Hongera Patrobas, ila umenielewa vibaya

Hongera Patrobas, ila umenielewa vibaya

UMBWE1 usijali.Achana nae Hawezi kutugombanisha.Hapa alinikaribisha kupiga soga za kisiasa tu ingawa alinichefua kwa kuanza kunizushia jana .

Huko kwenye chama chake walimfunza uzushi na utunzi wa hekaya.Akiwa mshirika wangu hakuaga hivi.Alikua mtu wa Kwaya na Sala sana

Ha ha ha! All in All ni mtu poa tu na mwanasiasa mzuri akiachana na uzushi na siasa za mtaroni
 
Nasikia uchungu nalia .....walewale wabunge vihiyo/ vilaza akina Juliana
 
UMBWE1,

Achana nae bhana.Nimemtumia message kumkaribisha Kongamano la BAVICHA pale Karimjee siku ya Ijumaa

Watoa Mada Prof.Baregu, Dr.Lwaitama nami nitakuwepo
8 O'clock, sijapata meseji yako, na ikiwa kweli nimealikwa nitahudhuria. Nitaomba kuuliza na kuchangia pia, hope mtatoa nafasi ya vijana kufunguka as kwa definition ya Kongamano..? is it..?

Na zile tabia zako naamini utakuwa umeacha, kitu cha Black pen...! We mtu mbaya sana.
 
Hapo kwenye RED...neno wenye maono umelitumia kwa maana ile ile niliyokuwa naitumia mimi ama mmebadilisha maana kwa sasa..?


ubunge huu kwa nini magufuli asiwe na saut kwa sampuli kama hizi?
 
shonza kwa nini hukutafuta mume bavicha?
roho yako iko huko na haiwezi kutoka.
kufukuzwa kwako nakufananisha na mwanamke aliyeachika na mwanaume ambaye bado anampenda.utasikia Mara oo siku hizi si Mrefu kama nilipokuwa nae. oo hata akipiga chuma kifua hakipendezi oo hata nguvu za kiume zitakuwa zimepungua siku hizi.
utakufa kwa presha.
 
UMBWE1 usijali.Achana nae Hawezi kutugombanisha.Hapa alinikaribisha kupiga soga za kisiasa tu ingawa alinichefua kwa kuanza kunizushia jana .

Huko kwenye chama chake walimfunza uzushi na utunzi wa hekaya.Akiwa mshirika wangu hakuaga hivi.Alikua mtu wa Kwaya na Sala sana

Ha ha ha! All in All ni mtu poa tu na mwanasiasa mzuri akiachana na uzushi na siasa za mtaroni

Hapo kwenye RED ndio huwa unakoseaga..utanirudisha kwenye ufafanuzi wa nani mzushi na mwenye siasa za mtaroni, nani aliyekula hela za Chama akiwa frontliner wa mapambano ya mitandaoni, ilitoka shilingi ngapi na wenzio uliwapa shilingi ngapi..?

Nitaenda mbele niulize kuhusu KAS yaani Konrad Adeneur Stiftung, na yale makubaliano kuhusu website ya CHADEMA. Wakati mwingine tukianza vizuri acha tumalize vizuri, si vyema kila wakati tukashambuliana na kunyoosheana vidole. kulikuwa hakuna sababu ya kuniita Mzushi na kuniambia nina siasa za mtaroni, kama vile ambavyo mimi sijakuita Mzushi kwenye maandiko yangu wala sijakutaja kuwa una siasa za mtaroni.

Nikisema kila ninalolijua, na kila mpango ulioushiriki unadhani utabaki salama..??? Kuwa mtu mzima now..acha haya mambo.
 
Mjadala huu!!! Haya na tuendelee kujifunza!

Kaka ...
 
Bvicha wamekuwa watu wakuunga mkono tuu matamko ya Lowasa na Mbowe.

Leo hii Bavicha wanashindwa kumdhibiti Lowasa kujitangaza mgombea kabla ya 2020.

Mimi ndio maana huwaita Nyumbu.
We mnafiki Uvccm wamefanya mini zaidi ya kujitia kiherehere bavicha wakifoka nao ndo wanatoka ka nyoka wa kidisa, hii show ni one man show mtalia sana tu.
 
Bvicha wamekuwa watu wakuunga mkono tuu matamko ya Lowasa na Mbowe.

Leo hii Bavicha wanashindwa kumdhibiti Lowasa kujitangaza mgombea kabla ya 2020.

Mimi ndio maana huwaita Nyumbu.
Mgombea wa CCM 2020 ni nani kama sio JPM?
 
In fact sioni hoja ya maana anayofanya huyu Dada, huyu bado anaipenda Chadema na time will tell, nasema CCM inafanya kosa kubwa sana kurudisha hawa Ngombe waliokatika mikia zizini, bado wanakumbuka malisho waloacha huko walikotoka, hii ni shida sana KAZI ni kuipigia chapuo Chadema na vitopic km hivi ili wachangiaji tuendelee kuiweka Chadema ndani ya fikra, OK ni njia nzuri just continue sister Julia, its a good campaign.
 
Kwa kweli kujua kama UVCCM wako bora ama laa kunategemea zaidi unafananisha na UVCCM ya kipindi gani..?

Na kwa sababu sijaiishi UVCCM kama nilivyoiishi BAVICHA ukweli utabaki kuwa naijua zaidi bavicha kuliko Uvccm...tena naijua ndani nje.

Lakini naiona UVCCM, naisikia kwenye vikao vya Chama na naisikia katika hoja na mabaraza ya kitaifa...

Nawaona vijana wengi wanaofanya vizuri na wanaakisi taswira ya Ujana wengi ni zao la UVCCM. Nikimtazama Makonda anavyolimudu jiji Mama la Dar es salaam naiona UVCCM..nikimtazama Hapi akiwa ameimeza Kinondoni na naiona UVCCM...naiona UVCCM leo na katika Tanzania ya kesho...ila siioni BAVICHA popote

Naweza kuelewa matatizo yako. kama ulikuwa kweli mpambanaji huko BAVICHA, siyo rahisi ukahama mzima mzima kwenda CCM na ukawa unapiga kama ulivyokuwa unapiga huku. Namkumbuka Dr. Masumbuko Lamwai. Huyo enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali, mithili ya Tundu Lissu, ingawa Lissu naona yuko vizuri zaidi. tangu amehamia CCM, sijaona tena yale makeke yake. Mkapa alimsifia kama bingwa wa kujenga na kubomoa hoja, alipomkabidhi kadi ya CCM. lakini ameshindwa kabisa kufanya huko CCM alichokuwa anakifanya alipokuwa NCCR enzi hizo, wakati NCCR ikiwa ndio chama kikuu cha upinzani. namwona pia Mzee Mwanakijiji alivyodorora baada ya ku-cross over. Ndio maana hata wewe unajikuta kila mara lazima uongelee BAVICHA, kwa kisingizio kwamba ndio unaowafahamu zaidi. lakini kusema kweli moyo wako uliuacha huko huko BAVICHA...

Kuhusu hao uliosema kwamba wanang'ara, yaani Makonda na Hapi, ni kwa sababu tu katika CCM kuna vyeo kada anaweza akapewa. katika Upinzani hakuna vyeo vya kiserikali, wala marupurupu. Kwa hiyo ukitaka kupima mafanikio ya kiongozi wa upinzani, itabidi utafute vigezo tofauti. Binafsi nadhani ni mapema mno kusema Makonda kaimudu Dar. Namshauri atumie zaidi hekima na apunguze spidi. angalau atafanikisha machache. Jiji kubwa hili.
 
Juliana amefanya kitu ambacho watu weusi wengi hatufanyi.. anguko la BAVICHA haliwafaidishi UVCCM wala CCM in general, anguko la BAVICHA linaathari kwa vijana wa Taifa hili bila kujali itikadi za vyama vyao... tuchukulie mfano wa hoja Jully alizoziainisha kusimamiwa na BAVICHA kama mikopo kutolewa kwa wakati je wafaidika ikiwa serikali itatekeleza utetezi wa BAVICHA ni akina nani?

Juliana kwangu mimi ameonyesha ukomavu wa hali ya juu na mistari hii ya ushauri au pongezi ikizingatiwa na UVCCM watakuwa wamepata funzo zuri sana. Namwelewa Juliana kuiandama CDM kuna ground nyingi amelelewa huko kisiasa na aliondoka akiwa bado haamini kama CDM imeruhusu kirusi kuisambaratisha...ni mtazamo wangu.
bureeeee kabisa utazimaje moto kwa jirani wakati kwako kunateketea? nani kakutuma,? kweli kimwili uko Lumumba kiroho uko Cdm, dah kumbe kukufukuzwa chamani ilikuuma kiasi hiki? umechuja huna jipya mrudie mungu achana na siasa huziwezi tena utazeeka bure na njaa zilizopo huko huponi

pitia kila comment ujitathimini acha mbwembwe tulia ufanye yanayokuuma moyoni achana na siasa.
 
Tuheshimiane basi..>!!
Ukipewa wewe unaomba kuheshimiana! Jee wewe unaheshimu wengine? Wale wazee unao wakashifu na kuwatukana huku unajua hawawezi kukujibu mitandaoni unaona ni sawa?
Jifunze kwanza kuwa na adabu kama mke wa mtu na kama Mbunge, hata kama ubunge wako wa kupewa una agenda za siri
 
HONGERA PATROBAS, ila umenielewa Vibaya.

Katika sehemu kubwa ya maandiko yangu hapa jukwaani yamekuwa yakijikita kuainisha udhaifu wa Upinzani na hasa CHADEMA, na katika kuizungumza CHADEMA naitaja sana BAVICHA, sihitaji kurudia tena kusema sababu ya kufanya hivyo kwani nimeiweka bayana mara kadhaa..!!

Tofauti na siku zilizopita, leo naandika kutoa pongezi, kusifia na kuonyesha kuridhika kwangu namna ambavyo PATROBAS PASCHAL, Mwenyekiti BAVICHA alivyopokea maoni yangu na kuyafanyia kazi.

Ni kweli kuwa umekuwa ukipata upinzani na changamoto za kipekee sana katika kazi yako ngumu ya kuongoza Vijana wasioamini katika itikadi, hawana muongozo. I have been there, najua unaongoza watu wa namna gani. Pole na hongera..

Ni kweli pia, sikuwa nikikufahamu wakati wa uongozi wangu, hivyo mimi ni kama wengine wasiokujua na wanaoshangaa ulipotokea, sina historia sahihi ya mapambano, uwezo na maarifa yako katika kuongoza na kuyasimamia maslahi ya Vijana kwenye Chama na kwa Taifa kwa ujumla. Ila ninalojua ni kuwa ulipingwa na unapingwa sana hata sasa, ushahidi wa hayo ni kauli hizi za Die Hard Members wa BAVICHA dhidi yako baada tu ya kuteuliwa, Yericko Nyerere alisema hivi;
View attachment 377898

Nae Ben Saanane aliyehenguliwa kwa figisu za Umri alisema hivi;
View attachment 377899

Baada ya hapo wakaibuka wabezaji na wapingaji online…IBILISI alisema haya; John Heche okoa jahazi, BAVICHA imemshinda Katambi, Inakufaa, na Pisto Lero aliandika; Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA, na hata SHIEKA akamaliza Mwenyekiti BAVICHA Patrobass Katambi Naanza Kupoteza Imani Kwako!, hao ni baadhi tu, ukiacha wale ambao walikuwa wafuasi wa Msigwa. Kwa ujumla wake ni kuwa unapigwa, wenzako hawaamini katika wewe, hawaamii uwezo wako na hawajui mwelekeo wako. Hawako tayari kufuata njia na maelekezo yako.

Mimi nilisema siku za nyuma kuwa BAVICHA imepooza, nikimaanisha kuwa imepoteza taswira ya “TAASISI YA VIJANA” baada ya maneno hayo nikaona umeanza kufanya Press Conference kila asubuhi na jioni, lakini kama utakuwa tayari kuungana na mimi katika tathmini ya Press hizo ni sawa na ‘vumbi lenye kupeperuka” hazina substance kabisa kwa sababu nyingi ni za kuunga mkono, maamuzi ya aidha Mwenyekiti, Kamati Kuu au Baraza Kuu, sawa ni jambo jema lakini hivi ni kweli vijana hawana “HOJA” za msingi za kusemewa na BAVICHA isipokuwa kuunga mkono tu..??

Maana mimi najua, pale akina Nusrat Hanje walipokatwa Ubunge wa Viti Maalum na kupewa total strangers BAVICHA ilikuwa kimya, Mwenyekiti alipomleta Mgombea wake “FISADI” Bavicha ilikuwa Kimya, MGOMBEA FISADI anapojitangaza kuwa yeye ni MGOMBEA WA KUDUMU wa CHADEMA 2020, 2025 kinyume na Kanuni na Taratibu BAVICHA iko kimya..? Sawa labda ya Chama makubwa sana na mazito kuyagusa, maana hata MASHINJI mwenyewe hayazungumzii basi tulitegemea mtetee Vijana ngazi ya Taifa lakini nako ni Zero, Mikopo vyuoni hamna mko kimya, Ajira bado mko kimya, ****** wanadahiliwa vyuoni mko kimya,,,ehee Basi anzisheni hata kampeni ya kuhimiza Vijana kujiajiri na kushiriki kilimo, mtengeneze banda la mfano kwenye nane nane, maana hata Meya wa Kinondoni akiwa anazunguka kwenye makundi ya Vijana kuhamasisha kujiajiri na kuunda vikundi wapewe mikopo ya Serikali hampo na wala hamshiriki wala kuunga mkono…!!

Labda ulinielewa Vibaya nilipotaka uanze kuwa active, nilimaanisha uwasemee Vijana ndani ya Chama na ndani ya Taifa.

Kama siasa ngumu unaweza kuchagua kuwa Mkulima, mimi nimechagua kufanya yote mawili. Kauli mbiu ya Wakulima wenzangu mwaka huu ni “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”
Mama Juliana Shonza Nakupa Hongera kwa andiko hili, Lakini Mbona bado una kinyongo na CHADEMA, Why dont you think of something productive apart from attacking your former party. ni kipi hasa kinakunyima usingizi katika CHADEMA? DO YOU THINK YOU WILL EVER CREATE ANY SOUGHT OF UNREST???????????????
 
Inawezekana...!!
Na ndio maana mnaishia kuburuzwa kwa kudhani kuwa mkishauriwa mnapotezwa.

Kuburuzwa...mimi nadhani CCM ndio kuna kuburuzwa kwa aina yake. Mwenyekiti ambaye anaona kabisa anaweza kutimua theluthi ya wanachama kisa wana misimamo tofauti na ya kwake? na anatamka hivyo? na wala sina sababu ya kutomuamini kauli yake hiyo maana ameshaonesha kwa vitendo, kwamba yuko juu ya katiba iliyomweka madarakani, na wala haamini katika "utawala wa sheria".
 
HONGERA PATROBAS, ila umenielewa Vibaya.

Katika sehemu kubwa ya maandiko yangu hapa jukwaani yamekuwa yakijikita kuainisha udhaifu wa Upinzani na hasa CHADEMA, na katika kuizungumza CHADEMA naitaja sana BAVICHA, sihitaji kurudia tena kusema sababu ya kufanya hivyo kwani nimeiweka bayana mara kadhaa..!!

Tofauti na siku zilizopita, leo naandika kutoa pongezi, kusifia na kuonyesha kuridhika kwangu namna ambavyo PATROBAS PASCHAL, Mwenyekiti BAVICHA alivyopokea maoni yangu na kuyafanyia kazi.

Ni kweli kuwa umekuwa ukipata upinzani na changamoto za kipekee sana katika kazi yako ngumu ya kuongoza Vijana wasioamini katika itikadi, hawana muongozo. I have been there, najua unaongoza watu wa namna gani. Pole na hongera..

Ni kweli pia, sikuwa nikikufahamu wakati wa uongozi wangu, hivyo mimi ni kama wengine wasiokujua na wanaoshangaa ulipotokea, sina historia sahihi ya mapambano, uwezo na maarifa yako katika kuongoza na kuyasimamia maslahi ya Vijana kwenye Chama na kwa Taifa kwa ujumla. Ila ninalojua ni kuwa ulipingwa na unapingwa sana hata sasa, ushahidi wa hayo ni kauli hizi za Die Hard Members wa BAVICHA dhidi yako baada tu ya kuteuliwa, Yericko Nyerere alisema hivi;
View attachment 377898

Nae Ben Saanane aliyehenguliwa kwa figisu za Umri alisema hivi;
View attachment 377899

Baada ya hapo wakaibuka wabezaji na wapingaji online…IBILISI alisema haya; John Heche okoa jahazi, BAVICHA imemshinda Katambi, Inakufaa, na Pisto Lero aliandika; Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA, na hata SHIEKA akamaliza Mwenyekiti BAVICHA Patrobass Katambi Naanza Kupoteza Imani Kwako!, hao ni baadhi tu, ukiacha wale ambao walikuwa wafuasi wa Msigwa. Kwa ujumla wake ni kuwa unapigwa, wenzako hawaamini katika wewe, hawaamii uwezo wako na hawajui mwelekeo wako. Hawako tayari kufuata njia na maelekezo yako.

Mimi nilisema siku za nyuma kuwa BAVICHA imepooza, nikimaanisha kuwa imepoteza taswira ya “TAASISI YA VIJANA” baada ya maneno hayo nikaona umeanza kufanya Press Conference kila asubuhi na jioni, lakini kama utakuwa tayari kuungana na mimi katika tathmini ya Press hizo ni sawa na ‘vumbi lenye kupeperuka” hazina substance kabisa kwa sababu nyingi ni za kuunga mkono, maamuzi ya aidha Mwenyekiti, Kamati Kuu au Baraza Kuu, sawa ni jambo jema lakini hivi ni kweli vijana hawana “HOJA” za msingi za kusemewa na BAVICHA isipokuwa kuunga mkono tu..??

Maana mimi najua, pale akina Nusrat Hanje walipokatwa Ubunge wa Viti Maalum na kupewa total strangers BAVICHA ilikuwa kimya, Mwenyekiti alipomleta Mgombea wake “FISADI” Bavicha ilikuwa Kimya, MGOMBEA FISADI anapojitangaza kuwa yeye ni MGOMBEA WA KUDUMU wa CHADEMA 2020, 2025 kinyume na Kanuni na Taratibu BAVICHA iko kimya..? Sawa labda ya Chama makubwa sana na mazito kuyagusa, maana hata MASHINJI mwenyewe hayazungumzii basi tulitegemea mtetee Vijana ngazi ya Taifa lakini nako ni Zero, Mikopo vyuoni hamna mko kimya, Ajira bado mko kimya, ****** wanadahiliwa vyuoni mko kimya,,,ehee Basi anzisheni hata kampeni ya kuhimiza Vijana kujiajiri na kushiriki kilimo, mtengeneze banda la mfano kwenye nane nane, maana hata Meya wa Kinondoni akiwa anazunguka kwenye makundi ya Vijana kuhamasisha kujiajiri na kuunda vikundi wapewe mikopo ya Serikali hampo na wala hamshiriki wala kuunga mkono…!!

Labda ulinielewa Vibaya nilipotaka uanze kuwa active, nilimaanisha uwasemee Vijana ndani ya Chama na ndani ya Taifa.

Kama siasa ngumu unaweza kuchagua kuwa Mkulima, mimi nimechagua kufanya yote mawili. Kauli mbiu ya Wakulima wenzangu mwaka huu ni “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”


A negative brain will never gives you a positive husband!
 
Back
Top Bottom