Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV, lakini TBC na Vyombo vingine vinadhulumu historia ya Taifa hili

Sisi tuliokuwepo nchini Tangu Marehemu mzee Mengi anaweka ITV nchini tunaweza kusema kuwa tukio hili limenikumbusha ujasiri wa mzee Mengi na kazi njema kabisa aliyoifanya kuhakikisha anahabarisha, anaelimisha na anaburudisha Taifa hili.
Wakati unampongeza Marehemu Mengi kwa ujasiri wake, usisahau ile siku pale Diamond Jubilee, 2015 CCM wakisherehekea ushindi wao. Mzee wa watu kidogo apokee kipigo.
Hiyo ndiyo CCM ya tokea nyakati hizo.

Na sasa ukiongezea ukandamizaji uliowekwa na huyu asiyetaka ushindani; ni haki kabisa kutoa pongezi kwa chombo hicho kwa uvumilivu waliouonyesha tokea wakati huo hadi sasa.
 
Back
Top Bottom