Ni kweli kabisa RITA wanastahili pongezi sana. Natamani taasisi zingine zijifunze RITA.Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.
Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.
Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,
Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.
Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower
Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/
Hongereni sana.
Cheti cha kuzaliwa mtu mzima anaombaje kwenye mfumo mkuu.Kupata cheti kipya cha kuzaliwa cha mtu mzima ni 20k, mtoto mdogo ni 8k, kupata verification ya cheti cha kuzaliwa ni 6k.
Unakaa nyumbani unamaliza kila kitu bila mashaka.
Ndoa ni mkataba wa kisheria. Cheti cha kanisa hakina neno sheria ya ndoa kwenye cheti ndio maana hawakitambuiNashindwaga kuelewa,kwanini basi rita wasifungushe ndoa wao ama vyeti viwe vya rita tu mana cheti cha kanisa nhif hawakitambui.
Hili jambo lina uwalakini ama ni njia ya rita kujitengenezea fedha
Kuna vitu vya kuboresha 1. Waweke option ya kusave mtu akiwa anajaza taarifa zake akichoka hifadhi (save) kesho yake anaendelea.Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.
Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.
Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,
Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.
Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower
Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/
Hongereni sana.
CCM kitu wanachoweza kufanya kwa ufanisi 100% ni kuiba kura za urais.View attachment 3366954
Hongereni Sana Wakuu!!!
kwanini sasa iwe gharama kiasi hicho,Ndoa ni mkataba wa kisheria. Cheti cha kanisa hakina neno sheria ya ndoa kwenye cheti ndio maana hawakitambui
Vielelezo kwa mtu mzima ni nini na nini kuambatanishaKupata cheti kipya cha kuzaliwa cha mtu mzima ni 20k, mtoto mdogo ni 8k, kupata verification ya cheti cha kuzaliwa ni 6k.
Unakaa nyumbani unamaliza kila kitu bila mashaka.
Same case kaka, umefanikiwa kuwapatahovyo hawapokei simu nimetuma cheti chamdogo wangu kuhakiki kwa ajili ya loan board wameandika rejected wakati kila kitu kipo sawa na cheti ni cha 2023 napiga simu muda wa kazi toka tareh 10 hadi leo wananipigia tu mziki
aisee bado hawapokei cm hadi hasira nafikiria,nafikiria kutumatena niingie hasara ya elf 6 nione kama watakataa tenaSame case kaka, umefanikiwa kuwapata
Ukitaka ku-verify cheti unaenda wapi?Kupata cheti kipya cha kuzaliwa cha mtu mzima ni 20k, mtoto mdogo ni 8k, kupata verification ya cheti cha kuzaliwa ni 6k.
Unakaa nyumbani unamaliza kila kitu bila mashaka.
Ukitaka ku-verify cheti unaenda wapi?Miye kujisajili tuu haitaki wanasema mpk Cafe, ukienda napo wanasema mtandao wao upo down. Nimeomba cheti cha kifo toka 16 may mpk jana account haijafanyiwa kazi yoyote.
Ukitaka ku-verify cheti unaenda wapi?upande wa kuverify cheti toka juzi ukiweka entry no inasema invalid sijui wana tatizo gan aseeee
Ukitaka ku-verify cheti unaenda wapi?Mfumo kwa kweli uko vizuri Sana umepunguza usunbufu
Mimi nilidhani ni utani kumbe kweli within 1 week cheti nimekabidhiwa
Ukitaka ku-verify cheti unaenda wapi?aisee bado hawapokei cm hadi hasira nafikiria,nafikiria kutumatena niingie hasara ya elf 6 nione kama watakataa tena