Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

TV Imaan na Radio Imaan vimefungiwa. lengo hasa ni kuwaziba midoma waislam na raia kwa ujumla.

Wewe mbona unasema! kakupa nani ruhusa?Usilazimishe upuuzi wako kuwa tunaonewa kwa misingi ya imani,wenzetu viongozi wao wameuliwa wapo kimya,sisi mgogoro wetu wa ndani tumechoma makanisa.Jiongeze watz kama wewe si tumaini la chochote.
 
Hehehehe nimekufahamu Brother, wanasema "ukishindana na mjinga na wewe utakuwa mjinga" Issa bin Maryam aka Yesu aka Krist aka Jusus alikuwa myahudi Mungu kamleta huyu bwana ili kuwanausuru wayahudi na mateso ya marumi.

Waislamu wanamuamini huyu jamaa kama mtume wao,na akitajwa lazima wamsalie,wako wakristo wanaomuamini huyu jamaa kama mtume,wengine wanamuamini huyu jamaa kama mungu,wengine kama mtoto wa mungu,kwangu mimi zote hizo ni imani tu,kila mtu ana imani yake,poa tu

Sasa mkuu kama unamuamini huyu bwana kama mungu mimi sikupingi ni imani yako,kila mtu anaona imani yake ni bora kuliko nyengine,kuna wanaoabudu panya,Kima,mibuyu,vinyamkera nk

Hoja hapa kuwa si uzuri kutukana dini za watu hasa ikiwa hujui chochote kuhusu hiyo dini.hoja sio nani anaabudu nini

Katika watu wajinga wewe unaongoza. Kwa akili yako unadhani Yesu aliletwa kuwanusuru Wayahudi dhidi ya Warumi, bila shaka ndio ulisimuliwa hivyo madrassa.

Yesu hakuwahi kuwa na encounter yeyote ya kimwili na Warumi. Na nikukumbushe kuwa Yesu sio Issa. Issa mnamjua wenyewe na bila shaka ni marehemu. Yesu yu hai. Kwa jina la Yesu mapepo yanatoka na wagonjwa wanapona. Hata Marehemu Mohamad alipopewa sumu (kwa uroho wa kula) angewekewa mkono na Bwana, hakika angepona. Shida ni kwamba hakukuwepo karibu mtu wa kumuombea
 
mkuu biblicana,
Nadhani hujanielewa, hakuna mahala niliposema wote watakwenda mbinguni hata kama njia zetu ni tofauti,kwa sababu huwezi kuwa mkristo bila kuamini Yesu ndie njia, kweli, na uzima na kwamba mtu haendi kwa baba pasipo kupitia kwake, nilichozungumzia ni kuheshimiana, kwa sababu Yesu mwenyewe anasema alikuja sio kwa ajili ya wasafi bali waovu ili apate kuwarejesha kwa baba..
Hakuna mahali popote ambapo Yesu amekashifu dini za watu wengine, hata mtume Paulo hakufanya hivyo ila aliagiza, akasema, akasema, 'ikiwa yupo miôngoni mwenu aliyepotea au kupungukiwa, yaani aliyeyumba kiimani mrejesheni kwa upole huku mkiangalia nyie wenyewe msianguke..
utamtukanaje mtu af umuhubiri? Huko ni kukosa hekima

Naona unajitahidi kupaka rangi jengo bovu. Mimi si mwehu nikuwekee maneno mdomoni kama si tu unatapatapa. MIMI NILIKOSOA KAULI YAKO KWAMBA KUNA NJIA NYINGI ZA KUMTAFUTA MUNGU WA KWELI
alitaka kuonyesha binadamu wote ni sawa hata kama njia za kumtafuta Mungu wa kweli zinapishana.

Yesu anasema angalieni nyinyi mnaodhani mmesimama msije mkaanguka. Kifupi, ukristo ni heshima, usikivu, unyenyekevu, utu wema, upole na matunda mengine ya roho. Kuwaambia wengine dini yenu ni ya kichawi ni kuwachokoza na kutotaka maelewano nao, na kwa kweli ni ukorofi.
Siyo maneno yako hayo?
Huna haja ya kurudia rudia juu ya uchokozi na ukorofi, mimi hayo hayanihusu na nafikiri nilionesha hilo hapa
Hakuna njia zilizopishana za kumtafuta Mungu. Njia ni moja, nayo ni Yesu. Ulichopaswa kumwambia Shalet ni kwamba si vyema kuwachokoza watu wengine ikiwa wenyewe wameamua kufuata njia za panya.

Mimi sikusema mtu yeyote atukanwe, nilichokataa ni kumuhusisha Yesu na hizo dini zako kiasi ukasema aliwasaidia watu kupatana nazo. Hapo ulikosea, Yesu aliwamea wachawi pia.
 
mimi siwezi muabudu mtu (yesu), wala siwezi kuomba anisaidie kwa lolote lile kwani yeye hana sifa ya kuwa mungu! mimi namuamini yesu (issa) kama navyomuamini Mtume muhammadi (s.aw). cha ajabu mmemzushia kuwa amesulubiwa? mungu anasulubiwa? duh! kwahiyo mungu ameshindwa kujiokoa alaf wewe unaomba akuokoe duh hii kali ya mwaka. HAKI ELIMU -TAFAKALI!!!!!!!!!!!!!!!!

Namna yako ya lugha na mambo unayoongea tu yanaonesha kiasi gani u mjinga.

1. Huwezi kumuabudu mtu, lkn unaweza kuabudu mapepo yale yanayopungwa Mwembechai kwa Sheikh

2. Unashangaa mungu kusulubiwa, ila hushangai kwamba ukuta unaitwa Shetani na kupigwa mawe. At the same time, Shetani anaishi katika mji mtakatifu wa mungu wako. Which means, hawa ni marafiki au majirani

3. Ameshindwa kujiokoa: Hapa ndio kwenye hoja.
Sidhani kama alitaka kujiokoa, pale alikuwa anatuokoa. Hili ni fumbo la imani, linahitaji ujue kwanza ni nini nia na madhumuni ya kuumbwa kwako.

Naamini muda wangu hautapotea bure kukueleza haya, kwa hiyo kama una akili na uelewe na kama unaongozwa na roho chafu mnazoziabudu fanya maandalio ya moyo wako umtafute Yesu. (By the way, Yesu sio Issa)

Kusulubiwa kwa Yesu msalabani si jambo jipya kwa maisha ya kiroho linapokuja suala la mahusiano kati ya mwanadamu na Mungu. Tangu kale, zilifanyika kafara za madhabahu ili kufanya upatanisho na ondoleo la dhambi. Yaani, pale wanadamu wanapomkosea Mungu, walitoa sadaka ya mnyama, akachinjwa madhabahuni na kuteketezwa kwa moto. Sina hakika kama unalijua hili, kama hulijui itakuwa ngumu kunielewa...

Katika kuchagua sadaka ya kumtolea Mungu, hutafutwa mnyama aliyenona, mwenye thamani kubwa na sio hafifu. Sasa kwa kuwa kusudi la Mungu kutuumba ilikuwa ni kumuabudu, nasi tumefuata njia zetu, basi ulihitajika upatanisho. Kwa hiyo suala la Yesu kufa msalabani, ni namna Mungu alitaka kutuonesha mapenzi na huruma yake kwetu kwa namna ile ya sadaka ya utakaso.

Damu ya Yesu ni ya thamani kuliko ya ng'ombe na kondoo, na huo ndio upendo Mungu alituonesha. Sasa utajiuliza kwa nini Yesu na si kondoo. Hili ndio fumbo lenyewe la imani. Ibrahim naye alijaribiwa na Mungu kumtoa mwanawe sadaka (Isaka), hii ina maana Mungu alilenga sadaka ya thamani zaidi.

Yesu hazushiwi kuwa alisulubiwa. Yeye mwenyewe aliyajua haya na aliyasema tangu awali. Yesu ni mwanakondoo wa Mungu aliyeletwa kuiondoa dhambi ya dunia, ambayo kwa Torati ilibainika na kwa imani yetu Kwake tunapata rehema.

Yesu yu hai, si marehemu. Unaposema amekosa sifa za kuwa Mungu ni ukosefu tu wa elimu na maarifa. Yesu alisamehe dhambi, aliponya wagonjwa, na juu ya yote alirudisha uhai mwilini. Ulishawahi kusikia kuna mtu kamfufua mwenzake?
 
wagalatia uislaam unawakosesha usingizi kabisa !

kapimwe nyie na cd zenu na mikutano ya mashekhe wenu mpaka wanafungwa... Nani ambaye anakoseshwa usingizi... Mpaka mnajilipua kisa ukristo

HALAFU MNAJISIFU KIJINGA HIVI, MISKITI 700 SHULE 7:: MTAENDELEA LINI KWENYE DUNIA HII INAYOTAKA ELIMU SI MISKITI
 
mimi siwezi muabudu mtu (yesu), wala siwezi kuomba anisaidie kwa lolote lile kwani yeye hana sifa ya kuwa mungu! mimi namuamini yesu (issa) kama navyomuamini Mtume muhammadi (s.aw). cha ajabu mmemzushia kuwa amesulubiwa? mungu anasulubiwa? duh! kwahiyo mungu ameshindwa kujiokoa alaf wewe unaomba akuokoe duh hii kali ya mwaka. HAKI ELIMU -TAFAKALI!!!!!!!!!!!!!!!!
mr ni bora umu abudu Yesu mara million moja kuliko huyo mungu wako ambaye hana historia yoyote.
rekodi ya yesu, alikuwepo milele iliyopita soma yohana 1.1, aliponya watu, alitenda miujiza ambayo haijawahi fanywa na yeyote alidai yeye ni mkuu kuliko manabii. bado alidai ata uhukumu ulimwengu, alisamehe zambi. bado tu kaka una haha na allah think tiwce.
1. je unaweza kuniambia chochote Mungu wako alichowahi fanya kwa ushahidi sitaki longo longo.
mnapigana jihad ye yupo ana waangalia bado mnasema allah akbar mnajitoa muhanga anawaangalia.
iraq mmepigwa ye yupo, afghanstan. palestina usiseme bado kila siku mnamsifu ana nguvu tanzania ndio mnalalma kila siku mfumo kristo ye yupo naomba uniambie anajishughulisha na nini mungu wenu , nini dalili za uwepo wake anaishi wapi unampata vipi nasikia anajua lugha ile ya kiarabu. kuna vituko vinavyoonyesha udhaifu wa mwanadamu hasa masuala ya kuamini munguasiye exist.

angalieni vituko vyenu hivi.
1. mnachoma makanisa mna acha madanguro na vibanda vya waganga wa kienyeji.
2. mna ua mapadre mna acha mashoga na wasagaji.
3. manavunja bucha za nguruwe mna acha virabu vya pombe.
4. mnajito muhanga ili kuingia peponi mna acha kuboresha maisha yaliyopo mnakimbilia msikojua.
5. mnafuga majini mnaacha kufuga ng'ombe.

kwa leo inatosha.
karibu kwa Yesu kaka.
 
Naona unajitahidi kupaka rangi jengo bovu. Mimi si mwehu nikuwekee maneno mdomoni kama si tu unatapatapa. MIMI NILIKOSOA KAULI YAKO KWAMBA KUNA NJIA NYINGI ZA KUMTAFUTA MUNGU WA KWELI

Siyo maneno yako hayo?
Huna haja ya kurudia rudia juu ya uchokozi na ukorofi, mimi hayo hayanihusu na nafikiri nilionesha hilo hapa


Mimi sikusema mtu yeyote atukanwe, nilichokataa ni kumuhusisha Yesu na hizo dini zako kiasi ukasema aliwasaidia watu kupatana nazo. Hapo ulikosea, Yesu aliwamea wachawi pia.

nimekuelewa mkuu,
nadhani nilipaswa ku clarify zaidi maneno yangu
 
Taifa maskini na fikra dhaifu za kijnga...poleni kwa bongo dhaifu
 
Siku hii dini yenye kukereka na imani za wengine itakapoelimika kutakua na nafuu kubwa,
hivi kama wewe unamsikiti wako na unafanya ibada zako makanisa yanakukera nini kama sio matatizo ya kutoelimika,
napenda sana kauli ya baba wa taifa"hakuna umasikini mbaya duniani kama umasikini wa fikra".Wakati umefika sasa tubadilike na na watu waheshimiane kwa imani zao ili kudumisha utaifa we2.
 
Kufikiria kukubwa ni kujua tofauti ya Mungu wa Kweli na mungu picha !
We huoni ajabu mungu kuuzwa stationary shop !?.......hutii akili !

Wewe uko kwenye mrengo wa walipotea kwenye tafakuri ya mantiki ya mambo. Kwa hiyo naishia hapo,maana kujaza maji kwenye gunia nayo yaweza kuwa kazi lakini mwisho wa siku nani ataweza kupima kuwa umechota maji kiasi gani kujaza kwenye gunia hilo?
 
. ....Kwa jina la Yesu mapepo yanatoka na wagonjwa wanapona. Hata Marehemu Mohamad alipopewa sumu (kwa uroho wa kula) angewekewa mkono na Bwana, hakika angepona. Shida ni kwamba hakukuwepo karibu mtu wa kumuombea.

Unazungumzia yale mapepeo yenu mnayopandisha kanisani huku mkiongea Lugha za ajabu ajabu ?
Utasiikia bwellleed gjhkjkjc ..... halafu majini yenu yanaongea kataliano huku yakiwarusha rusha kama ndama....
Halafu utasikia mchungaji wenu anataka sadaka kupitia Tigo pesa.... Yani majini sadaka za mkono kwa mkono hayataki...

Mijitu mizima mnaibiwa mchana kwuepe ...wala hamshtuki mmekuwa kama mazombi...

Jitu zima linapukutishwa hadi nauli halafu linarudi home kwa mguu...huku wenzenu wakijenga mahekalu...
Halafu mnajiita mmesoma...

Nikisikia siku mmeamua kujichoma moto kama Mjomba wenu Kibwetere sitashangaa
 
By PROF PHILOSOPHY ndo mnaamka! nakukumbusha. wageni wa kwanza kuja tanzania walikuwa waarabu. walifika na kuanza kuishi pwani ya afrika masharki kwa wingi karnne ya nane (700s AD) tangu walipofika walijenga misikiti na kufanya biiashara ikiwemo biashara ya watumwa. zilikuewepo madrasa chache ambazo zilifundisha watu wachahe sana kusoma kurani. hawakujenga shule wala hospitali hata moja. wazungu wa kikristo walikuja karne ya 13 (1400). yaani miaka 700 baadae. walipofika, hapawalijenga kanisa pembeni hospitali na pembeni nyingine shule. naam. wlifundisha kusoma na elimu dunia pia. niambie

(1) mpaka wazungu wanaingia waarabu walikuwa wameshajenga shule ngapi. zitaje.
(2) mpaka tunapata uhuru walikuwa wamejenga shule ngapi.
(3) hospitali ngapi.
(4) vyuo vikuu vingapi.
(5) vyuo vya ufundi vingapi.
wangapi mnajua ustadhi ilunga alisoma shule ya mission tabora.


Kwa hiyo Wazungu walikuja kuleta shule na Hospitali kwa gharama zao kwa mapenzi makubwa na nyie ! Wakati mnapata Uhuru wazungu waliwafundishi Madaktari wa ngapi na Mainjinia wangapi ?
Reli ya kati waliijenga pia kusaidia mpate usafiri kiurahisi eeeh !

katika maswali yangu matano hujajibu hata moja. hii ikimaanisha ukweli umeuona. hata hivyo umeuliza maswali.
je wazungu walijenga hospitali na shule kwa sababu walikuwa na mapenzi mema na sie. jibu ni kwamba nikiwatazama kwa jicho la functionalism kwa sehemu waalikuwa na mapenzi mema na sisi kwa sababu hawakujenga makanisa pekee. walijenga shule ma mahospitali. viongozi karibu wote wa mwanzo na walio wengi waliopo sasa wakristo kwa waislam walisoma shule za kikristo. hospitaali kubwa za serikali zilizopo sasa zilikuwa za mission. Mfano muhimbili, kcmc, bugando haosptali ya rufaa mbeya. shule kubwa zile za zamani asilimia zaiddi ya 90 ni za mission.

nikiwatazama kwa jicho la kimax, wazungu kwa waarabu walitunyonya na kuuharibu utu wetu. waarabu na wazungu wanapaswa kutulipa kwa uovu walotutendea.

wakati tunapata uhuru walikuepo mainjinia wawili na madaktari (wenye digrii) kumi na wawili tu (Nyerere). waliokuwa na diploma walikuwa wengi tu. waliokuwa na cheti waliku wengi sana. haya sasa niambie waarabu walisomesha wangapi.

Reli ya kati walijenga kwa kusafirisha bidhaa kupeleka ulaya. lakini sisi pia tilisafiria japo kwa ubaguzi badala ya kutembea kwa mguu toka tabora au kutoka katanga kongo hadi dar es salaam. nakukumbusha waarabu waliwatembeza kwa mguu babu zetu toka congo au hata toka tabora wakibeba mizigo mizito hadi bagamoyo. wakiwafungwa kwa minyororo. hebu fika Bagamoyo kajionee mwenyewe kumbukummbu zile.
mwisho napenda kusema waarabu na wazungu wote walikuwa wanyonyaji. lakini madhara yaliyoachwa na waarabu ni mabaya kuliko wazungu. wazungu wakristo japo walitunyonya, walijenga reli za kubebea mizigo badala ya kuwabebesha watumwa, walijenga shule ambazo ziliwafaidia hata waislam. japo waliwabagua waafrika. waarabu walichofanya ni kujenga misikiti na na kuuzwa watumwa au kutafuta pesa kwa ujumla. walimtumikisha ng'ombe bila kumpatia chakula na matibabu.
 
Kwa shughuli kama hizi, kwa kweli manufaa ya kuwepo kwenu yataonekana. Zidisheni kazi hizi mara mia hata ikiwezekana. Lakini zile kazi zingine zinazonyima watu usingizi chonde chonde ziacheni. Saidieni kuelimisha na wale wenzenu wanaozifanya waache pia. Kila mtu ana haki ya kuishi na haki ya kuchagua aamini nini.
 
kumbe uzi wa longi ila si mbaya nikiewashukuru kwa kitoweo cha sikukuu juzi.
 
Back
Top Bottom