Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Nilicheka sana Siku mwakyembeTatizo wasomi wetu ni waganga njaa.
Mhe. Dr. Mwakyembe katika thesis yake iliyompelekea kupata PhD alisapoti serikali tatu. Leo hii kapewa Uwaziri kabadilika na kuwa muumini wa serikali mbili.
Hao wasomi waliowekwa kwenye System hawatabadilisha lolote. Watafanya matakwa ya CCM na rais wake
anakana nukuu za kwenye kitabu chake
Ndio nikaamini ukishakuwa ccm huwez fanya lolote kwa manufaa ya nchi