Hongera RussianRoulettte!

Hongera RussianRoulettte!

Status
Not open for further replies.
Kumbe hii ni kwa ajili ya kulinda maslahi yetu eh?
La mwenye thread ana hasira,kha!
Mupenzi naona nasi wachakachuaji wametutambua rasmi kwa kumteua mmoja wetu kuwa MOD.Hongera sana rafiki am very happy for you RR.
 
Naona Invisible ameona akupe shavu la umoderator! Hii ni baada ya mimi kumsisitiza sana.
Kumbe ni Juhudi za Bundajo? Aisee asante sana. Ila nashangaa tu kitu kimoja, mbona umeingia juzi tu na mimi nilikua mod by then? Au ndio yale mambo ya FPNI (Refer to AshaDii, kama sijakosea hizo initials)

hongera yake,namtakia kazi njema ya ukiranja,ila nikichelewa namba usisahau kunipa. Nalog off
Kiranja ndio nini mkuu? Asante kwa kunipongeza.

Hongera russian.
Thanks Husny...

Mupenzi naona nasi wachakachuaji wametutambua rasmi kwa kumteua mmoja wetu kuwa MOD.Hongera sana rafiki am very happy for you RR.
Thanks Uporoto... Itabidi niwe 'moderate' kidogo kwenye kuchakachua but sio saaaaaana... 🙂

Asanteni sana my friends!
 
Hahaaa..gotta make sure you get that pronounciation right!

NB: And thanks for your concern my friend! I appreciate it more than you can imagine.
You are welcome, I meant every word I said... 😛oa
 
Kumbe ni Juhudi za Bundajo? Aisee asante sana. Ila nashangaa tu kitu kimoja, mbona umeingia juzi tu na mimi nilikua mod by then? Au ndio yale mambo ya FPNI (Refer to AshaDii, kama sijakosea hizo initials)

Kiranja ndio nini mkuu? Asante kwa kunipongeza.

Thanks Husny...

Thanks Uporoto... Itabidi niwe 'moderate' kidogo kwenye kuchakachua but sio saaaaaana... 🙂

Asanteni sana my friends!

hongera Bandugu. Unastahili...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom