Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

“Mimi ndimi njia kweli na uzima.Hakuna afikaye kwa baba bila kupitia kwangu”
Yohana 14:6a
​

Hakuna njia zilizopishana za kumtafuta Mungu. Njia ni moja, nayo ni Yesu. Ulichopaswa kumwambia Shalet ni kwamba si vyema kuwachokoza watu wengine ikiwa wenyewe wameamua kufuata njia za panya.

“Yeye asiye upande wangu yuko dhidi yangu, naye asiyekusanya pamoja nami hutawanya.”

Luka 11:23
​

Huwezi kusema Marehemu wa Mwembechai aliyekuwa anapiga ramli pale kwa kutumia kitabu chenu eti yeye na Yesu wote wanamtafuta Mungu mmoja, huo ni mzaha. Au unataka kusema kwamba Yesu angempigapiga mgongoni na kumwambia 'safi sana'?

Wacha mzaha wewe!
mkuu biblicana,
Nadhani hujanielewa, hakuna mahala niliposema wote watakwenda mbinguni hata kama njia zetu ni tofauti,kwa sababu huwezi kuwa mkristo bila kuamini Yesu ndie njia, kweli, na uzima na kwamba mtu haendi kwa baba pasipo kupitia kwake, nilichozungumzia ni kuheshimiana, kwa sababu Yesu mwenyewe anasema alikuja sio kwa ajili ya wasafi bali waovu ili apate kuwarejesha kwa baba..
Hakuna mahali popote ambapo Yesu amekashifu dini za watu wengine, hata mtume Paulo hakufanya hivyo ila aliagiza, akasema, akasema, 'ikiwa yupo miôngoni mwenu aliyepotea au kupungukiwa, yaani aliyeyumba kiimani mrejesheni kwa upole huku mkiangalia nyie wenyewe msianguke..
utamtukanaje mtu af umuhubiri? Huko ni kukosa hekima
 
Kiukweli hapo Islamic foundation wanapaswa kupongezwa na taasisi zingine ziige hayo,tuacheni kuangalia sana dini zetu bali kama mtu au taasisi yoyote inatoa mchango kwenye jamii tusisite kusema kwan dina zote zinahimiza upendo!
 
Nisikieni aibu kwamba Islamic Foundation ijenge shule halafu Waislam wenyewe wawe wanaenda darasa la kwanza, wakifika la 5 hawaonekani
Wanakuwa tayari wamejazwa mimba na maustaadhi wao kwenye madrasa. Tehe tehe tehe tehe!!!
 
Haina ubaya kujifunza ukakamavu, ni jambo zuri lakini ingepaswa iwe nje ya nyumba za ibada na ikiwezekana mbali na viongozi wa kidini.

Katika miongo hii ya sasa na maisha ya watanzania yalivyo ni vigumu kuchuja wangapi kweli wanajifunza for self defence.

Na ukweli ni kwamba kiwango cha ukabaji tanzania ni kidogo sana kwa watu kuwa na taharuki mpaka dini zianze kufundisha karate kwenye majengo ya ibada, kama na wakristo nao wataanza kuwafundisha vijana wao karate kwa kisingizio chochote tutazalisha Tension kwa watu bila sababu za msingi.

wengine tulikuwa tunataka hata green brigade, red brigade na upuuzi mwingine wa vikundi vya kijeshi kwenye vyama zipigwe marufuku, anayetaka ukakamavu atafutiwe mahali sahihi pa kujifunza.
nyumba yangu itakuwa ni nyumba ya ibada si pango la wanyang'anyi.Kumbe karate nayo ibada upande huu
 
Brother si uzuri wala si hekima kuzungumza kitu ambacho hukijui uislam sio uchawi,uislam unapinga ushirikina, kitu cha mwanzo muislam anatakiwa alaani sheteni kabla ya kufanya chochote "audhu bilahi minal shetani rajim" baada ya kulaani shetani anatakiwa amtukuze mungu "bismilahi rahaman rahim" halfu ndio anatakiwa aendelee na anachofanya.

Katika uislamu hakuna miujiza,mwislamu hatakiwi kuamini katika miujiza kwani mungu kawapa miujiza mitume yake tu akiwemo na Isa(Jesus),hamna miujiza mingine,katika chanel za dini hasa za kikiristo kila siku naona manabi na watume wanawatoa waumini wao mapepo na mashetani na kuonyesha miujiza

Mambo kama ya babu wa Loliondo hayawezi kutokea katika uislam,kwa jina la mungu na dini ya kikiristo mchungaji kawatapeli waumini wake pamoja na watanzania kwa ujumla

Binafsi naheshimu dini zote hata kama mtu anabudu mbuyu nampa heshima kawasababu ni maisha yake na yeye ndio anaamua vipi aishi na nani au nini akiabudu,lakini vile vile napinga sana watu waliokuwa na mawazo mgando ya kuponda imani za watu wengine

Huyu Yohana ndio John au ni watu wawili tafauti,baada ya kusoma commets yako nimeingia kwenye Google kumtafuta nani huyu Yohana,nilichokiona kimenishangaza kidogo,kumbe hawa akina Mathew,John,Luka;Mack wameandika maisha ya Isa(Jesus) (agano jipya)(Gospel),miaka 70 baada ya kifo cha Isa(yesu).

Sasa miaka 70 baada kifo cha Yesu ndio ndio wametokea watu wameandika maisha yake huoni kama zinawezekana kupatikana kasoro za ukweli wa maisha ya mtume Isa(Yesu)

Ni waislamu wangapi ambao wameponywa na hao wachungaji unaowakejeli baada ya kukaa na mapepo ambayo waislamu wanayaita majini na kuyalea kwa kuyapigia ngoma? Lakini kwa Wachungaji yanatolewa?
Unataka kuwaeleza watu kwamba hata walioandika habari za muhamad walikuwepo wakati yuko hai au hizo habari walizitoa wapi? Na je walikuwa wanajua kuandika kama muhamad mwenyewe alikuwa hajui kusoma wala kuandika?
 
KAUMZA,

..kujenga shule 7 na misikiti 700, kwa kweli hapo maji yamezidi unga.

..baadaye watu hao hao wanaanzisha kituo cha redio[redio imaan] na kulalamika kwamba wananyimwa elimu.

Hapo penye red mkuu pamenistua?!?!!?!?!?
 
Hata hizo shule saba ni kitu cha kupongezwa sana!!! Maana ni hatua saba mbele ktk hatua mia saba, visima vya maji navyo ni vya kupongezwa.....!
Wanastahili pongezi....kuhusu Radi imaan na TV imaan kwa kuwa sijawahi kuzitazama wala kusikia sina la kuchangia japo kwa maoni ya wengi kidoogo kuna mushkel!!!
Siku Waislamu wakigundua kuwa adui yao mkubwa ni shetani akisaidiwa na Umaskini, ujinga na Maradhi watapiga hatua 700 mbele!!!

ni shetani aliyeanza kumpinga kristu.kumbuka alivyombia alivyomwambia Kristu'kama we kweli mwana wa Mungu geuza mawe yawe mkate'.hadi leo muumini wa kweli adui yake ni shetani,na mfuasi wa shetani adui yake ni kristu.
 
Wewe kereng'ende kaa kimya hujui kitu, unajua ni mali kiasi gani zinazomilikiwa na waislamu tangu kuvunjwa kwa EAMWS sasa hivi zipo chini ya bakwata hazijaendelezwa au zinawanufaisha wao, unajua kuwa hicho kiwanja kilichomuweka Ponda gerezani ilitakiwa kiwe chuo kikuu cha kiislamu lakini mpaka sasa wamebaki na propaganda tu hao bakwata wako> Umeuliza swali zuri kuwa je bakwata ndiyo wanaofanya mtihani sasa ngoja nikujibu Angalia shule zinazomilikiwa na bakwata kama Kinondoni muslim then ufananishe na zinazomilikiwa na taasisi nyingine za kiislamu kama Mudio islamic seminary, Nyasaka na Ubungo islamic then upate conclusion ya swali lako.

Wahenga wanasema ukiona mwenzako anasifiwa na adui yako basi kaa chonjo! Kwanini wewe ambaye uislamu haukuhusu unataka kuipigia chapuo hiyo bakwata?

adui yako mkristo?
 
Wanakuwa tayari wamejazwa mimba na maustaadhi wao kwenye madrasa. Tehe tehe tehe tehe!!!
Utakuwa unazungumzia ile michezo mnayofanyiwa Sunday Schools na Mapadri wenu...
Kila siku tunasikai mapadri wenu wakishtakiwa kwa tuhuma za kupiga 0713.....

Vipi ulisalimika ?
 
Ni waislamu wangapi ambao wameponywa na hao wachungaji unaowakejeli baada ya kukaa na mapepo ambayo waislamu wanayaita majini na kuyalea kwa kuyapigia ngoma? Lakini kwa Wachungaji yanatolewa?
Unataka kuwaeleza watu kwamba hata walioandika habari za muhamad walikuwepo wakati yuko hai au hizo habari walizitoa wapi? Na je walikuwa wanajua kuandika kama muhamad mwenyewe alikuwa hajui kusoma wala kuandika?

Kitabu cha Kuran kinawafundisha wailamu kuwa Mungu kaumba Binadamu,malaika, na majini,na vyote vilivyokuwemo duniani lakini Mungu kawambia binadamu wasimuabudi shetani,shetani ni jini alieasi

kama wachungaji wanaweza kuyatoa hayo mapepo na waislamu wanakwenda huko basi hiyo dini yenu ndio ya mashetani kwani huwezi kuona mambo kama hayo yanafanyika misikitini,Uislamu hakuna ngoma,ngoma haramu,kudemkwa haramu sijui uislamu gani unaouzungumza wewe mkuu

Napenda nikuulize wewe Mkuu umeshawahi kuona Msikiti wowote ule watu wanaenda kutolewa majini(mapepo),kama sheikh anatoa majini au mapepo kama mnavyoyaita hiyo ni kazi yake binafsi hafanyi hivyo kwa ajili ya uislam na mungu atamuadhibu kwa kufanya hivyo kwani uislamu umekataza shirki(ushirikina)

Huyo aliekwenda kwa mchungaji kuponywa mapepo sio muislamu huyo au imani yake ndogo,.uilslam unasema kila anaemshirikisha mungu(Allah) adhabu yake ni moto siku ya kiama.Uliza waliosoma dini watakufahamisha na aya za kuran watakupa,....

Kuhusu Gospel(agano jipya) hawa akina Mathew,John,luka na wenzake wanapingana sehemu nyingi tu,huyu anamweleza kuwa Yesu alikuwa hivi yule anasema Yesu alkuwa vile

Dunia imekuwa ndogo kuwa mjinga ni kutaka,Ingia katika Google utaona ushahidi wa ninayoyasema,lkuran haiko hivyo kuran haibadiliki na walioandika wameandika kwa ushahidi wa watu wengi wamehakikisha kuwa kweli aya au kipande hicho kilizungumzwa na Muhammad
 
Brother si uzuri wala si hekima kuzungumza kitu ambacho hukijui uislam sio uchawi,uislam unapinga ushirikina, kitu cha mwanzo muislam anatakiwa alaani sheteni kabla ya kufanya chochote "audhu bilahi minal shetani rajim" baada ya kulaani shetani anatakiwa amtukuze mungu "bismilahi rahaman rahim" halfu ndio anatakiwa aendelee na anachofanya.

Katika uislamu hakuna miujiza,mwislamu hatakiwi kuamini katika miujiza kwani mungu kawapa miujiza mitume yake tu akiwemo na Isa(Jesus),hamna miujiza mingine,katika chanel za dini hasa za kikiristo kila siku naona manabi na watume wanawatoa waumini wao mapepo na mashetani na kuonyesha miujiza

Mambo kama ya babu wa Loliondo hayawezi kutokea katika uislam,kwa jina la mungu na dini ya kikiristo mchungaji kawatapeli waumini wake pamoja na watanzania kwa ujumla

Binafsi naheshimu dini zote hata kama mtu anabudu mbuyu nampa heshima kawasababu ni maisha yake na yeye ndio anaamua vipi aishi na nani au nini akiabudu,lakini vile vile napinga sana watu waliokuwa na mawazo mgando ya kuponda imani za watu wengine

Huyu Yohana ndio John au ni watu wawili tafauti,baada ya kusoma commets yako nimeingia kwenye Google kumtafuta nani huyu Yohana,nilichokiona kimenishangaza kidogo,kumbe hawa akina Mathew,John,Luka;Mack wameandika maisha ya Isa(Jesus) (agano jipya)(Gospel),miaka 70 baada ya kifo cha Isa(yesu).

Sasa miaka 70 baada kifo cha Yesu ndio ndio wametokea watu wameandika maisha yake huoni kama zinawezekana kupatikana kasoro za ukweli wa maisha ya mtume Isa(Yesu)

YESU Kristo siyo ustaadh Isa. Pepo wanatoka kwa jina la Yesu na siyo huyo wenu
 
mimi siwezi muabudu mtu (yesu), wala siwezi kuomba anisaidie kwa lolote lile kwani yeye hana sifa ya kuwa mungu! mimi namuamini yesu (issa) kama navyomuamini Mtume muhammadi (s.aw). cha ajabu mmemzushia kuwa amesulubiwa? mungu anasulubiwa? duh! kwahiyo mungu ameshindwa kujiokoa alaf wewe unaomba akuokoe duh hii kali ya mwaka. HAKI ELIMU -TAFAKALI!!!!!!!!!!!!!!!!

Yesu si ustaadh isa
 
Tutabana humu humu na Uislaam si Dini ya unyonge na ndio maana Waislaam wako 'frontline' wanapambana !
Wanamaliza majina mabaya kuwabandika Waislaam, propanda kila mahali, lakini Uislaam unazidi kukua.
Tumo wote humu humu maendeleo yako ni ya kubadilisha mboga tu na kunywa bia nyingi!
Haaahaaa! Tunawaangalia tuuu. kelele nyingi lkn hamna lolote. hivi kwa nini hampendi kujifanyia tathmini? Maghaidi nyinyi, boko haram, al qaeda, al shabab, ansaldin, vyote nyie tu. yaani islam haina values wala viwango. badilikeni, mtaishia pabaya
 
YESU Kristo siyo ustaadh Isa. Pepo wanatoka kwa jina la Yesu na siyo huyo wenu

Hehehehe nimekufahamu Brother, wanasema "ukishindana na mjinga na wewe utakuwa mjinga" Issa bin Maryam aka Yesu aka Krist aka Jusus alikuwa myahudi Mungu kamleta huyu bwana ili kuwanausuru wayahudi na mateso ya marumi.

Waislamu wanamuamini huyu jamaa kama mtume wao,na akitajwa lazima wamsalie,wako wakristo wanaomuamini huyu jamaa kama mtume,wengine wanamuamini huyu jamaa kama mungu,wengine kama mtoto wa mungu,kwangu mimi zote hizo ni imani tu,kila mtu ana imani yake,poa tu

Sasa mkuu kama unamuamini huyu bwana kama mungu mimi sikupingi ni imani yako,kila mtu anaona imani yake ni bora kuliko nyengine,kuna wanaoabudu panya,Kima,mibuyu,vinyamkera nk

Hoja hapa kuwa si uzuri kutukana dini za watu hasa ikiwa hujui chochote kuhusu hiyo dini.hoja sio nani anaabudu nini
 
Yesu ni mmoja tu! Na amwaminiye atatambua kuwa ndiyo jina pekee tulilopewa! Si ustaadh Moud au ustaadh Issa. Jesus is alpha and omega
 
Yesu ni mmoja tu! Na amwaminiye atatambua kuwa ndiyo jina pekee tulilopewa! Si ustaadh Moud au ustaadh Issa. Jesus is alpha and omega
Nakubaliana na wewe mkuu Yesu ni mmoja lakini wazungu wanamwita "Krist" au "Jesus" hawamwiti Yesu au Tanzania mna Yesu wenu jina lake halibadiliki
 
Kiusahihi ni Inshaallaah, na Karate usikhofu as long as malengo yake ni mtu kujiweka fit, self defence na kwa wengine kama ajira.

Na kama kujifunza karate kwa baadhi ya misikiti kunavunja kipengele chochote cha katiba na labda kunahatarisha Amani nitaelewa concern yako.

Lakini sina taarifa yoyote inayohusu practice ya bunduki na silaha nyingine misikitini ( Tz). Otherwise Muumin mkakamavu mwenye nguvu anapendeza zaidi kwa Allaah kuliko muumin dhaif na legelege, sipati picha mtu mwenye kitambi na unene uliopotiliza hata ibada zake ni za kiuvivu vivu.

Unafurahisha sana sheikh na unanichanganya vilevile. Inamaana Marehemu Sheikh Ahmed Yasin hakuwa mkakamavu ehh!!!? Huyu jamaa alikuwa mlemavu na alikuwa kiongozi imara sanaa wa Hamas na aliisumbua sana Israel, ''Otherwise Muumin mkakamavu mwenye nguvu anapendeza zaidi kwa Allaah kuliko muumin dhaif na legelege, sipati picha mtu mwenye kitambi na unene uliopotiliza hata ibada zake ni za kiuvivu vivu'' Huu upuuzi wako unakera.
Brain is most sophicated defence system, unaongelea habari za ngumi??!!!! Hivi mambo ya kupigana ngumi yapo siku hizi!!! Ni upuuzi shekh mzima unajiandaa kupigana ngumi mtaani?!!! This is worst than I thought.
 
Adui yangu ni yeyote anayeichukia dini yangu, so sio kila mkristo,mbudha,gujirati,banian,mpagani etc ni adui yangu maana nina marafiki zangu wengi sana tu wakushibana wasio waislamu.

usizunguke sema adui yangu ni mfumo kristo uliomuweka madarakani Jakaya Mrisho na Gharib Bilal na Bakwata,confused lot
 
Back
Top Bottom