagundua kuwa waislam mna mambo ya hovyo yanayowashikilia chini msiweze kunyanyuka, ilhali wnzenu wanasonga mbele. Kwa kuwasaidia,mambo mawili ni hatari kwenu: elimu na ndoa holela yaani mitala. Baaasi. Yachungeni hayo, siku za neema zitahesabika.

Tutabana humu humu na Uislaam si Dini ya unyonge na ndio maana Waislaam wako 'frontline' wanapambana !
Wanamaliza majina mabaya kuwabandika Waislaam, propanda kila mahali, lakini Uislaam unazidi kukua.
Tumo wote humu humu maendeleo yako ni ya kubadilisha mboga tu na kunywa bia nyingi!
 
Wangejenga angalau shule 350 na misikiti 370 ili mtoto apate vyote elimu dunia na elimu akhera.halafu waache kulalamika

Serikali iliacha kujenga shule ?
Sie hatuna MoU ya mgao wa kodi za watanzania !
 
sio kila kanisa. lakini shule za kikristo baba ni za kumwaga. haya tuambie mmejenga vyuo vikuu vigapi. maana cha morogoro mmepewa tu. ni chuo kilichojengwa kwa kodi za wananchi wote. likini mkapewa tu. mmejenga vingapi. vitaje kwa majina

Bakwata kupitia Serikali wameuza kiwanja cha Chuo Kikuu, na sasa wana mkandamiza Ponda kwa kukidai !
 
Wangejenga angalau shule 350 na misikiti 370 ili mtoto apate vyote elimu dunia na elimu akhera.halafu waache kulalamika

.......

Nadhani ni muhimu pia watu tuelewe kuwa gharama ya kujenga msikiti mmoja sio sawa na gharama ya kujenga shule moja. Shule ni gharama kubwa zaidi.

Pia taasisi zote za kidini msingi wake mkubwa ni kueneza dini halafu ndio shuguli za maendeleo kama shule, zahanati, hospitali, visima vya maji na vyuo zinafuata.

So tusiwabeze Islamic Foundation kwa kujenga misikiti mingi kuliko shule, wamesaidia juhudi za serikali kuleta maendeleo hata kama ni kidogo.

Tuwatie Moyo wafanye makubwa zaidi. Tanzania yenye matabaka ya kiuchumi na kielimu sio salama kwa dini yoyote.
 
Nakubaliana na hoja yako. Na kwa kuwa tayari wanayo misikiti mingi, ndo waanza sasa kufanya maendeleo kwa kujenga shule. Halafu sio kweli kuwa kujenga shule ni gharama kubwa kuliko misikiti, Angalia ujenzi wa shule za Kata darasa moja liligharimu 7m tu wkt msikiti una gharama mpaka 500m
 
Mkuu uelewa wako unakutuma kuamini kuwa shule ni lile jengo lenye kuta nne tu, uko very wrong. Shule ni majengo + walimu + maabara + vitabu na maktaba + vyoo. 7M inatosha kujenga choo chenye tundu moja.

Makosa iliyofanya serikali yetu kujenga majengo na kutuambia ni shule ndio yanaididimiza elimu yetu. Na pia si kweli kwamba kila msikiti una gharimu zaidi ya milioni 500. Lazima uthamini mchango wa taasisi yoyote ya dini kuendeleza elimu hata kama ni mchango kidogo kwa vile kazi ya msingi (CORE ACTIVITY) ya taasisi ya kidini ni kueneza dini
 
Hiyo ndo hekima ya Kikiristo, Mungu ni second option !
Bahati nzuri sie tutajenga sana Misikiti ili tushukuru sana. Tutaishi muda ule ule tulikusudiwa na Mwenyezi Mungu.
Kati ya aliye na degree na anaamini "picha" inampa riziki na yule aliyesoma Madrassa anaye amini Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na hafanani na chochote !
ukristo ni imani na haina uhusiano sana na majengo ndo maana nyie magaidi hata mkichoma
makanisa yetu huwa tunaawachia .....ungejua kwamba Mungu ni roho usingeongea pumba ulizomezeshwa madrasa jaribu kupitia (Yohana 4:24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.) hayo ni maneno ya Yesu na kilichozaliwa kwa mwili ni mwili.

penye blue wakristo tuna amin tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
kituko ni kuwa Mungu wa waislamu hafanani na chochote hapo kama una akili utajua huyo ni mdudu au Mungu. manake ana miguu lakini hafanani na chochote ana macho lakini hafanani na chochote uwe na akili uislamu ni uchawi na uchawi ni uislamu kuna mtu alishawahi sema hivi sasa na amini. na wachawi siku zote hawataki maendeleo lazima wawe maskini kama nyie.
 
Shule 700 ! Na za kata atajenga nani ?
Unawapa fungu gani la kukusanya kodi ?
Ungejiuliza wewe kwanza elimu imekusaidiaje !? Kwa nini mpaka leo hujaweza kutofautisha kati ya picha na Mungu ?

Ally Kombo ni jina lako umeeleweka
 
Kwa hiyo Wazungu walikuja kuleta shule na Hospitali kwa gharama zao kwa mapenzi makubwa na nyie ! Wakati mnapata Uhuru wazungu waliwafundishi Madaktari wa ngapi na Mainjinia wangapi ?
Reli ya kati waliijenga pia kusaidia mpate usafiri kiurahisi eeeh !

Prof huyu Ally Kombo ni poyoyo wa fikra. Anaongea mambo ambayo hajayatafiti na hata vingine anasema jumla jumla. Anaonekana kuna ame-download kwenda kwenye fikra zake software yenye chuki dhidi ya dini ya Kikisto. Mfano amenituhumu mimi kuwa siwezi kutofautisha kati ya Picha na Mungu wakati,wala hajui dini yangu wala dhehebu langu. Hata hivyo, kama mimi naamini kuwa picha ni mungu na ni dini yangu,yeye inamhusu nini? Hiyo imani kwa ridhaa yangu mwenyewe? Uhuru wa kuabudi unamtaka kila mmoja aabudu kile anachoamini.

Kwa hiyo mpaka hapo unaweza kuona Ally Kombo ni mtu wa namna gani. Yeye haoni sababu kwenye kufikiri vyema ili aweze kurutibisha fikra za wengine
 
suala la mfumo kristo lazima lipingwe kwa nguvu zote, b'se halikubaliki hata kidogo! unajisifia maendeleo yaliyopatikana kwa dhuluma!
 
Duh! Saba ni asilimia ngapi kwa mia saba? Au labda mleta siredi amesahau kuongeza hizo sifuri kwenye misikiti?
.
 
Back
Top Bottom