APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 293
Hongera Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuongea na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na kisha kuumaliza mgogoro uliokuwa unataka kutokea katika mipaka yetu wa Tanzania na Kenya.
Ieleweke kuwa mahusiano mazuri kati yetu na nchi majirani zetu ni kitu muhimu kiuchumi nk.Nitoe rai kwa viongozi wa mikoa iliyomipakani busara daima itangulie daima katika kudeal na diplomatic issues.
Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania