Hongera Rais Magufuli Kwa Somo la Managing Diversity. Tanzania, Bado Tuna Tatizo la Ukosefu wa Political Tolerance

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,722
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo pia huchapishwa kwenye magazeti mbalimbali ya ndani nchini Tanzania.

Makala ya leo, ni kumpongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa kufundisha somo la "Managing Diversity" kwa wateule wake, lakini Tanzania tunapoelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani, bado tunakabiliwa na tatizo kubwa la kutokuwepo kwa "Political Tolerance" linazosababisha "Political Hostilities" kuanzia kwenye mihili ya Mahakama, Bungeni, na Serikalini, kuanzia ngazi ya taifa, mikoani, wilayani, majimboni, kwenye kata hadi mitaani ambapo kuna chama kimoja, CCM kilichosika dola, kinahesabiwa kama chama dola na kustahili haki zote, huku vyama vingine vyote vikibaguliwa na kuhesabika kama maadui visivyo stahili!.

Tatizo hili linaweza kumalizwa kwa somo la "Managing Political Diversity" ambalo rais Magufuli ameisha lianza kwa kuwakaribisha wapinzani kwenye shughuli la kitaifa na kuwaalika baadhi ya viongozi wa baadhi ya vyama vikuu vya upinzani Ikulu, lakini kuelekea kwenye uchaguzi, somo la "Political Tolerance" bado linahitajika sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote, hivyo kunahitajika kuendeshwa kwa somo la "Managing The Political Diversity" ya hali ya juu kwa viongozi wa pande zote, serikali, CCM, na vyama vya upinzania, ili tuweze kuendesha uchaguzi Mkuu ujao, uwe ni uchaguzi huru na wa haki kupitia uwanja ulio sawa, "level playing field!". Hili likifanyika, Rais Magufuli atabarikiwa sana, nchi yetu itabarikiwa sana kwa kupata amani, utulivu, na ustawi, utakaoleta maendeleo makubwa sana ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, na lisipofanyika... naomba nisiseme!.

Kwa faida ya wenzetu wenye uwezo mdogo kusoma nyuzi ndefu, tunaweza kuishia hapa, na kusoma hitimisho
Rais Magufuli ni rais wetu, ni Mkuu wetu, ni kiongozi wetu, sisi wananchi ndio tumemchagua atuongoze hivyo yeye ni mtumishi wetu, na sisi wananchi Watanzania ndio mabosi wake, na mwezi October mwaka huu atazunguka tena nchi nzima kutuomba tena ridhaa zetu tumpatie tena ridhaa ya kuendelea kukutumikia kwa kipindi cha miaka mitano mingine, na kama tumeridhishwa na utendaji wake miaka mitano ya mwanzo, Watanzania tutampa tena ridhaa yetu kuendelea kwa miaka 5 mingine, na kama hatukuridhishwa na utendaji wake, hiyo tarehe 25 October, tutamfuta kazi na kumjaribu mwingine.

Miongoni mwa majukumu ya rais wetu ni pamoja na kuteua wasaidizi wake wa kumsaidia katika majukumu yake mbalimbali.

Sasa inapotokeo sisi wananchi wa kawaida tunapoona kuna wasaidizi wake wanafanya vizuri mahali, huwa tunawapongeza na sometimes hata kushauri waongezewe majukumu kama ushauri huu
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Na pale tunapoona mapungufu ya wazi ya kiutendaji kwa baadhi ya wateule wake, huwa tunatoa ushauri au mapendekezo hata kushauri wafutwe kazi kama ushauri huu
Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation!

Tunapoona mapungufu kwa baadhi ya wateule wake yanayohitaji mafunzo ya vitu vidogo tuu ili kurekebisha mapungufu hayo, huwa tunatoa mapendekezo ya nini kifanyike kurekebisha kasoro hizo.

Moja ya maeneo yenye kasoro kwa baadhi ya wateule wake ni kitendo cha baadhi yao, baada ya kuteuliwa na rais, kuvimba vichwa, kujisikia, kujimwambafy na kujiona wao ndio wao, wao ndio kila kitu, hadi kujiona kama miungu watu badala ya kuwa wanyenyekevu wanakuwa ni wanaongoza kwa ubabe ubabe hadi kuwafanyia ubabe viongozi wengine walio chini yao. Mfano mzuri ni kilichokuwa kinatokea mkoa wa Arusha. Sisi watu wa Mhimili wa Nne wa Jicho la Tatu, tulibaini tatizo Arusha na tukashauri
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajika

Leo katika kuwaapisha wateule wapya rais Magufuli amezungumzia kilichopelekea kuufumua uongozi wa mkoa wa Arusha kuanzia RC, DC na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha.

Rais Magufuli akaendesha somo la "Managing Diversity" kwa wateule wake kwa kuwasisitiza kuheshimiana, wakubwa kuheshimu wadogo na wadogo kuheshimu wakubwa, watendaji wote watimize majukumu yao kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni huku wakiheshimiana, wakivumiliana na kustamililiana.

Somo hili la Managing Diversity kwa wateule wa rais japo limekuja a bit too late baada ya kuleta madhara na kuchelewesha maendeleo, lakini chelewa ufike. Hongera sana rais Magufuli kufundisha somo hili kwa wateule wako!, sasa nchi yetu tunapoelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani, somo la "Political Tolerance" linalofundishwa kwa "Managing Political Diversity" kwa viongozi wote wa kisiasa linahitajika sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote!.

Natoa wito kwa rais Magufuli, kwa jinsi ile ile rais Magufuli kama rais wa JMT alivyowafundisha wateule wake kuheshimiana, kuvumiliana, na kustahimiliana, tunakuomba rais Magufuli kama rais wa nchi na Mwenyekiti wa CCM, ufundishe na somo la " Political Tolerance" kwa kutumia "Managing Political Diversity" kwa vitendo kwa kuanzia kwako, kukubali kuwa Tanzania ni nchi ya vyama vingi vya siasa na sio nchi ya chama kimoja, hivyo tunapoelekea kwenye uchaguzi Mkuu, kuanzia kwako kama rais wa nchi na Mwenyekiti wa CCM Taifa, uwahimize watendaji wote wa serikali wanaoshungulikia uchaguzi, kuanzia watendaji wa Ofisi ya Msajili wa Vyama, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchanguzi, Viongozi wa vyombo vya dola ambao kwa vile wote ni wateule wako, pia kuna uwezekano wakawa ni makada wazuri wa chama tawala, wafundishwe "Political Tolerance" kwa "Managing the Political Diversity", kwa kuwahimiza kutenda haki kwa vyama vyote, wasifanye upendeleo wa wazi kwa chama tawala na kuvibagua vyama vingine vya upinzani kwa kuviona ni vyama visivyo stahili kutendewa haki.

Kufundisha "Political Tolerance" kwa "Managing Political Diversity" inaelekeza, vyama vyote kuwa treated the same hata kama ni ukweli wa wazi kuwa watendaji wakuu wote wa serikali wakiwemo wa vyombo vya uchaguzi ambao ni wateule wa rais, japo wanaweza kuwa ni makada wa chama cha Mapinduzi, lakini kwenye suala zima la kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa ni uchaguzi huru na wa haki, somo la political tolerance na managing political diversity linahitajika sana, na likiwaingia, wanaweza kuweka ukada wao pembeni na kutenda haki kwa vyama vyote, na hata ikitokea kufuatia kukubalika sana kwa kazi nzuri iliyofanywa na rais John Pombe Joseph Magufuli na serikali yake ya CCM, kukamfanya akubalike sana hadi viongozi na makada wa upinzania kuviacha vyama vyao kwa ridhaa zao na kujiunga CCM kuunga mkono juhudi, kukaifanya CCM ichaguliwe na kupata ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%, ushindi huo unakuwa umepatikana kupitia uchaguzi Mkuu huru na wa haki katika uwanja sawa wa ushindani, na sio kupitia ushindi wa mezani kwa baadhi ya washindani kuweka mpira kwapani kwa kilio cha kutokutendewa haki kama ilivyotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ushindi Mtamu ni Ushindani ktk Uwanja sawa, Sio Ule wa Mezani! Magufuli, Kasi yako ni Ushindi wa Kishindo CCM. Ruhusu Ushindani wa Haki, Sawa na Wazi!
Hili la rais Magufuli na serikali yake kukubali Tanzania ni nchi ya vyama vingi na kuwatendea haki vyama vyote kwenye uchaguzi Mkuu huru, kutapelekea rais Magufuli kubarikiwa, serikali yake kubarikiwa, chama chake CCM kubarikiwa na nchi ya Tanzania kubarikiwa, na hata kama uchaguzi Mkuu ujao utairudisha Tanzania kuwa ni nchi ya chama kimoja, kurudi huko kutakuwa ni kutimiza matakwa ya Watanzania na kutakuwa kumefanyika kupitia uchaguzi Mkuu huru na wa haki na hivyo kuhesabiwa ndio the wishes of the people, hivyo naomba kuusisitiza huu wito wa uchaguzi mkuu kuendeshawa kwa mtindo huu
Ombi Maalum, Uchanguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe Kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis!. Tutabarikiwa!

Mungu Mbariki Rais Wetu Magufuli Aweze kufikisha somo la Managing Political Diversity kwa serikali yake ili tuwe na "Political Tolerance" kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, uwe ni uchaguzi huru na wa haki na kuendeshwa katika uwanja ulio sawa, tukifanya uchaguzi wa haki na usawa, Mungu ataibariki Tanzania, atambariki rais Magufuli na serikali yake, lakini tukiendeleza figisu figisu kama chaguzi za nyuma, Mungu ameisha tuvumilie sana huko nyuma, asije akatuchoka akatunyooshea mkono kwa kutotenda haki.

Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatatu Njema

Paskali
 
Hilo somo kueleweka itakuwa vigumu sana, kwasababu wanasiasa wetu wengi kwanza wanawaza matumbo yao, halafu baada ya hapo ndio kumtumikia mwananchi.

Hivyo wakishaona muda wa kula unakaribia ukingoni sharti waanze kutengeneza mazingira ya kula next time, na hapa wabunge wa CCM ndio mfano mzuri kwa yale waliyofanya bungeni siku za mwisho. Hapo kumtumikia mwananchi inabaki historia kwa muda.
 
Tatizo maagizo anayoaigaza wateule wake waishi sio anayoishi yeye, Tabia nyingi wameiga kwake binafsi.

Akibadilika yeye hata wateule wake watabalika bila kutumia nguvu.
 
Maandishi yako Pascal yanahitaji kutambiliwa kabisa kama mmoja wa watu waliojitolea kuunganisha taifa hili kwa maandiko yako. Yana maana sana maandishi yako.
Ungekuwa mbele huko pengine baadhi ya vyuo vingetambua mchango wako na kukupa hata shahada za heshima lakini kwa hapa Bongo sijui hilo kama lilatokea
 
Tatizo limeanzia kichwani na halitibiki kwingine bila kichwa kubadilika kipone (huu in ukweli unaopaswa kuzingatiwa )

Utamlaumu vipi RC kutaka kuwadictate wasaidizi wake na kujimwambafy wakati kuna mteuzi wake ambaye naye ana tabia ya kuwaendesha watu kwa style inayofanana na hiyo ? Rejea kauli yake ya kwamba hapangiwi nadhani hata huyu Gambo alikuja kwa mtindo huo huo ila walio chini yake wakagoma
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo pia huchapishwa kwenye magazeti mbalimbali ya ndani nchini Tanzania.

Makala ya leo, ni kumpongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa kufundisha somo la "Managing Diversity" kwa wateule wake, lakini Tanzania tunapoelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani, bado tunakabiliwa na tatizo kubwa la kutokuwepo kwa "Political Tolerance" linazosababisha "Political Hostilities" kuanzia kwenye mihili ya Mahakama, Bungeni, na Serikalini, kuanzia ngazi ya taifa, mikoani, wilayani, majimboni, kwenye kata hadi mitaani ambapo kuna chama kimoja, CCM kilichosika dola, kinahesabiwa kama chama dola na kustahili haki zote, huku vyama vingine vyote vikibaguliwa na kuhesabika kama maadui visivyo stahili!.

Tatizo hili linaweza kumalizwa kwa somo la "Managing Political Diversity" ambalo rais Magufuli ameisha lianza kwa kuwakaribisha wapinzani kwenye shughuli la kitaifa na kuwaalika baadhi ya viongozi wa baadhi ya vyama vikuu vya upinzani Ikulu, lakini kuelekea kwenye uchaguzi, somo la "Political Tolerance" bado linahitajika sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote, hivyo kunahitajika kuendeshwa kwa somo la "Managing The Political Diversity" ya hali ya juu kwa viongozi wa pande zote, serikali, CCM, na vyama vya upinzania, ili tuweze kuendesha uchaguzi Mkuu ujao, uwe ni uchaguzi huru na wa haki kupitia uwanja ulio sawa, "level playing field!". Hili likifanyika, Rais Magufuli atabarikiwa sana, nchi yetu itabarikiwa sana kwa kupata amani, utulivu, na ustawi, utakaoleta maendeleo makubwa sana ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Kwa faida ya wenzetu wenye uwezo mdogo kusoma nyuzi ndefu, tunaweza kuishia hapa, na kusoma hitimisho

Hili la rais Magufuli na serikali yake kukubali Tanzania ni nchi ya vyama vingi na kuwatendea haki vyama vyote kwenye uchaguzi Mkuu huru, kutapelekea rais Magufuli kubarikiwa, serikali yake kubarikiwa, chama chake CCM kubarikiwa na nchi ya Tanzania kubarikiwa, na hata kama uchaguzi Mkuu ujao utairudisha Tanzania kuwa ni nchi ya chama kimoja, kurudi huko kutakuwa ni kutimiza matakwa ya Watanzania na kutakuwa kumefanyika kupitia uchaguzi Mkuu huru na wa haki na hivyo kuhesabiwa ndio the wishes of the people, hivyo naomba kuusisitiza huu wito wa uchaguzi mkuu kuendeshawa kwa mtindo huu
Ombi Maalum, Uchanguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe Kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis!. Tutabarikiwa!

Mungu Mbariki Rais Wetu Magufuli Aweze kufikisha somo la Managing Political Diversity kwa serikali yake.
Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatatu Njema

Paskali

!
!
usingepongeza ningeshangaa sana. Hongera mkuu, Subiri Ukuu wa wilaya
 
Kwa maana nyingine asipofanya hivyo,hatobarikiwa bali kulaaniwa?

Hatofanya hivyo,sababu yeye mwenyewe political tolerance haijui wala haielewi.
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo pia huchapishwa kwenye magazeti mbalimbali ya ndani nchini Tanzania.

Makala ya leo, ni kumpongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa kufundisha somo la "Managing Diversity" kwa wateule wake, lakini Tanzania tunapoelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani, bado tunakabiliwa na tatizo kubwa la kutokuwepo kwa "Political Tolerance" linazosababisha "Political Hostilities" kuanzia kwenye mihili ya Mahakama, Bungeni, na Serikalini, kuanzia ngazi ya taifa, mikoani, wilayani, majimboni, kwenye kata hadi mitaani ambapo kuna chama kimoja, CCM kilichosika dola, kinahesabiwa kama chama dola na kustahili haki zote, huku vyama vingine vyote vikibaguliwa na kuhesabika kama maadui visivyo stahili!.

Tatizo hili linaweza kumalizwa kwa somo la "Managing Political Diversity" ambalo rais Magufuli ameisha lianza kwa kuwakaribisha wapinzani kwenye shughuli la kitaifa na kuwaalika baadhi ya viongozi wa baadhi ya vyama vikuu vya upinzani Ikulu, lakini kuelekea kwenye uchaguzi, somo la "Political Tolerance" bado linahitajika sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote, hivyo kunahitajika kuendeshwa kwa somo la "Managing The Political Diversity" ya hali ya juu kwa viongozi wa pande zote, serikali, CCM, na vyama vya upinzania, ili tuweze kuendesha uchaguzi Mkuu ujao, uwe ni uchaguzi huru na wa haki kupitia uwanja ulio sawa, "level playing field!". Hili likifanyika, Rais Magufuli atabarikiwa sana, nchi yetu itabarikiwa sana kwa kupata amani, utulivu, na ustawi, utakaoleta maendeleo makubwa sana ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Kwa faida ya wenzetu wenye uwezo mdogo kusoma nyuzi ndefu, tunaweza kuishia hapa, na kusoma hitimisho

Hili la rais Magufuli na serikali yake kukubali Tanzania ni nchi ya vyama vingi na kuwatendea haki vyama vyote kwenye uchaguzi Mkuu huru, kutapelekea rais Magufuli kubarikiwa, serikali yake kubarikiwa, chama chake CCM kubarikiwa na nchi ya Tanzania kubarikiwa, na hata kama uchaguzi Mkuu ujao utairudisha Tanzania kuwa ni nchi ya chama kimoja, kurudi huko kutakuwa ni kutimiza matakwa ya Watanzania na kutakuwa kumefanyika kupitia uchaguzi Mkuu huru na wa haki na hivyo kuhesabiwa ndio the wishes of the people, hivyo naomba kuusisitiza huu wito wa uchaguzi mkuu kuendeshawa kwa mtindo huu
Ombi Maalum, Uchanguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe Kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis!. Tutabarikiwa!

Mungu Mbariki Rais Wetu Magufuli Aweze kufikisha somo la Managing Political Diversity kwa serikali yake ili tuwe na "Political Tolerance" kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, uwe ni uchaguzi huru na wa haki na kuendeshwa katika uwanja ulio sawa.
Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatatu Njema

Paskali
mwenzio Bakari Msulwa kapata ulaji.... chapa kazi mwanangu, who knows?
 
Sawa Mayalla mwambie tu moja kwa moja watu wanakereka na kukwazika sana na ukabila unaokuwa kwa kasi wakati huu na kwamba awe hata na aibu kidogo kwani nchi inaharibika kwa hili.
 
Kila mara najiuliza akina Garson, Abbass, Ryoba na Juliana wamewezaje wote kudumu katika nyadhifa zao mda mrefu?

Jay Muro mtu baki tena mchaga kala shavu dah pasco una gundu licha ya kabila lako pendwa.

KATAMBIKE
Huyu jamaa nadhani hana bahati kabisa pamoja na kujiongeza kwa kupiga mapambio huku jf,wapi
 
Back
Top Bottom