Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

Misiki 700, shule saba, Kila msikiti mmoja ulipaswa kuwa na shule moja, yaani shule ziwe 700 pia. Lakini pengine wafadhali ndio walitaka hivyo. Washaurini hao wafadhili wenu wajenge shule watoto waende shule kwa wingi. Hii itawafanyaMashekhe wapiga porojo kukosa la kusema
 
Wewe kereng'ende kaa kimya hujui kitu, unajua ni mali kiasi gani zinazomilikiwa na waislamu tangu kuvunjwa kwa EAMWS sasa hivi zipo chini ya bakwata hazijaendelezwa au zinawanufaisha wao, unajua kuwa hicho kiwanja kilichomuweka Ponda gerezani ilitakiwa kiwe chuo kikuu cha kiislamu lakini mpaka sasa wamebaki na propaganda tu hao bakwata wako> Umeuliza swali zuri kuwa je bakwata ndiyo wanaofanya mtihani sasa ngoja nikujibu Angalia shule zinazomilikiwa na bakwata kama Kinondoni muslim then ufananishe na zinazomilikiwa na taasisi nyingine za kiislamu kama Mudio islamic seminary, Nyasaka na Ubungo islamic then upate conclusion ya swali lako.

Wahenga wanasema ukiona mwenzako anasifiwa na adui yako basi kaa chonjo! Kwanini wewe ambaye uislamu haukuhusu unataka kuipigia chapuo hiyo bakwata?
Labda mi ndo sielewi pengine unaweza kunisaidia, hivi hawa Bakwata wanazuiaje waislam kujenga shule? Kama hao mudio, ubungo, nyasaka na islamic foundation wakaamua kujiendesha nje ya Bakwata wanaathirikaje? Hapa kuna shule 7 na misikiti 700 maana yake uwezo wa kifedha upo kwanini kupambana na Bakwata kila siku kama kwamba ni lazima muislam apitie kwao kufanya maendeleo kwa faida ya uislam?

kwa nnavyofahamu Bakwata ni sawa na TEC kwa wakristo, mbona sijawahi kusikia wakristo wakipambana kuidai TEC iboreshe mambo yao? Tofauti ya dini hizi ni nini?

Nyerere amekuwa akitukanwa sana na akina ponda (sio waislam wote) na kudai nyerere aliuhujumu uislam na kuunda Bakwata kwa malengo yake, na ni Nyerere huyu huyu aliyetoa viwanja kwa bakwata ili ijiendeshe ni kwanini waumini hawa hawaitambui bakwata lakini wanatambua mali zilizo chini yake?
Anyway, nauliza kwa kuwa najiuliza..
 
Misiki 700, shule saba, Kila msikiti mmoja ulipaswa kuwa na shule moja, yaani shule ziwe 700 pia. Lakini pengine wafadhali ndio walitaka hivyo. Washaurini hao wafadhili wenu wajenge shule watoto waende shule kwa wingi. Hii itawafanyaMashekhe wapiga porojo kukosa la kusema

Mkuu Usiku Mwema.
 
Hongereni sana, mnaruhusiwa kwenda kujifunza kwa wakristo wa Kilimanjaro na Arusha, wana shule nyingi sana, nendeni hata tu jimbo katoliki la moshi mtajifunza sana, au KKT pale muone.

Hili ni wazo tu zuri, hata madiwani walikuwa wanaenda Rwanda kujifunza usafi.
 
Shule 700 ! Na za kata atajenga nani ?
Unawapa fungu gani la kukusanya kodi ?
Ungejiuliza wewe kwanza elimu imekusaidiaje !? Kwa nini mpaka leo hujaweza kutofautisha kati ya picha na Mungu ?
 
Hongereni sana, mnaruhusiwa kwenda kujifunza kwa wakristo wa Kilimanjaro na Arusha, wana shule nyingi sana, nendeni hata tu jimbo katoliki la moshi mtajifunza sana, au KKT pale muone.

Hili ni wazo tu zuri, hata madiwani walikuwa wanaenda Rwanda kujifunza usafi.

Tunasubiri tupewe MoU na sie tuanze marathon za ujenzi wa shule !
 
Labda mi ndo sielewi pengine unaweza kunisaidia, hivi hawa Bakwata wanazuiaje waislam kujenga shule? Kama hao mudio, ubungo, nyasaka na islamic foundation wakaamua kujiendesha nje ya Bakwata wanaathirikaje? Hapa kuna shule 7 na misikiti 700 maana yake uwezo wa kifedha upo kwanini kupambana na Bakwata kila siku kama kwamba ni lazima muislam apitie kwao kufanya maendeleo kwa faida ya uislam?

kwa nnavyofahamu Bakwata ni sawa na TEC kwa wakristo, mbona sijawahi kusikia wakristo wakipambana kuidai TEC iboreshe mambo yao? Tofauti ya dini hizi ni nini?

Nyerere amekuwa akitukanwa sana na akina ponda (sio waislam wote) na kudai nyerere aliuhujumu uislam na kuunda Bakwata kwa malengo yake, na ni Nyerere huyu huyu aliyetoa viwanja kwa bakwata ili ijiendeshe ni kwanini waumini hawa hawaitambui bakwata lakini wanatambua mali zilizo chini yake?
Anyway, nauliza kwa kuwa najiuliza..

Kwani Serikali iliacha jukumu lake la kujenga shule ? Au Kanisa ndo limekasimiwa kazi ya kujenga shule kupitia MoU ?
 
Mie ningeona watu wa maana mno kama wangekuwa wanamiliki SHULE 700 na kujenga MISIKITI 7 mpaka sasa. Vinginevo pana kitu mbeleni tusichokijua hapa.

Hiyo ndo hekima ya Kikiristo, Mungu ni second option !
Bahati nzuri sie tutajenga sana Misikiti ili tushukuru sana. Tutaishi muda ule ule tulikusudiwa na Mwenyezi Mungu.
Kati ya aliye na degree na anaamini "picha" inampa riziki na yule aliyesoma Madrassa anaye amini Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na hafanani na chochote !
 
Kweli Dini ni ulevi wa nafsi na akili....hivi mnataka kudanganya umma kuwa kwenye kila kanisa kuna shule?...tusiwe watu wa kuponda tu juhudi hata kidogo zinazofanywa na watu wa imani fulani, kisa imani yako imekulevywa na kukupofusha hadi akili, tutoe credit hata kile kwa kidogo wanachofanya na sio kuponda tuuuu bila kuwa na sababu za msingi
 
haya ndio mnatakiwa kuyafanya siku zote si kukimbilia kuua wenzenu na kupiga kelele za mfumo kristo kila siku

dunia ya leo bila elimu dunia na huduma nzuri kwa jamii hamtaenda popote

endeleeni kuwaomba kama wanasaidia wasaidia huduma za afya, elimu, maji ndio tanzania itaendelea ..... na pia kutumia kura zenu kwa umakini kuchagua watu makini watakaoendesha serikali itakayopiga maendeleo mbele kwa kusaidiana na haya mashirika ya kidini
kwani Tanzania tulijiunga na OIC lini?
 
Michango inayotolewa hapa kwa wingi ndio hali halisi ya jamiiforums, wale wanaosema mtandao huu hauna UDINI (Haundeshwi kwa Mfumo Kristo) kwa kupitia nyuzi kama hizi ndipo pa kujifunza!

Kutwa kucha Wakiristo watupia post za kashfa na kejeli dhidi ya Uislaam na Waislaam na utagundua kupiotia humu Wakiristo wanajiona wao ni First Class Citizen. Matusi na keli zinatembea lakini Mod wanawalinda na kufurahia. Ukitetea basi ni vitisho kutoka kwa hao ma Mod wakati wanaendekeza watu wao.
Tunajua JF inaendeshwa Kikiristo na sie hatutavumilia kuona udhalilishaji huu !
 
HONGERA NAWE KWA MAELEZO chakula cha ROHO ni muhimu kuliko hata hiki cha MWILI,kwa lugha nyingine miskiti kuongezeka ni sahihi kabisa ila isitumike kwa mafunzo ya KARATEE maana chakula cha roho haki-hitaji ujuzi wa mateke wala u-kakamavu wa kushika/kutumia bunduki.

ISHALAAAAAA IWE KWA KHERI.

Hayo mafunzo ya Karate mwalimu ni wewe ? Na nyie muache kusema "ile picha" ati ni ya mungu !
 
mkuu hawa si walikuwa wanajaribu kuifanya tz nchi ya kiislamu? Sera yao ya kwanza ilikuwa hiyo. Si unaionaga kwenye barabara kuu hasa ya kwenda zambia kuanzia pwani? Hili jaribio iringa na mbeya walilishindwa kabisa pamoja na kuwanunua baadhi ya watu. Siku hii imebakiwa na kuota nyasi tupu watu wanazidi kwenda kanisani. Imagine zingekuwa shule za chekechea watoto wangapi wangenufaika?

nakubaliana na wewe kiongozi, ipo ajenda ndani kwa ndani ya kuhakikisha wanaitawala nchi. bahati mbaya njia wanazotumia ndio mbaya.
 
Kutwa kucha Wakiristo watupia post za kashfa na kejeli dhidi ya Uislaam na Waislaam na utagundua kupiotia humu Wakiristo wanajiona wao ni First Class Citizen. Matusi na keli zinatembea lakini Mod wanawalinda na kufurahia. Ukitetea basi ni vitisho kutoka kwa hao ma Mod wakati wanaendekeza watu wao.
Tunajua JF inaendeshwa Kikiristo na sie hatutavumilia kuona udhalilishaji huu !

mkuki kwa nguruwe. kwa binadamu mchungu. hizo damu mlizomwaga vipi.
 
Kweli Dini ni ulevi wa nafsi na akili....hivi mnataka kudanganya umma kuwa kwenye kila kanisa kuna shule?...tusiwe watu wa kuponda tu juhudi hata kidogo zinazofanywa na watu wa imani fulani, kisa imani yako imekulevywa na kukupofusha hadi akili, tutoe credit hata kile kwa kidogo wanachofanya na sio kuponda tuuuu bila kuwa na sababu za msingi

sio kila kanisa. lakini shule za kikristo baba ni za kumwaga. haya tuambie mmejenga vyuo vikuu vigapi. maana cha morogoro mmepewa tu. ni chuo kilichojengwa kwa kodi za wananchi wote. likini mkapewa tu. mmejenga vingapi. vitaje kwa majina
 
Back
Top Bottom