ukristo ni imani na haina uhusiano sana na majengo ndo maana nyie magaidi hata mkichoma
makanisa yetu huwa tunaawachia .....ungejua kwamba Mungu ni roho usingeongea pumba ulizomezeshwa madrasa jaribu kupitia (Yohana 4:24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.) hayo ni maneno ya Yesu na kilichozaliwa kwa mwili ni mwili.
penye blue wakristo tuna amin tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
kituko ni kuwa Mungu wa waislamu hafanani na chochote hapo kama una akili utajua huyo ni mdudu au Mungu. manake ana miguu lakini hafanani na chochote ana macho lakini hafanani na chochote uwe na akili uislamu ni uchawi na uchawi ni uislamu kuna mtu alishawahi sema hivi sasa na amini. na wachawi siku zote hawataki maendeleo lazima wawe maskini kama nyie.
Brother si uzuri wala si hekima kuzungumza kitu ambacho hukijui uislam sio uchawi,uislam unapinga ushirikina, kitu cha mwanzo muislam anatakiwa alaani sheteni kabla ya kufanya chochote "audhu bilahi minal shetani rajim" baada ya kulaani shetani anatakiwa amtukuze mungu "bismilahi rahaman rahim" halfu ndio anatakiwa aendelee na anachofanya.
Katika uislamu hakuna miujiza,mwislamu hatakiwi kuamini katika
miujiza kwani mungu kawapa miujiza mitume yake tu akiwemo na Isa(Jesus),hamna miujiza mingine,katika chanel za dini hasa za kikiristo kila siku naona
manabi na watume wanawatoa waumini wao mapepo na mashetani na kuonyesha miujiza
Mambo kama ya babu wa
Loliondo hayawezi kutokea katika uislam,kwa jina la mungu na dini ya kikiristo mchungaji kawatapeli waumini wake pamoja na watanzania kwa ujumla
Binafsi naheshimu dini zote hata kama mtu anabudu mbuyu nampa heshima kawasababu ni maisha yake na yeye ndio anaamua vipi aishi na nani au nini akiabudu,lakini vile vile napinga sana watu waliokuwa na
mawazo mgando ya kuponda imani za watu wengine
Huyu
Yohana ndio John au ni watu wawili tafauti,baada ya kusoma commets yako nimeingia kwenye Google kumtafuta nani huyu Yohana,nilichokiona kimenishangaza kidogo,kumbe hawa akina Mathew,John,Luka;Mack wameandika maisha ya Isa(Jesus) (agano jipya)(Gospel),
miaka 70 baada ya kifo cha Isa(yesu).
Sasa miaka 70 baada kifo cha Yesu ndio ndio wametokea watu wameandika maisha yake huoni kama zinawezekana kupatikana
kasoro za ukweli wa maisha ya mtume Isa(Yesu)